JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Oktoba 24, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/UtaratibuKupangisha

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
ENGLAND: Manchester City imepoteza mchezo wake wa kwanza katika Premier League msimu huu kwa kufungwa 2-1 dhidi ya Aston Villa, pamoja na hivyo City bado ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 21, Villa nafasi ya 6 ikiwa na alama 11.

Zaidi https://jamii.app/VillaVsManCity

#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Yanga imeendeleza matokeo ya kusuasua katika Ligi Kuu Bara baada ya matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA, matokeo yanayoibakiza Yanga nafasi ya pili nyuma ya Simba.

Mchezo huo wa leo Oktoba 24, 2026 ulishuhudia Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya alipewa kadi nyekundu dakika ya 90 ambapo timu yake imefikisha pointi 19 katika michezo 8 huku TRA ikifikisha alama 7 mechi 8.

Mwenendo wa Yanga katika Ligi Kuu umesababisha kuwe na mjadala kwa mashabiki wao kwamba tatizo ni kocha au usajili haukuwa mzuri?

Zaidi https://jamii.app/TRAVsYanga26

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
❤3
Mdau, una ushauri gani?

Shiriki mjadala https://jamii.app/HouseGirlNaMganga

#JamiiForums #Maisha
❤2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Uongozi wa Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi, Kocha wa Viungo, Chyna Mokaila, na kwamba mchakato wa haraka wa kumpata Kocha Mkuu mpya umeanza na unatarajia kukamilika hivi karibuni.

Taarifa hiyo ya Klabu ya Yanga inakuja baada ya mwenendo mbaya wa timu hiyo hivi karibuni iliwemo kufungwa na Simba pamoja na matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA United katika Ligi Kuu Bara.

Mdau, je unadhani ni mapema sana au ni uamuzi sahihi?

Zaidi https://jamii.app/YangaWafukuzaKocha

#JamiiForums #JFSports
❤1
Mdau, nini kifanyike kupunguza unyanyasaji wa kijinsia Mitandaoni?

Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/UonevuMtandaoni

#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #HakikiTaarifa