IJUE MBEGU BORA WA KUKU AINA YA KUROILER
Kuroiler ni aina ya kuku asili ya India.(common sana nchini India). Kuku hawa walianza mnamo mwaka 1990 ni kuku mchanganyiko wa
1. Broliler male + Female Rhode island red
2. White leghorm male + Female Rhode island
Ni mbegu bora sana inayojulikana kwa uvumulivu wa kustahimili mazingira yoyote hata yale magumu. Wanahimili magonjwa na unaweza wafuga kienyeji na kukupa matokeo mazuri sana. Hawaambukizwi magojwa kirahisi.Hutaga akiwa na miezi 5. Jogoo anaweza kufikia kilo 5 akiwa na miezi 5 na mtetea 3.5. Wanasifa ya kutaga mayai kwa wingi wastani wa mayai 250 - 300 kwa mwaka.Mayai yao yanakiini cha njano kama wa kienyeji.

Ili kupata mazao bora inabidi kuandaa shamba vizuri kwa kulisafisha na kuondoa mabaki yote ya mazao ya zamani na kuyachoma moto ili kuondoa mazalia ya wadudu kutoka katika mazao yaliyopita.
pia ni vyema kufanya kilimo cha mzunguko ili kuepuka wadudu kufanya makazi ya kudumu katika shamba lako.
Kwa pilipili mbuzi ni vyema kuchagua shamba ambalo halijawahi kulimwa karibuni nyanya, tumbaku au viazi mviringo kwani wadudu wanaodhuru mazao haya wanadhuru pia pilipili mbuzi.
endelea kutembelea KilimoTanzaniaThe post MAMBO YA MSINGI YA KUKUMBUKA UKITAKA KUFANYA KILIMO CHA PILIPILI MBUZI. appeared first on Kilimo Tanzania.
via KilimoTanzania Bloghttps://kilimotz.com/?p=2562

Kuku ni moja ya miradi inayofanywa kwa wingi na watu wa kada mbalimbali, wakiwamo wakulima na wafugaji, na wanaofanya shughuli nyinginezo.
Moja ya changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili na kuzungumziwa mara kwa mara ni magonjwa yanayoshambulia kuku, bila wafugaji kufahamu ni nini cha kufanya.Kumekuwepo na njia mbalimbali za kutibu kuku, zikiwemo za asili na zisizokuwa za asili.
Moja wapo ya tiba rahisi ya asili kwa kuku ni kwa kutumia shubiri mwitu maarufu kama Aloe Vera. Mmea ambao umekuwa ukisifika kwa kutibu magonjwa mbalimbali kwa binadamu, wanyama na ndege.
Shubiri mwitu (Aloe) imekuwa ikitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa za binadamu na wanyama na mambo mengine mengi.
Kwa sababu ya madawa mengi ya kiwandani kushindwa kutibu baadhi ya magonjwa kwa sababu wadudu wametengeza ukinzani, ipo haja kubwa ya kuweka mkazo kwenye madawa ya asili yatokanayo na mimea.
Mmea wa aloe vera unauwezo wa kutibu magonjwa ya kuku hasa mharo mwekundu na kwa kiasi fulani mdondo-Newcastle disease.Tafiti zilizofanyika kwa kutmia mti huu kutibu ugonjwa wa mharo mwekundu-coccidiosis ambao unamadhara makubwa kwa wafugaji wa kuku zinaonesha kuwa mti huu unaweza kutumiwa kama mbadala wa dawa za viwandani.
Maji maji ya mmea huu yana uwezo wa kutibu magonjwa na kuponyesha majeraha yanayotokana na maambukizi ya magonjwa pamoja na kupandisha kinga ya kuku kwa asilimia 50 dhidi ya maonjwa mbalimbali.
KupandaMmea wa Aloe vera unaweza kupandwa maeneo ya karibu na mabanda ya kuku ili kurahisisha upatikanaji wake na unakubali maeneo karibu yote.
