Chama cha ACT-Wazalendo kimesema “Kufungia Gazeti la MwanaHalisi ni hatua inayogusa haki ya Jamii kupata taarifa na kufuatilia uwajibikaji wa wenye mamlaka na Serikali inayoheshimu #demokrasia inapaswa kuvumilia ukosoaji, si kutumia Sheria kandamizi na kuinyamazisha Jamii”.
Aidha, Taarifa ya ACT iliyotolewa Agosti 19, 2026, imetaka Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016 na nyingine zinazoweka mamlaka makubwa kwa Mkurugenzi wa Habari juu ya Vyombo vya Habari kufutwa na kuondoa vifungu vinavyokandamiza uhuru wa habari.
Zaidi https://jamii.app/ActMMwanahalisi
#JamiiForums #Uwajibikaji #PressFreedom

❤3
GUINEA-BISSAU: Makamu wa Rais wa Serikali ya Mpito, Nelson Moreira amepinga madai ya Vyama vya Upinzani, akisisitiza kuwa Mapendekezo ya Katiba mpya yanalenga kuleta uwazi na utulivu zaidi katika mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/GiuneaBissauKatiba
#JamiiForums #Demokrasia
Fuatilia zaidi https://jamii.app/GiuneaBissauKatiba
#JamiiForums #Demokrasia
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametangaza kuwa Deogratius John Ndejembi amepitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324 sawa na 100%, na kwamba aliongea na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali nchini na walimwambia wameridhika uteuzi huo.
Ndejembi, alikuwa ni Mbunge wa Chamwino na Waziri wa Nishati, alipendekezwa na Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu.
Zaidi https://jamii.app/NdejembiApitishwa
#JamiiForums #Demokrasia
Ndejembi, alikuwa ni Mbunge wa Chamwino na Waziri wa Nishati, alipendekezwa na Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu.
Zaidi https://jamii.app/NdejembiApitishwa
#JamiiForums #Demokrasia
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mtazamo wa Mkurugenzi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (#TCD), Bernadetha Kafuko, kuhusu demokrasia alioutoa Septemba 15, 2026, katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyotarabiwa na Kituo cha Sheria na Haki Za Binadamu (LHRC)
Soma https://jamii.app/MisingiYaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia
Soma https://jamii.app/MisingiYaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (#TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, akichangia katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC) Septemba 15, 2026.
Zaidi bofya https://jamii.app/KitimaMaridhiano
#JamiiForums #Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
Zaidi bofya https://jamii.app/KitimaMaridhiano
#JamiiForums #Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkurugenzi mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC) Dkt. Hellen Kijo-Bisimba, amesema hayo Septemba 15, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani.
Mjadala unaendelea https://jamii.app/KijoHapakuwaNaUchaguzi
#JamiiForums #Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
Mjadala unaendelea https://jamii.app/KijoHapakuwaNaUchaguzi
#JamiiForums #Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameyasema hayo Septemba 15, 2026, akiwa katika chumba cha Mahakama, baada ya kesi ya uhaini inayomkabili kuahirishwa hadi Septemba 16, 2026.
Mjadala unaendelea https://jamii.app/LissuDemokrasiaInapiganiwa
#JamiiForums #Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
Mjadala unaendelea https://jamii.app/LissuDemokrasiaInapiganiwa
#JamiiForums #Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwanahabari mkongwe, Jenerali Ulimwengu ameyasema hayo Septemba 15, 2026 katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Zaidi https://jamii.app/UlimwenguUtamaduni
#JamiiForums #Demokrasia
Zaidi https://jamii.app/UlimwenguUtamaduni
#JamiiForums #Demokrasia
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), John Mnyika akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyofanyika Septemba 15, 2026 kwenye Makao Makuu ya chama hicho Jijini Dar es Salaam.
