JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Oktoba 8, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika "TTCL wameweka mnara eneo letu Kibiti, mazao yameharibika, hatujalipwa fidia wala hawajawahi kuzungumza nasi wamiliki halali. Viongozi wa Kijiji walimtafuta ndugu yetu ambaye hakuwa mmiliki wala uelewa wa kisheria, wakamshinikiza kusaini muhtasari, hiyo ilikuwa Mwaka 2020."

Fuatilia zaidi https://jamii.app/TTCLKuchukuaEneo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Kwa mada za vichekesho, utani na vituko tembelea jukwaa la JF Chit-Chats ndani ya JamiiForums.com

Shiriki https://jamii.app/ChooChaSule

#JamiiForums #JFChitChat
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mdau amedai uwepo wa bandari kavu Mabibo Kisiwani, nyuma ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), umeongeza kero ya foleni kutokana na malori kuegeshwa barabarani. Hali inayowalazimu watumiaji wa barabara hiyo kutoka upande wa Ubungo kurudi nyuma au kutumia vichochoro.

Mdau ametoa wito kwa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (#TASAC), Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na mamlaka nyingine husika kuchukua hatua kuhakikisha malori hayapaki barabarani na kusababisha usumbufu kwa Wananchi.

Shiriki https://jamii.app/IcdBravoMabibo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Oktober 23, 2026: Moja ya Mjadala unaoendelea ndani ya mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/KamandaKuguswa

#JamiiForums #JFMatukio
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kaimu Amidi wa Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC), Dkt. Elisha Magolanga ameyasema hayo Oktoba 22, 2026, alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza wakati wa siku elekezi shuleni hapo.

Zaidi https://jamii.app/MitihaniSpecial

#JamiiForums #Utawala #JFElimu
Una ushauri gani kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza? Sema nao..

Zaidi https://jamii.app/WanachuoWapya

#JamiiForums #JFElimu
KAGERA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo kuingilia kati suala la madai ya fedha za kimkataba kwa Wakulima wa Miwa Wilayani Missenyi akidai changamto hiyo inawarudisha nyuma kimaendeleo.

Soma https://jamii.app/MadaiKageraSugar

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
Mdau, alifanya nini hadi ukasema huwezi kumuoa au kuolewa nae?

Shiriki Mjadala https://jamii.app/MchumbaKuoana

#JamiiForums #Maisha
KUMBUKIZI: Baada ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 Jijini London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania Oktoba 18 na kuagwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Uhuru, Oktoba 21, Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia Oktoba 23.

Kwa mujibu wa mila za Kabila la Wazanaki, neno "Mwitongo" linamaanisha mahame au eneo lililoachwa wazi baada ya kifo cha mkuu wa familia. Eneo hilo lilibaki wazi baada ya kifo cha baba yake Mwalimu, Mtemi Nyerere Burito, Mwaka 1942 kabla ya kuendelezwa miaka ya baadaye.

Unakumbuka tukio gani katika siku hiyo?

Zaidi https://jamii.app/MazishiNyerere

#JamiiForums #JFKumbukizi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mmoja wa Wafanyabiashara wadogo (Machinga) akizungumzia kuhusu kuondolewa kwao eneo la One-Way na kupelekwa Dodoma INI, ambapo wamepinga kwa kuandamana leo Oktoba 23, 2026, wakidai eneo walilopelekwa si rafiki kwa biashara zao.

Zaidi https://jamii.app/MachingaDodoma

#JamiiForums #JFMatukio #CivilRights