Shubiri mwitu kwa ukuaji wa kukuShubiri mwitu inapowekwa kwenye maji inasaidia kwa kiasi kikubwa kuku kukua haraka. Mililita 15 had 20 za maji ya shubiri mwitu yakichanganywa na lita tano za maji kila siku kwa kuku 90 yana uwezo wa kusaidia ukuaji wa kuku na kuongeza uzito ukilinganisha na wale ambao hawajapewa.
Uandaaji wa Shubiri mwitu KunywaShubiri mwitu (moja) inaweza kukatwe vipande vipande na kulowekwa ndani ya maji ya kunywa kiasi cha lita 1-hadi 3 kutegemeana na idadi ya kuku.
Viache vipande hivyo kwenye maji kwa siku kadhaa hadi unapobadilisha maji ndipo uviweke vingine.
Ukiweza kuchuja mchuzi wa shubiri mwitu basi unakuwa ukitumia mililita 15 ndani ya lita tano ya maji ya kunywa kuku kwa kuku 90 kama una kuku wachache basi punguza kiasi cha dawa au ongeza kama ni wengi.
VidondaKuku wenye vidonda kama ilivyo kwa ugonjwa wa mdondo (Newcastle Disease) inakubidi utengeneze unga. Kata vipande vidovidogo vya shubiri mwitu kisha changanya na pumba kidogo, vitwange na kuvichekecha ili upate unga laini.
Anika na kisha tunza vizuri tayari kwa kuutumia mara kuku wauguapo. Kuku wenye vidonda waoshwe vizuri kwa maji safi na sabuni pamoja na chumvi kidogo.
Baada ya hapo paka unga wa shubiri kwenye vidonda hivyo.Njia hii ya asili ni nzuri na muhimu sana kwa utunzaji wa kuku, kwa kuwan hupunguza uwezekano wa matumizian ya madawa makali ya viwandani ambayo yana madhara kwa walaji na mazingira.
The post MAAJABU YA SHUBIRI MWITU KAMA TIBA KWA KUKU (https://kilimotz.com/?p=2565) appeared first on Kilimo Tanzania (https://kilimotz.com/).

Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama wengine ambao wanataka kujikumbusha mada hizo na kuchukua hatua:Tukumbuke!! TUKIWEKA JITIHADA.. KILIMO KINALIPA!!.nawapeni mfano: unaenda Kiwangwa bagamoyo unanunua ekari moja ya ardhi kwa ajili ya kilimo cha nanasi.gharama zitakuwa hivi:ununuzi wa ardhi kwa Tsh. 300,000– (ekari ni hatua 70×70)utayarishaji wa shamba Tsh 150,000/=gharama ya miche na upandaji miche 15,000 kwa ekari Tsh 750,000 (i.e.50 x 15,000 ikijumuisha ununuzi wa mbegu na upandaji),Mbolea 100,000.matumizi mengine 200,000 (ikiwa ni pamoja ni vibarua, na kuleta mzigo sokoni).jumla 1,500,000/-Mapatonanasi unavuna baada ya miezi 18. kwa hesabu za chini kabisa unauza nanasi moja kwa Tsh 500 na assume unapata nanasi 12,000 utapata Tsh 6,000,000/=. (assumption ni kuwa si rahisi kupata mavuno 100%- bali inaweza kuwa 80%)Faida :Ukiondoa matumizi (Tsh 1,500,000) unapata faida 4,500,000 ukiwa na ekari tano bila shaka utapata zaidi ya milioni 20 (na hapo hujaweka economy of scale). –though unaweza kupunguza au kuongeza asilimia fulani kutegemeana na risks zilizopo na uzoefu wako katika kusimamia na kutafuta masoko..soko likoje Kuna atakayeuliza je soko lipo– mimi nasema soko lipo huko huko shamba au unaleta kwa BAKHRESA anayenunua matunda kwa ajili ya kutengeneza natural juice i.e. azam box juice). nasikia kuna kiwanda kingine kinaanzishwa bagamoyo (siyo bakhresa). ila tukumbuke kwa sasa ambapo nanasi ni chache ukienda sokoni huwezi pata nanasi chini ya 1,500/-The post MCHANGANUAO WA KILIMO BORA CHA NANASI NA FAIDA UTAZOZIPATA appeared first on Kilimo Tanzania.