Soma https://jamii.app/MnyikaKatibaMpya
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa #InternationalDayOfDemocracy
Soma https://jamii.app/MnyikaKatibaMpya
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa #InternationalDayOfDemocracy
Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inamruhusu Rais kuhudumu mihula miwili ya miaka mitano, ambapo Félix Tshisekedi alichaguliwa mwaka 2018 na kuanza muhula wake Januari 2019, kisha akachaguliwa tena mwaka 2023 na kuanza muhula wa pili Januari 2024 unaotarajiwa kumalizika Januari 2029
Zaidi https://jamii.app/MaandamanoCongoDrc
#JamiiForums #Demokrasia
Zaidi https://jamii.app/MaandamanoCongoDrc
#JamiiForums #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (#BAVICHA), Deogratius Mahinyila amesema hayo Septemba 17, 2026, wakati alipokuwa akihojiwa katika Kituo cha Wasafi FM.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/UsalitiWaTaifa
#JamiiForums #Demokrasia #JFSiasa
Fuatilia zaidi https://jamii.app/UsalitiWaTaifa
#JamiiForums #Demokrasia #JFSiasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa BAVICHA, Deogratius Mahinyila amesema hayo Septemba 17, 2026, wakati akizungumza katika mahojiano kupitia Kituo cha Wasafi FM.
Soma https://jamii.app/ChademaIkulu
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Soma https://jamii.app/ChademaIkulu
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Sehemu ya hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, aliyotoa Oktoba 7, 2026, wakati wa Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa.
Zaidi https://jamii.app/KabudiHaramu
#JamiiForums #Uwajibikaji #Demokrasia
Zaidi https://jamii.app/KabudiHaramu
#JamiiForums #Uwajibikaji #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi ametoa wito huo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa nchini Jijini Dar es Salaam.
Zaidi https://jamii.app/VyamaGenZ
#JamiiForums #Siasa #Demokrasia
Zaidi https://jamii.app/VyamaGenZ
#JamiiForums #Siasa #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyasema hayo katika Hotuba ya “Uhuru na Maendeleo” mwaka 1968.
Leo, Oktoba 14, Tanzania inaadhimisha miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, aliyefariki mwaka 1999.
Soma https://jamii.app/NyerereUhuruNaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia #NyerereDay2026
Leo, Oktoba 14, Tanzania inaadhimisha miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, aliyefariki mwaka 1999.
Soma https://jamii.app/NyerereUhuruNaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia #NyerereDay2026
Sehemu ya alichoandika Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Bagonza, kwenye ukurasa wake wa Facebook, Oktoba 16, 2026.
Zaidi https://jamii.app/AskofuBagonzaNukuu
#JamiiForums #Demokrasia
Zaidi https://jamii.app/AskofuBagonzaNukuu
#JamiiForums #Demokrasia
❤2
Italia: Polisi wameeleza kuwa wamekamata na kuwashikilia waandamanaji 271 huko Milan, ambapo kati yao, watu 32 walitiwa mbaroni wakiwemo raia 13 wa kigeni.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MaandamanoMaduka
#JamiiForums #Uwajbikaji #Demokrasia
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MaandamanoMaduka
#JamiiForums #Uwajbikaji #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kauli hiyo imetolewa na Mwandishi wa Habari Mkongwe, Salim Said Salim katika mahojiano yaliyorushwa na Nijuze mnamo Oktoba 24, 2026.
Soma https://jamii.app/SalimUchaguziZanzibar
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Soma https://jamii.app/SalimUchaguziZanzibar
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Aleksandar Vučić, Rais wa Serbia kuanzia 2017 hadi alipojiuzulu Septemba 2026, amekubali kushindwa katika uchaguzi baada ya chama chake cha Serbian Progressive Party (SNS) kupata 39.2% ya kura, huku upinzani ukipata 52.65%.
Vučić alijiuzulu na kuitisha uchaguzi wa dharura kufuatia maandamano ya wanafunzi yaliyoanza Novemba 2024 baada ya kuporomoka kwa paa la kituo cha treni Novi Sad na kusababisha vifo vya watu 16, tukio lililohusishwa na rushwa na ukosefu wa uwajibikaji serikalini.
Fuatilia Zaidi https://jamii.app/UshindiSerbia
#JamiiForums #Demokrasia #Uwajibikaji

DAR: Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema Kamati kuu ya Chama hicho inaendelea kusisitiza Uchunguzi huru wa Mauaji yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata.
Zaidi https://jamii.app/MnyikaOktoba29
#JamiiForums #Demokrasia #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/MnyikaOktoba29
#JamiiForums #Demokrasia #Uwajibikaji