Rais William Samoei Ruto zima ahadi hewa #TaitaTaveta.
Ku launch #MzimaPhaseTwo kabla ya Desemba mwaka jana, kuliendaje?
TUMEKUCHOKA !
#zimaAhadiHewa
https://x.com/KwaelaDotCom/status/1817472584973197498?t=2EIlTLUXVxoIzekGVl0BwA&s=19

Rais William Samoei Ruto amekuja #TaitaTaveta akazindua Basi π ya Kombolio Secondary School, akatuombea na akatupa #AhadiHewa kama kawaida na akaenda!
Eti atarudi kuzindua sijui nini Septemba!
Na tumeamini kweli atakuja Septemba azindue hiyo sijui nini yake, wakati mbeleni aliahidi kurudi Taita Taveta kabla ya Desemba mwaka jana kuzindua #MzimaPhaseTwo na hakutimiza.
50/50 ya mgao wa mapato ya TSAVO hajatimiza. Na bado anatoa ahadi mpya.
Rais anatubebaje, si aache hizi #StoryZaJaba πΏ akija kutembelea #MamaSita wake ! Tunajua wametoana mbali.
https://www.facebook.com/share/p/xMSvukuSdXH63p94/

π1π1π©1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Amesema nini eti kuhusu mradi wa #MzimaPhaseTwo?
Eti mradi umefika EVALUATION, Rais atakuja BREAKING na kutakuwa na vituo vitatu vya maji hayo hapa #TaitaTaveta? π€·πΎββοΈ
Nimemsikia vizuri ama nitakojolea kitanda? π
Huyu ni Public Officer ama bado anajibeba kama mkereketwa wa chama cha United Democratic Alliance, UDA. ?
Amejifunza vocabulary za ZAKAYO karibu zote.
1. Tutafanya kikao
2. Tutaketi chini
3. Tutapanga
4. Wamama sijawaacha nyuma
5. Tukipiga simu ng'a
6. Etc etc etc ... π₯±
Kwani Chama cha UDA kina shule ya kuwafunza hii #NgeliYaTuTa ... π€·πΎββοΈ
Kumbe kama si Omar Hassan Sarai hangepata hii kazi? π¬
NB: Vijana kataeni kusikia Hekaya za Abunwasi na #AhadiHewa ... π€
Wakija #TaitaTaveta bila maji π¦ ya #MzimaPhaseTwo na ajira, msiwasikilize wala msipoteze nguvu zenu kuwapigia makofi ... ππΎ
Bila hivyo mtaemdelea kubebwa malenge π wakati wao wanakuza vitambi kwa kula hela ya uma ambayo ingetumiwa kuwapa maendeleo ya dhati.
#ZimaAhadiHewa ...
https://www.facebook.com/share/v/XE1PdPBpUbK2BoN9/

π1π1
Taita Taveta Residents are asking for #MzimaPhaseTwo, but President William Samoei Ruto is giving the #AffordableHouses !
Kenyans π°πͺ, isn't that wonderful? .. ππΎππΎππΎ
#RutoMustGo ....
https://www.facebook.com/share/p/kjkLjtGwRy8zF573/
Kenyans π°πͺ, isn't that wonderful? .. ππΎππΎππΎ
#RutoMustGo ....
https://www.facebook.com/share/p/kjkLjtGwRy8zF573/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Wameshindwa kutetea #MzimaPhaseTwo, 50/50 Share of TSAVO Revenues, Mto Mwagodi - Mbale - Werugha - Mghange - Bura Road, Electric Fence around TSAVO, Mining Royalties and etc etc ...
Sasa ndio wanajifanya ku quote constitution chapter bla bla bla, ili waonekane wanajua sheria, kwa mambo ambayo hayana umuhimu wowote kwa maisha ya wana #DaTu wa kawaida!
#WakiliBwireBureKabisa ...
https://www.facebook.com/share/v/CnhyyHEkLChnfXZm/