via KilimoTanzania Bloghttps://kilimotz.com/?p=2571

Kilimotz
乐动官方-(中国)科技公司
乐动官方,泛亚电竞是亚洲顶尖的电竞赛事平台,系统集合了全球最热门的各类电竞赛事的比赛竞猜;以玩家为核心,不断挖掘电竞新玩法,打造最受欢迎的竞猜娱乐平台。(中国)科技公司官网经过十多年的蓬勃发展,业已成为乐动官方极具专业影响力的景观设计机构。
Mnyama huyu huaminika ndiye mwaminifu zaidi kati ya wanyama wote wanaofugwa nyumbaniKuna wale wanaomfuga pia kwa sababu humchukulia kama ‘kipenzi’ chao (pet).MediaJe, wajua mbwa ni kitega uchumi kwa baadhi ya wanaomfuga? Mnyama huyu ametajirisha baadhi ya wafugaji wanaomthamini.Mbwa hawa hufugwa na kutunzwa kwa msingi wa malengo matatu, wale wa kunusa (sneaver dogs), wa kulinda/kuhifadhi usalama (guard dogs) na wa kuongoza (guide dogs) maafisa wa usalama.Mbwa huzaa mara mbili kwa mwaka ambapo hubeba ujauzito kwa kipindi cha siku 63 (miezi 2).Kwa kawaida mbwa mmoja huzaa kati ya vilebu 8 – 12.LisheAnachohitaji mbwa ni lishe bora pekee huku magonjwa yanayomwathiri yakiwa finyu kinyume na wanyama wengine.“Lishe ni kiungo muhimu kwa mbwa, hulishwa kwa chakula anachokula binadamu japo kuna vyakula vingine vinavyonunuliwa kwenye maduka,”.Vilebu hulishwa mara mbili kwa siku huku walionenepa na kukomaa wakilishwa mara moja kwa siku. Hulishwa kwa nyama, mifupa iliyosagwa, chakula halisi cha mbwa kinachojulikana kama ‘Top dog’, punje za mchele, samaki aina ya ‘omena’ ama masalia ya chakula.“Chakula chake huchanganywa na vitamini mbalimbali (multi-vitamin) ili kuboresha afya yake, manyoya, meno na mifupa iwe dhabiti na yenye nguvu. Vitamini hivo ni: CAL-VITAMAX yenye madini ya Calcium’.Ikumbukwe usafi wa makazi ya mbwa ni jambo la muhimu kuzingatia kwa minajili ya kufurusha wadudu kama vile viroboto na kupambana na magonjwa yanayotokana na uchafu.“Makazi ya mbwa yanafaa kusafishwa na kupuliziwa kwa dawa aina ya dudu dust kila siku ili kufurusha viroboto. Kisha mbwa waoshwe kwa dawa aina ya Dudu Krin mara moja kwa wiki,” ashauri, tabibu wa mifugo.MagonjwaMagonjwa kwa mbwa ni jambo linalofaa kutiliwa maanani wakati wa malezi yake.
Magonjwa kama vile: Canine Distemper, Canine Herpatitis, Lep Tospirosis, Parvo Virus (ugonjwa wa kuendesha damu), Rabbies (Kichaa) ndio huathiri mbwa.“Ili kuepuka athari za magonjwa haya hupewa aina tatu ya chanjo kwa mwaka. Kikubwa azaliwapo na kufikisha Wiki 6 hudungwa chanjo ya Parvo Virus, akiwa na umri wa Miezi 3 hudungwa ya DHLP na anapohitimu Miezi 4 hudungwa sindano ya chanjo ya Kichaa (Rabbies),Kumbuka;Mbali na chanjo hiyo, pia hupewa dawa za minyoo (deworming) kila baada ya miezi 2. Dawa za minyoo hupewa kulingana na umri wa mbwa.
