JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
#DEMOKRASIA: Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (#TCD), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza kwenye Kongamano la Majadiliano Rika amesema “Naanza kupata wasiwasi kwamba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakuwa kama wa Mwaka 2019 au utakuwa tofauti?”

Ameongeza “Hatujui Kanuni za Uchaguzi wa 2024, hivyo tunapowaambia Vijana washiriki watashiriki katika mazingira ya namna gani? Tunakumbuka kilichotokea Uchaguzi wa Mwaka 2020 ambapo #Tanzania Bara Wapinzani walipata Viti Viwili kati ya Viti 214.”

Soma https://jamii.app/SiasaDialogues

#Democracy #Governance #Diplomacy #JamiiForums
👍4❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akizungumza katika Kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (#TCD) kuhusu Uchaguzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini amesema kuwa Sheria ya Takrima imeongeza kiwango kikubwa cha #Rushwa katika mchakato wa Chaguzi mbalimbali Nchini

Soma https://jamii.app/KongamanoUchaguzi

#Democracy #FreedomOfExpression #JamiiForums #CivilRights #Demokrasia #KemeaRushwa
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Bara), Isihaka Mchinjita amesema Serikali imekuwa ikichangia kushusha morali ya Watumishi wa Umma kutokana na mazingira ya Uchama kutawala katika nafasi mbalimbali

Amesema kuwa hali hiyo imekuwa ikisababisha ugumu na hivyo kukosekana kwa haki

Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala katika Kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (#TCD), jana Mei 8, 2024

Soma https://jamii.app/KongamanoUchaguzi

#Democracy #FreedomOfExpression #JamiiForums #CivilRights #Demokrasia #JFUwajibikaji
👍4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mtazamo wa Mkurugenzi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (#TCD), Bernadetha Kafuko, kuhusu demokrasia alioutoa Septemba 15, 2026, katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyotarabiwa na Kituo cha Sheria na Haki Za Binadamu (LHRC)

Soma https://jamii.app/MisingiYaDemokrasia

#JamiiForums #Demokrasia