LIGI KUU BARA: SIMBA YAIRARUA DODOMA JIJI 2 - 0
#SimbaSC imeendeleza rekodi yake nzuri kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga #DodomaJijiFC goli 2 - 0 kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi
Simba imefikisha alama 6 na kuongoza Ligi hiyo huku Dodoma Jiji ikiwa na alama 3 katika nafasi ya 7.
Fuatilia Kilichojiri https://jamii.app/SSCvsDJFC
#JamiiForums #JFSports #NBCPL

❤1
YANGA SC YAKUTANA NA KIPIGO KUTOKA KWA IHEFU FC
Timu ya #Ihefu imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa mzunguko wa nne wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa katika Dimba la Highland Estates, Mbeya
Kwa matokeo haya, #YangaSC inashika nafasi ya 2 ya Ligi hiyo ikiwa na pointi 9 baada ya michezo minne huku Ihefu FC ikishika nafasi ya 7 ikiwa na pointi 6 baada ya michezo minne
Fuatilia kilichojiri https://jamii.app/Ihefu-Yanga_2-1

👍4👏3🤬3❤1😁1