Mbwa aliyefikisha umri wa mwezi mmoja na nusu hupewa nusu tembe ya dawa aina ya Plozin, miezi 6 hupewa tembe moja na aliye zaidi ya miezi minane hupewa tembe mbili.“Kuna haja ya mbwa kuhusishwa kwenye matembezi ili kunyoosha viungo vyao vya mwili pia waweze wapunge hewa mwanana.
Faida kubwa
Usalama (security firms) na wanaowahifadhi kwa minajili ya kuimarisha usalama katika makazi yao na wanyama wa kucheza nao (pets).The post JIFUNZE MATUNZO MAZURI KWA MBWA WA KUFUNGWA appeared first on Kilimo Tanzania.
via KilimoTanzania Bloghttps://kilimotz.com/?p=2592

Mlipuko wa magonjwa ni moja ya sababu za hasara kubwa kwa wafugaji na vifo vinavyotokea kwa wakati mmoja. Pindi mfugaji anapokumbwa na janga la vifo vya ndege, kabla ya kufikia mwisho wa mzunguko wa uzalishaji hivyo basi asitarajie kupata faida nzuri mara baada ya mauzo.Hasara itokanayo na vifo inaweza kuepukika au kupunguzwa na kutokea kwa kiasi kidogo.
Hili linawezekana, ifuatayo ni namna ya kufanikisha hilo;-
1. Osha vyombo vya maji kila wakati na mwaga maji yaliyobaki.
Hakikisha unamwaga maji yaliyosalia mbali na kuosha chombo na sabuni kila siku, weka maji safi yasiyo na dawa na wala usitumie maji ya mto au yale usiyoyajua chanzo chake. Kama utaweka maji dawa basi tumia ‘vitamini’ muhimu kama ‘vitalyte’ ambazo zinasaidia kuua vijidudu.
2. Wape maji kabla ya chakula.
Ndege wapo tofauti na binadamu au wanyama wengine. Hakikisha unawapa maji kabla ya chakula hasa kama unatumia maranda, hii ni kuhakikisha hawakanyagani wanapogombania chakula sehemu moja.
3. Usiwape chakula chenye uvundo.
Ni hatari sana kuwapa ndege/kuku wako chakula chenye ukungu, ni kama kuwalisha sumu. Ukungu au uvundo huwafanya kuku waugue kirahisi sana au kuwasababishia madhara mengine kiafya.
4. Fuatilia kwa makini ratiba za chanjo na tiba.
Mfugaji unatakiwa kupata tiba na chanjo sahihi kwa ndege unaowafuga. Kuchanja ndege kutasaidia sana kuimarisha kinga yao dhidi ya magonjwa hatari kama kideri, ndui, gumboro na mareksi. Dawa kama vile za minyoo na antibayotiki ni muhimu sana kwenye afya ya kuku na ndege wengine.
5. Nunua na fuga vifaranga wenye afya njema.
Matatizo mengi ya afya ya ndege au kuku ni matokeo ya maisha duni ya awali ya kuku hao au huwa wanarithi. Itambulike hivi, baadhi ya ndege/kuku hurithi afya mbovu kutoka kwa wazazi wao. Hata hivyo baadhi ya watotoleshaji pia wanafuga kuku ambao wana afya mbovu na hivyo huuza vifaranga au mayai dhaifu na waathirika na hivyo mnunuzi anajikuta ananunua matatizo.
