Oktoba 23, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu
Zaidi https://jamii.app/MhadhiriChuo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/MhadhiriChuo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
❤2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Hayo ameyasema Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Oktoba 24, 2026 kuhusu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu.
Ikumbukwe, Oktoba 16, 2026 Mahakama Kuu ya Tanzania iliuagiza uongozi wa Gereza la Ukonga kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona tu na sio kusikia mazungumzo.
Zaidi https://jamii.app/LissuKugomaKula
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #HakiZaBinadamu

❤1
Oktoba 24, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu
Zaidi https://jamii.app/UtaratibuKupangisha
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/UtaratibuKupangisha
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026