#Demokrasia haiwezi kustawi bila Uhuru wa Mawazo. Kukataa kusikiliza maoni tofauti kunaua Maendeleo ya Kijamii na Kisiasa
Jamii yenye Afya ni ile inayoruhusu mijadala ya wazi, hata pale ambapo mawazo yanayotolewa ni magumu au yasiyopendwa na wengi
#FreedomOfSpeech #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom

Sheria za kusimamia Matumizi ya Mitandao zinapaswa kuwepo ili kulinda Watu dhidi ya Unyanyasaji, Udanganyifu na Uhalifu wa Mtandaoni na si kama chombo cha kuminya Uhuru wa Kujieleza
Baadhi ya Serikali hutumia Sheria hizi kama silaha ya kunyamazisha Wakosoaji, Wanaharakati na Waandishi wa Habari kwa kisingizio cha "Usalama Mtandaoni"
#FreedomOfSpeech #SayNoToCensorship #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom

Kama Haki nyinginezo, Uhuru wa Kujieleza na Kukusanyika unaweza kuwa na mipaka kwa madhumuni ya kulinda Usalama wa Umma, haki za Watu wengine au kuzuia Chuki na Ghasia
Hata hivyo, Serikali nyingi hutumia kisingizio cha "Usalama" kama njia ya kunyamazisha Wakosoaji na kuzima harakati za Mabadiliko
Mipaka ya Haki hizi inapaswa kuwa ya Haki na isitumike vibaya kwa maslahi ya wachache, kwasababu Uhuru wa kukusanyika kwa Amani ni njia muhimu ya kuwasilisha maoni na kudai Haki
#FreedomOfSpeech #SayNoToCensorship #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom
Hata hivyo, Serikali nyingi hutumia kisingizio cha "Usalama" kama njia ya kunyamazisha Wakosoaji na kuzima harakati za Mabadiliko
Mipaka ya Haki hizi inapaswa kuwa ya Haki na isitumike vibaya kwa maslahi ya wachache, kwasababu Uhuru wa kukusanyika kwa Amani ni njia muhimu ya kuwasilisha maoni na kudai Haki
#FreedomOfSpeech #SayNoToCensorship #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom
❤1
Kueleza mawazo yako hadharani na kukusanyika kwa Amani si uhalifu, ni haki ya msingi ya kila Mtu, lakini katika Mataifa mengi, Watu wanaokosoa Serikali au Kuandamana kudai haki zao wanakamatwa, kunyanyaswa au hata kupotezwa
Kupaza sauti si uhalifu na Kukosoa Mamlaka si uhaini
#FreedomOfSpeech #SayNoToCensorship #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom
Kupaza sauti si uhalifu na Kukosoa Mamlaka si uhaini
#FreedomOfSpeech #SayNoToCensorship #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom
Haki hizi hazitolewi kama fadhila za Serikali au Watawala, ni Haki za msingi za kila Mtu. Jamii inayodumisha Uhuru wa Kujieleza na Kukusanyika kwa Amani hujenga Mazingira ya Haki, Usawana Maendeleo
Haki hizi zinahakikisha Uwajibikaji wa Viongozi, huipa jamii nafasi ya kushiriki katika maamuzi yanayoathiri Maisha yao, pia zinaimarisha Utawala wa Kidemokrasia na kulinda Haki za Binadamu
#FreedomOfSpeech #SayNoToCensorship #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom
Haki hizi zinahakikisha Uwajibikaji wa Viongozi, huipa jamii nafasi ya kushiriki katika maamuzi yanayoathiri Maisha yao, pia zinaimarisha Utawala wa Kidemokrasia na kulinda Haki za Binadamu
#FreedomOfSpeech #SayNoToCensorship #FreedomOfExpression #SautiYetuUhuruWetu #JamiiForums #DemocracyNeedsFreedom
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
RUVUMA: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi, amezungumzia ripoti kadhaa na kueleza zimeonesha Uhuru wa Habari umeimarika Nchini
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025
Soma https://jamii.app/NchimbiAprili4
#PressFreedom #JamiiForums #Governance #FreedomOfExpression