6. Zuia mkusanyiko wa hewa ya ammonia.
Maranda yakikaa muda mrefu bandani, hufanya hewa ya ammonia kuzalishwa kwa wingi, hewa hii hufanya ndege wapaliwe hadi kufa. Kila mara ondoa maranda mabichi au yaliyovunda na weka mengine haraka iwezekanavyo ili kuepuka vifo vitokanavyo na kupaliwa au magonjwa ya mfumo wa hewa.
7. Zuia panya na vicheche.
Banda la ndege linatakiwa lisiruhusu panya au wanyama wadogo jamii ya kicheche kuingia ndani, na ndege wa mwituni kwa kuweka nyavu au kupulizia dawa, ikiwa watapata upenyo wataua na kula ndege/kuku wako na kuacha vimelea vya magonjwa wanapokula vyakula au kunywa maji ya ndege wako.
8. Zingatia usafi na usalama.
Kipengele hiki cha usafi na usalama ni kipana ila unachotakiwa kufanya ni kuzingatia usafi nje na ndani ya banda. Unatakiwa ukamilishe usalama wa afya ya ndege/kuku wako kila wakati, jambo ambalo wafugaji wengi hutekeleza pindi wanapo shitukizwa na mlipuko wa magonjwa.
9. Wape chakula cha kutosha.
Ndege kama walivyo wanyama wengine, hawawezi kukua na kuzalisha vizuri endapo wanapewa chakula duni na kidogo. Chakula bora ni msingi imara na ni kinga kwani chakula duni hupelekea uzito kupungua na kinga kuwa chini na hivyo hufa mapema. Jitahidi wape kuku chakula cha kutosha ila usiwazidishie.
10. Wakinge dhidi ya baridi kali.
Baridi kali ni adui kwa afya ya wanyama, ndege na binadamu. Jaribu kila uwezavyo kuwakinga kuwakinga ndege wako na baridi kali kwani inaua haraka sana kama sumu. Wawekee chanzo cha joto wakati wa baridi au jenga banda ambalo halipitishi baridi kali.
Hizo ndizo njia muhimu ambazo ukiwa mfagaji unazoweza kuzitumia ili kukinga magonjwa yanatokanayo na kuku.The post FANYA YAFUATAYO KUEPUKA MAGONJWA…

KILIMO BORA
FANYA YAFUATAYO KUEPUKA MAGONJWA YA KUKU YA MLIPUKO.
Mlipuko wa magonjwa ni moja ya sababu za hasara kubwa kwa wafugaji na vifo vinavyotokea kwa wakati mmoja. Pindi mfugaji anapokumbwa ...
Pamoja na umuhimu wake, magonjwa ya nyanya yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika uzalishaji na ubora wa matunda ya nyanya. Sasa ili mkulima aweze kupata faida na kuongeza pato lake ni vema kuzingatia udhibiti wa magonjwa ya nyanya tangu mwanzo zinapoonekana dalili.UtanguliziNyanya ni zao la chakula na biashara. Kilimo cha zao hili hufanyika majira yote (masika na kiangazi), na faida hupatikana haraka na ni ya kuridhisha ikilinganishwa na mazao mengine. Pamoja na umuhimu wa zao hili, wadudu waharibifu na magonjwa huathiri uzalishaji na ubora wa matunda. Ili mkulima aweze kupata faida na kuongeza pato la kaya yake ni vema kuzingatia udhibiti wa magonjwa na wadudu wa zao hili. Katika makala hii tutaangalia namna ya kudhibiti baadhi ya magonjwa muhimu ya zao la Nyanya.1. Ugonjwa wa Ukungu(i) Bakajani tangulia au ukungu mapema: Early blight (Alternaria solani)DaliliDalili za ukungu mapema hutokea kwenye matunda, shina, na majani ya nyanya. Majani huonesha madoa ya kahawia iliyokoza na yenye mfumo wa duara zenye kati moja. Madoa