JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Tembelea Jukwaa la Jamii Health (Jukwaa la Afya) ndani ya JamiiForums.com kusoma na kuchangia mada mbalimbali.

Zaidi https://jamii.app/MtotoKondomu

#JamiiForums #JFAfya
❤1
Piga 0901760321 kuongea na AVA bila kutumia bando

Zaidi  https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Alichoandika Mdau wa JamiiForums.com kuhusu mgomo wa madereva ulioanza jana Oktoba 20, 2026 wakipinga baadhi ya maelekezo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Jumanne Abdallah Sagini ikiwemo utaratibu mpya wa njia na vituo kwa madereva Bajaji.

Zaidi https://jamii.app/MgomoBajaji

#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Timu ya #Simba ni kama imechungulia Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026/27 kwa kushinda magoli 6-1 dhidi ya de Agosto ya Equatorial Guinea, mchezo wa marudio ukitarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru.

Staa wa mchezo huo ni Ibrahim Doumbia wa Simba ambaye amefunga magoli mawili, ikiwa ni mara yake ya kwanza kuifungia timu yake katika mchezo wa ushindani baada ya "ukame" wa muda mrefu tangu asalijiwe mwanzoni mwa msimu huu.

Zaidi https://jamii.app/De-AgostoSimba

#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
DAR: Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi CHADEMA, John Pambalu, leo Oktoba 21, 2026 amesomewa shitaka la Uhaini kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akituhumiwa kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Dar es Salaam aliweka nia ya kuitisha maandamano kuitisha Serikali.

Pambalu alikamatwa jijini Arusha, Oktoba 14, 2026, akiwa na viongozi wengine wawili, ambao baadaye waliachiwa huru.

Zaidi https://jamii.app/PambaluUhaini

#JamiiForums #HakiZaBinadamu #Utawala
Mdau, hali ya usafiri wa umma kwenye eneo unaloishi ikoje? Tuambia hapa https://jamii.app/TandikaDaladala

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Yanga imeingia Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa Magoli 4-1 dhidi ya CFFA na kufanya matokeo ya jumla katika michezo miwili baina ya timu hizo kuwa magoli 8-1.

Mjadala unaendelea https://jamii.app/YangaButuaCFFA

#JamiiForums #JFSports
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ITALIA: Mdau aliyejitambulisha kuwa shabiki wa Manchester United ametoa maoni kuwa anaamini ndani ya saa chache zijazo Kocha Michael Carrick anaweza kukutana na barua ya kufukuzwa kazi kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo katika michuano yote msimu huu.

United imefungwa magoli 4-1 na Como 1907 inayonolewa na Cesc Fàbregas katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, Oktoba 21, 2026 ikiwa ni mchezo wa saba mfululizo bila ushindi.

Mdau una maoni gani kuhusu mwenendo wa Man United?

Mjadala unaendelea https://jamii.app/ComoYaibondaManU

#JamiiForums #JFSports
PWANI: Mdau wa JamiiForums.com ameandika "Tunaomba Mamlaka za Juu kuingilia suala letu, tumefuatilia kwa ngazi tofauti lakini hatujapata utatuzi mpaka sasa."

Jitihada za kupata mrejesho kutoka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuhusu hoja ya Mdau zinaendelea...

Fuatilia zaidi https://jamii.app/TTCLDhuluma

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026