π1
MZIMA PHASE TWO
Mfereji wa #MzimaPhaseTwo ulitayarishwa tangu enzi za Mkoloni na mpaka leo uko vile vile.
Hatujaongezea hata nusu mita ya mifereji kutoka walipoachia.
Serikali yetu CLUELESS, RADARLESS & DISORIENTED bado iko kwa kutenga na Kutengua, kupanga mikakati na kupangua ...
Na Director Coast Waters π¦ ni mtu wetu wa hapa hapa nymbani ... π¬π¬π¬
Tunangojea wafadhili waje watutengenezee maji ... π₯±π₯±π₯±
Why did our forefathers fight for our independence if we can't free up our minds and make proper use of the independence we have?
ππΎππΎππΎππΎππΎ
https://www.facebook.com/share/p/1Z8Dm8its4/

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Maji ya mzima 2, ambayo tulikubaliana kabla yateremke kwenda Mombasa lazima yaingie Taveta, lazima yaingie Wundanyi, lazima yaingie Mwatate, lazima yafike Voi, kwanza ...
Na lazima iwe ni maji ya kutosha mifugo, iwe ni maji ya kutosha irrigation , na ya kutosha matumizi ya manyumbani ...
Hiyo program, nilishawaeleza, hiyo program tushafanya procurement imekwisha , ni siasa kidogo, siasa duni ambayo inakwamisha hiyo mradi ...
100 days ya kwanza, tutahakikisha tumeweka sahihi ili hiyo mradi ianze, tupate maji ya kutosha kwa mifugo, ya irrigation na matumizi nyumbani kwa watu wa Taita Taveta ...
#MzimaPhaseTwo
#ChemiChemiZaAhadi
https://www.facebook.com/share/v/1AkJR9QuwF/

ALL WHAT HE HAS PROMISED #TAITATAVETA RESIDENTS IS STILL FICTION
1. 50/50 TSAVO revenue sharing formular. β
2. To launch Mzima Phase II before December 2023. β
3. Kshs 50 million Mining royalties. β
4. Kshs 250 million for the County aggregation facility. β
5. 1000 affordable Houses ποΈ. β
6. Kshs 4 Billions School Feeding Program (Nationwide). β
7. Affirmative action in KWS hiring. β
8. Kshs 10 Billions for Hustler Fund ( Nationwide). β
9. Kshs 15 Billions to revamp Markets ( Nationwide). β
10. To promote Community Health Promoters. β
11. University Scholarships instead of LOANS ... β
12. Mto Mwagodi - Wundanyi - Werugha - Mghange - Bura ROAD. β
13. #MzimaPhaseTwo ... β
This man is a serial liar ... π₯±π₯±π₯±
https://www.facebook.com/share/p/1ENLz1Ufhi/

After 62 years of independence, Kenya π°πͺ is still unable to fund and construct #MzimaPhaseTwo pipeline.
We still want donors from abroad to fund the project.
The project stands as it was left by the colonisers, the prepared Mzima Phase Two outlet, remains unutilized.
The old pipeline has been experiencing regular bursts followed by minor repairs.
How does our 62 years of independence benefit us?
https://www.facebook.com/share/p/1B2dxRNXbo/

MZIMA PHASE 1 STARTED IN 1953 L,
COMPLETE IN 1957 - BY COLONIALISTS.
#MzimaPhaseTwo PROPOSED IN 2017 - BY INDEPENDENT KENYA GOVERNMENT.
2025 NOT STARTED.
HERI MKOLONI!
https://www.facebook.com/share/p/17MYpAgZED/

π¨ MZIMA PHASE TWO: 62 YEARS STILL WAITING π¨
For 62 years after independence, Kenya is still struggling to deliver clean, reliable water to the Coast. The long-promised Mzima Phase Two project remains unbuilt.
π§ A colonial-era outlet sits idle.
π§ The aging pipeline continues to burst, held together by temporary repairs.
π§ Communities still wait for donor funding instead of lasting solutions.
After six decades, where is the true independence when basic water access is not guaranteed?
π’ Coast residents deserve transparency, action, and clean water now.
#WaterIsLife #MzimaPhaseTwo #CoastDeservesBetter
https://www.facebook.com/share/p/1G9xC4n3Kr/