#TANZIA: Sifa Bujuni aliyeimba wimbo wa “Tanzania Inaelekea Wapi?” yenye kionjo cha “Mnatuona Nyani tu” amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Baba Mzazi wa Marehemu amethibitisha taarifo za kifo chake
Ikumbukwe, Septemba 13, 2023, Sifa na wenzake Wawili walikamatwa huko Isyesye - Mbeya wakidaiwa kuandaa wimbo wenye maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuusambaza kupitia mitandao ya kijamii pamoja na mtandao wa kurusha maudhui wa YouTube
Septemba 19, 2023, Sifa na wenzake Salome Mwampeta (Mwimbaji) na Mtayarishaji wa Wimbo huo, Hezekiel Millyashi George walipandishwa Mahakamani na kusomewa Shtaka la Kusambaza Taarifa za Uongo kwa njia ya Mtandao ambapo wote walikana na baadaye kesi yao kufutwa
Soma https://jamii.app/SifaAfariki
#JamiiAfrica #JamiiForums #FreedomOfExpression #Demokrasia #UhuruWaKujieleza

Taasisi ya CIPESA (Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa) kwa kushirikiana na wadau wengine, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu dhidi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Safaricom na Airtel Kenya, kupinga vitendo vya kiholela na visivyo halali vya kuzuia huduma ya intaneti nchini humo
Kesi hiyo inajikita kwenye ushahidi wa kiteknolojia kutoka Mashirika ya Kimataifa kama Cloudflare, Open Observatory of Network Interference (OONI) na Internet Outage Detection and Analysis (IODA), ambayo yamedhihirisha kuwepo kwa vitendo vya makusudi vya kupunguza kasi ya intaneti na kufunga baadhi ya majukwaa kama vile Telegram
Zaidi https://jamii.app/KeepItOnKE
#DigitalRights #JamiiForums #JamiiAfrica #FreedomOfExpression #Governance #Accountability

Mwanasiasa na Balozi Humphrey Polepole akizungumza kupitia ukurasa wake wa #Facebook amesema "Huu Mchakato wa kupata Wagombea (ndani ya Chama Cha Mapinduzi - #CCM) umekosewa, wakati mwingine inatakiwa kubomoa ili tujenge, nimeongea na mzee mmoja amekiri kuwa pale walichemka."
Soma https://jamii.app/PolepoleWagombea
#Democracy #JamiiForums #JamiiAfrica #FreedomOfExpression
Soma https://jamii.app/PolepoleWagombea
#Democracy #JamiiForums #JamiiAfrica #FreedomOfExpression
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mwanasiasa na Balozi Humphrey Polepole akizungumza kupitia ukurasa wake wa #Facebook amesema "Kwenye #CCM hakuna kuvuana nguo, wala wasisingizie kuwa tunakosoana kwenye vikao, sisi tusiokuwa na vikao tunakosoana hadharani."
Amesema hayo leo Julai 18, 2025 na kuongeza, "Hata walipokuwa wanafanya vibaya kwenye CCM, Mwalimu Julius Nyerere alitoka hadharani zaidi ya mara moja na kuwaambia waliokuwa wanakosea."
Soma https://jamii.app/WaojifanyaWanaCCM
#Democracy #JamiiForums #JamiiAfrica #FreedomOfExpression
Amesema hayo leo Julai 18, 2025 na kuongeza, "Hata walipokuwa wanafanya vibaya kwenye CCM, Mwalimu Julius Nyerere alitoka hadharani zaidi ya mara moja na kuwaambia waliokuwa wanakosea."
Soma https://jamii.app/WaojifanyaWanaCCM
#Democracy #JamiiForums #JamiiAfrica #FreedomOfExpression
❤1
IVORY COAST: Mahakama imemhukumu Tokpa Flan Japhet kifungo cha Miaka Mitatu jela na kumtoza faini ya Dola 8,500 (Tsh. Milioni 22.1) kwa kutoa maoni kwenye #Facebook akisema "Kama Mama wa Rais Alassane Ouattara angefanya 'utoaji mimba' angekuwa ameokoa Afrika." Kauli iliyotafsiriwa kama lugha ya kumdhihaki Rais.
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka imesema adhabu hiyo ni sehemu ya juhudi za kudhibiti vitendo visivyofaa vinavyoongezeka kwenye Mitandao ya Kijamii.
Hukumu hiyo imetolewa miezi michache kabla ya uchaguzi wa Rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, ambapo chama cha #RHDP kimemteua Rais Ouattara kuwania kwa mara ya nne.
Soma https://jamii.app/IvoryCoastRais
#JamiiAfrica #JamiiForums #FreedomOfExpression #UhuruWaKujieleza #Governance

Aliyekuwa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amesema Kiwango cha kupendwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya siasa za Tanzania huku akitolea mifano kuwa kuna Viongozi wanaofunga “comments” katika mitandao yao ya Kijamii kuhofia maoni ya Wananchi.
Ameyasema hayo leo Agosti 15, 2025 wakati anazungumza kwa njia ya Mtandao
Zaidi https://jamii.app/CCMKuchukiwaHistoria
#JamiiAfrica #JamiiForums #HumanRights #FreedomOfExpression

