Mdau kutoka Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki ndani ya JamiiForums.com anasema ana Mtoto wa Kiume mwenye umri wa Miaka 6 ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu ni lazima apewe mara moja, la sivyo analia hadi apewe. Anadai Mama yake anamdekeza kwa kila anachotaka, hata akikataa chakula, anampatia kingine.
Anadai, hali hiyo imemchosha kwani anaona Mtoto anaharibika, kila akijaribu kumuweka sawa, tayari mama ameshampa kitu alichotaka, jambo linalosababisha ugomvi baina yao.
Amekiri kuanza kuwaza kupata Mtoto nje ya uhusiano na Mwanamke aliyemwomba kufanya hivyo, akiamini upande wa pili kuna nidhamu zaidi. Anaomba ushauri.
Soma Zaidi https://jamii.app/KuzaaMtotoNje
#JamiiAfrica #JamiiForums #Maisha #LifeStyle

🤔1
Kuna wageni…halafu kuna Ushinzi! Mtu anakuja asubuhi anakuta chai, mpaka usiku muda wa tamthilia bado yupo! 🍽️😂
Mtag rafiki yako mwenye tabia ya Ushinzi bila kumwambia chochote😃
Tembelea https://jamii.app/JukwaaJamiiForums
#JamiiAfrica #JamiiForums
#Maisha #Lifestyle #JFChitChat
Mtag rafiki yako mwenye tabia ya Ushinzi bila kumwambia chochote😃
Tembelea https://jamii.app/JukwaaJamiiForums
#JamiiAfrica #JamiiForums
#Maisha #Lifestyle #JFChitChat
❤1
Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums.com wamejadili kuhusu mikasa waliyokutana nayo kutokana na kuwasaidia Watoto "Homework"
Je, Mdau huwa una utamaduni wa kuwasaidia wanao "Homework" zao?
Elezea Kisa chako https://jamii.app/KumsaidiaMtotoHomework
#JamiiForums #JamiiAfrica #LifeStyle #JFElimu
Je, Mdau huwa una utamaduni wa kuwasaidia wanao "Homework" zao?
Elezea Kisa chako https://jamii.app/KumsaidiaMtotoHomework
#JamiiForums #JamiiAfrica #LifeStyle #JFElimu
❤1
Mdau, umewahi kumpenda sana mtu halafu mkaja kuachana?
Ilikuwaje na ulitumia mbinu gani kumsahau ukasonga mbele?
Tujulishe hapa https://jamii.app/KumsahauMtuUliyempenda
#JamiiForums #JamiiAfrica #Lifestyle #JFChitChats
Ilikuwaje na ulitumia mbinu gani kumsahau ukasonga mbele?
Tujulishe hapa https://jamii.app/KumsahauMtuUliyempenda
#JamiiForums #JamiiAfrica #Lifestyle #JFChitChats
Mdau ndani ya JamiiForums.com amesema kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia Mtoto kufanikiwa katika Maisha.
Amesisitiza Wazazi kuchukua jukumu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa watoto wao.
Mdau kama Mzazi ni mbinu gani unatumia kumjengea mwanao kujiamini?
Kushiriki kwenye mjadala huu bofya https://jamii.app/MbinuMtotoUjasiri
#JamiiForums #JamiiAfrica #Lifestyle #Malezi #Maisha

Mdau huwa unazingatia vitu gani au ni jambo gani linakukera uwapo safarini?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MamboKuzingatiaSafarini
#JamiiAfrica #JamiiForums #Maisha #LifeStyle #JFMdau
Mjadala zaidi https://jamii.app/MamboKuzingatiaSafarini
#JamiiAfrica #JamiiForums #Maisha #LifeStyle #JFMdau
❤1
Si Wakristo wote husherehekea Krismasi tarehe 25 Desemba. Ingawa Wakristo wengi ulimwenguni wanaotumia kalenda ya Gregorian husherehekea siku hiyo, baadhi ya makanisa ya 'Orthodox' na nchi kama Armenia husherehekea Krismasi tarehe 7 Januari kwa sababu wao bado wanatumia kalenda ya 'Julian'.
Zaidi https://jamii.app/ChristmasSioKoteDuniani
#JamiiForums #Maisha #LifeStyle #Xmas2025
Zaidi https://jamii.app/ChristmasSioKoteDuniani
#JamiiForums #Maisha #LifeStyle #Xmas2025
❤2
Mdau, una chochote cha kufungua? Umepewa au umetoa zawadi kwa ndugu, jamaa na marafiki?
