Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Agosti 7, 2026 jijini Dar es Salaam, JamiiAfrica ilifanya mjadala na wadau mbalimbali wa Habari kuhusu uwajibikaji mtandaoni pamoja na mapendekezo ya kuimarisha usalama wa mitandao nchini.
Mjadala huu uliandaliwa kwa kushirikiana na taasisi ya IMS na UTPC ikiwa chini ya mradi wa Umoja wa Ulaya.
Tembelea https://jamii.africa
#JamiiAfrica #IMS #EUProject #UTPC
Mjadala huu uliandaliwa kwa kushirikiana na taasisi ya IMS na UTPC ikiwa chini ya mradi wa Umoja wa Ulaya.
Tembelea https://jamii.africa
#JamiiAfrica #IMS #EUProject #UTPC
❤1