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mbunge wa zamani wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima akizungumza kwa njia ya Mtandao, leo Agosti 25, 2025, amesema Viongozi ambao hawanyenyekei na kusikiliza malalamiko ya Wananchi basi uongozi wa Viongozi hao haujatoka kwa Wananchi bali umetoka sehemu nyingine hata Wananchi wakilia na kuomboleza.
Ameyasema hayo leo Agosti 25, 2025 akiwa anazungumza Mtandaoni.
Zaidi https://jamii.app/HotubaYaGwajima
#JamiiAfrica #JamiiForums #HumanRights #FreedomOfExpression
Ameyasema hayo leo Agosti 25, 2025 akiwa anazungumza Mtandaoni.
Zaidi https://jamii.app/HotubaYaGwajima
#JamiiAfrica #JamiiForums #HumanRights #FreedomOfExpression
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mashirika ya Umma kuzingatia uwekaji wa maudhui ambayo yanaleta chachu ya kuwaleta pamoja na sio kuwagawa kiitikadi kwa kuwa huduma zinazotolewa zinalenga Wananchi wote bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila.
Ameeleza hayo baada ya kudai Vituo vya Treni ya SGR kuwa na kawaida ya kucheza ujumbe wa sauti wa vijana wa hamasa wa CCM ambao unaonekana kugawa abiria kiitikadi.
Kuufikia mjadala https://jamii.app/SGRIacheItikadiSiasa
#JamiiForums #JFAccountability #FreedomOfExpression
Ameeleza hayo baada ya kudai Vituo vya Treni ya SGR kuwa na kawaida ya kucheza ujumbe wa sauti wa vijana wa hamasa wa CCM ambao unaonekana kugawa abiria kiitikadi.
Kuufikia mjadala https://jamii.app/SGRIacheItikadiSiasa
#JamiiForums #JFAccountability #FreedomOfExpression
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mwandishi wa Habari, Khalifa Said amezungumzia kuhusu uhuru wa Waandishi wa Habari kutoa Maoni na kueleza kuwa hiyo ni Haki yao kwa kuwa nao ni sehemu ya Jamii na ni Haki yao ya Kikatiba.
Zaidi https://jamii.app/WaandishiMaoni
#JamiiForums #FreedomOfExpression #FreedomOfSpeech #Democracy
Zaidi https://jamii.app/WaandishiMaoni
#JamiiForums #FreedomOfExpression #FreedomOfSpeech #Democracy
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kijana aliyejitambulisha kuwa ni Mgambo amefikisha ujumbe huo kwa Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa, Machi 9, 2026.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/MgamboKutokulipwa
#JamiiForums #Utawala #CivilRights #FreedomOfExpression
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/MgamboKutokulipwa
#JamiiForums #Utawala #CivilRights #FreedomOfExpression
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Msanii Diamond Platnumz amezungumzia kuhusu Wasanii kutothaminika na kutumika zaidi wakati wa kampeni za kisiasa, ameeleza hayo, Machi 31, 2026, alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi FM.
Zaidi tembelea https://jamii.app/DiamondKampeni
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance #FreedomOfExpression

❤1🤬1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (#DiamondPlatnumz) ametoa kauli hiyo Machi 31, 2026 wakati alipokuwa akihojiwa katika Kituo cha Wasafi FM.
Zaidi https://jamii.app/DiamondNaogopaSerikali
#JamiiForums #FreedomOfExpression #FreedomOfSpeech #Democracy
Zaidi https://jamii.app/DiamondNaogopaSerikali
#JamiiForums #FreedomOfExpression #FreedomOfSpeech #Democracy
👎1👌1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mchora Katuni ambaye amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV, Masoud Kipanya ameyasema hayo Mei 15, 2026 kupitia chaneli ya Kipanya Tell A Vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya Watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Zaidi tembelea https://jamii.app/KukomentiCHADEMA
#JamiiForums #Uwajibikaji #Siasa #DigitalRights #FreedomOfExpression

❤2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema hayo katika mahojiano maalum kupitia The Jenerali Ulimwengu Post yaliyorushwa Agosti 14, 2026.
Mdau, una maoni gani?
Shiriki https://jamii.app/KesiZaUhaini
#JamiiForum #FreedomOfExpression #FreedomOfSpeech #Democracy