Mjadala zaidi https://jamii.app/BoxingDay2025
#JamiiForums #LifeStyle #Maisha #BoxingDay2025
Mjadala zaidi https://jamii.app/BoxingDay2025
#JamiiForums #LifeStyle #Maisha #BoxingDay2025
🔥1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mjadala huu na mingine mingi.
Zaidi bofya https://jamii.app/MwakaJanaMakosa
#JamiiForums #Lifestyle #JFChitChats
Zaidi bofya https://jamii.app/MwakaJanaMakosa
#JamiiForums #Lifestyle #JFChitChats
Mdau wa JamiiForums.com amehoji usemi huu wa Wahenga ‘Nyuma ya mafanikio ya Mwanaume mara nyingi yupo Mwanamke’ huwa unamaanisha nini?
Zaidi tembelea https://jamii.app/MafanikioMwanamke
#JamiiForums #Lifestyle #JFChitChats
Zaidi tembelea https://jamii.app/MafanikioMwanamke
#JamiiForums #Lifestyle #JFChitChats
❤1
Mdau anauliza je, anafanya maamuzi sahihi? Mshauri zaidi kwenye comments👇👇
Zaidi soma https://jamii.app/MkeChumbani
#JamiiForums #Lifestyle #Maisha
Zaidi soma https://jamii.app/MkeChumbani
#JamiiForums #Lifestyle #Maisha
❤1
Una ushauri gani kwa Mdau?
Kwa mjadala zaidi na kuona maoni ya Wadau wa JamiiForums tembelea https://jamii.app/AnaExWake
#JamiiForums #Lifestyle
Kwa mjadala zaidi na kuona maoni ya Wadau wa JamiiForums tembelea https://jamii.app/AnaExWake
#JamiiForums #Lifestyle
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mdau, umeuelewa ujumbe wa Atwoli?🌚
Zaidi https://jamii.app/ManenoYaAtwoli
#JamiiForums #JFJokes #Lifestyle #ChitChats
Zaidi https://jamii.app/ManenoYaAtwoli
#JamiiForums #JFJokes #Lifestyle #ChitChats
Mdau umesherekea vipi sikukuu ya Wapendanao, umepokea chochote au bado unaskilizia?
Kushiriki mijadala mingine tembelea JamiiForums.com
#JamiiForums #LifeStyle #ValentinesDay2026
Kushiriki mijadala mingine tembelea JamiiForums.com
#JamiiForums #LifeStyle #ValentinesDay2026
Mdau, uliishinda changamoto gani hadi ukaamini kuwa Mungu yupo na anasikiliza maombi yako?🙏
Kuona shuhuda za Wadau JF tembelea https://jamii.app/JamboUwepoMungu
#JamiiForums #JFChitChat #JFMaisha #LifeStyle
Kuona shuhuda za Wadau JF tembelea https://jamii.app/JamboUwepoMungu
#JamiiForums #JFChitChat #JFMaisha #LifeStyle
Mdau kila mtu ana kisa ambacho kilimfanya agundue rafiki yake si mtu wa kuaminika.
Tuambie wewe kilikukuta nini?
Mjadala huu unaendelea ndani ya JamiiForums.com kuufikia bofya https://jamii.app/RafikiSiRafikiYako
#JamiiForums #JFVisa #Lifestyle
Tuambie wewe kilikukuta nini?
Mjadala huu unaendelea ndani ya JamiiForums.com kuufikia bofya https://jamii.app/RafikiSiRafikiYako
#JamiiForums #JFVisa #Lifestyle
Je, unakubaliana na hoja ya mdau kuwa mafanikio siku hizi ni bahati tu? Au nguvu ya kupambana bado ina nafasi yake?
Ungana na wadau wengine https://jamii.app/MaishaBoraSiBidii
#JamiiForums #Lifestyle #MorningPost #AmkaNaJF
Ungana na wadau wengine https://jamii.app/MaishaBoraSiBidii
#JamiiForums #Lifestyle #MorningPost #AmkaNaJF
Mdau anasema "Mtu asikuvuruge kwa kukwambia fanya biashara wakati unajijua hata hiyo biashara huwezi. Jiongezee thamani na kujituma, hapo hapo ulipo mafanikio yako yatakuja."
Je, mdau ana hoja?
Zaidi https://jamii.app/BiasharaKaniNaniAfanye
#JamiiForums #Lifestyle
Je, mdau ana hoja?
Zaidi https://jamii.app/BiasharaKaniNaniAfanye
#JamiiForums #Lifestyle