kwanza hujitokeza kwenye majani yaliyokomaa na kuendelea juu ya mmea. Majani yenye madoa huweza kufa kabla ya wakati wake na kusababisha kupukutika mapema kwa majani, matunda huungua kwa jua na kuwa na rangi isiyopendeza.Madoa ya kwenye matunda hujitokeza kwa juu kwenye ncha ya shina. Kwa kawaida madoa huwa na rangi ya kahawia iliyokoza mpaka nyeusi, yaliyozama ndani, magumu na yenye duara za kipekee zenye mfumo wa kati moja. Kuoza kwa chini ya shina huweza kutokea kwenye miche michanga. Hali hii hujionyesha kwa kuzunguka shina sehemu ya chini. Miche iliyoathirika hudumaa na huweza kunyauka na kufa. Miche mikubwa iliyoathirika huwa na makovu ambayo kawaida huwa upande mmoja tu wa shina na hurefuka na kudidimia kwenye mashina na vikonyo.Dalili za ugonjwa wa ukungu tanguliaDalili za ugonjwa wa ukungu mapema mara nyingi hudhaniwa kuwa ni ukungu chelewa, lakini kwenye ukungu chelewa makovu yamefifia, madogo na hayana alama za duara zilizonyanyuka.Njia za kudhibitiUkungu mapema unaweza kubainika shambani kwa kutafuta madoa ya kahawia iliyokoza ya kiasi cha 1.2 sm kwa upana. Ni vigumu sana kuzuia ukungu mapema ukishaanza shambani. Njia muhimu ya kudhibiti ukungu mapema ni kuzuia kuingia kwake na kusambaa.Mbinu bora za kilimo•Zungusha mazao ya nyanya na nafaka ndogo ndogo, mahindi au jamii za kunde•Panda aina zenye kustahimili ‘early blight’. (Km. Floradade, Hytec 36, Julius F1 na Zest F1)•Tumia mbegu safi•Limia na kufukia mabaki ya mazao baada ya mavuno na choma moto mazao yaliyoathirika na takataka zote za mazao•Epuka kumwagilia kwa juu•Ongezea mbolea ya samadi•Tumia matandazo kuzuia kurukia kwa maji•Hakikisha kupanda kwa nafasi sahihi na kufunga vijiti•Toa majani ya chini yaliyoathirika ili kuboresha mzunguko wa hewa•Epuka kutumia ardhi kwa angalau miaka 2 baada ya uzalishaji wa nyanyaDawa (chemical control)‘Early blight’ inaweza kudhibitiwa kwa kutumia dawa za ukungu Boscalid ( Endura Captan, Captan 4F, Captan 50), dawa za ukungu zenye shaba (Champ Dry Prill, Champ Formula 2, Copper-Count-N, Kocide 101, Kocide DF, Kocide 4.5LF, Kocide 3000, Nordox Tri Basic), Chlorothalonil na Chlorothalonil Mixtures (Bravo 720/Echo, Bravo Ultrex/Echo 90DF, Bravo Weather Stik, Echo Zn, Ridomil Gold/Bravo), EBDC, Copper FBDC na EBDC/Zaxamide (Cuaprofix Disperss M2, Dithane/Gavel, Maneb 75, Manex, Mankocide, Manzate F1, Penncozeb 80W, Penncozeb 75DF), Famoxadone+Cymoxanil (Tanos, Fenamidone, Reason 500SC, Penthiopyrad, Fontelis, Pyrimethanil, Scala), Strobilurin na Strobilurin Mixtures (Cabrio, Flint, Quadris)Kibaiolojia (Biological control)Kuna mazao mengi yatokanayo na mimea ambayo husemekana kuwa na sifa za sumu kwa aina nyingi za…
KILIMO BORA
YAFAHAMUMAGONJWA HATARI YA NYANYA NA DAWA ZAKE
Pamoja na umuhimu wake, magonjwa ya nyanya yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika uzalishaji na ubora wa matunda ya nyanya. Sasa ili mk...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Nchi za watu na KILIMO