VOI TOWN THIRSTY DAYS AFTER DP KINDIKIβS VISIT
Just days after the visit by the Deputy President Prof. Kithure Kindiki , residents of #TaitaTaveta County are confronting a harsh reality: Voi Town has no water π¦.
During the well-attended political rallies, leaders promised residents development and a brighter future. Yet today, taps across Voi remain completely dry.
The crisis once again exposes the fragile state of the aging Mzima β Mombasa water pipeline, a colonial-era system that has long struggled to meet the needs of the growing population across the region. With the infrastructure now severely dilapidated, residents are paying the price.
Ironically, the echoes of βFaya π₯ Si Faya π₯β chants that energized the rallies are still fresh in the air β but for many families in Voi, the pressing reality is thirst.
Residents are now asking urgent questions:
π¦ When will the long-promised water infrastructure upgrades begin?
π¦ Why is a town that sits along a major water pipeline still experiencing dry taps?
π¦ Who is responsible for fixing the failing system?
For the people of Voi, development promises mean little if basic necessities like water remain out of reach.
Yet they declared
https://www.facebook.com/share/p/1HgnQwjtWD/ #MzimaPhaseTwo not- viable ... π₯±

β€1
Coast Water Works Development Agency wako radhi wafungie watu wa #TaitaTaveta maji π¦ mpaka pipes zipasuke juu ya PRESSURE, kisha Director wao Judith Wabosha analalamika eti gharama za ukarabati ziko juu! ... π₯±
Wiki tatu sasa, Voi hakuna Maji na director anasema MZIMA SPRINGS iko MAKUENI .. π₯Ί
Akili gani inatumika hapo?
Tunaomba Rais William Samoei Ruto akija aende na #MamaMboha wake ikulu! Hawakilishi wana #DaTu huko Coast Water, amekuwa wa MAKUENI! ...
Meanwhile bado tunangojea #MzimaPhaseTwo ianze kujengwa, mambo ya not- viable hatuingii vichwani !
https://www.facebook.com/share/p/1DmLySrKRD/

Uchaguzi umekaribia, wangwana nao wameanza sarakasi zao za kawaida.
Eti sasa wanakarabati reli ya mkoloni ili MEKSI ianze kwenda VOI - TAVETA kama enzi zile!
Yaani scrape inarudishwa tena badala ya kujenga line mpya ya SGR! π₯±
Wakaazi wanajiuliza, kati ya hii RELI na maji π¦ ya #MzimaPhaseTwo, ni lipi la dharura? π€·πΎββοΈ
Sema #BureKabisa ... π₯±
https://www.facebook.com/share/p/183ehz8Hy8/

RUTO ATEMBELEA TAITA TAVETA COUNTY
Ni nani atakuwa JASIRI aulize RAIS, 100 Days ya kuanzisha #MzimaPhaseTwo, kama alivyo ahidi kabla ya uchaguzi wa 2022, zitaisha lini?
π€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈ
FOLLOW KWAELA NEWS NETWORK ... ππΎππΎππΎ
https://www.facebook.com/share/p/1AAjTBjVgK/
Ni nani atakuwa JASIRI aulize RAIS, 100 Days ya kuanzisha #MzimaPhaseTwo, kama alivyo ahidi kabla ya uchaguzi wa 2022, zitaisha lini?
π€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈ
FOLLOW KWAELA NEWS NETWORK ... ππΎππΎππΎ
https://www.facebook.com/share/p/1AAjTBjVgK/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
President William Samoei Ruto has misled Kenyans on many issues, but the promises around #MzimaPhaseTwo stand out. The narrative began even before he took office, and to date, the reality on the ground tells a very different story.
If leadership is built on trust, who then sets the standard when that trust is repeatedly broken?
https://www.facebook.com/share/v/1BScnLSHHn/

Sababu lazima awe ana faidi kitu ndio aweze kutekeleza mradi wotote ule, itatubidi tutafute njia awe anafaidi #MzimaPhaseTwo ndio tuweze kupata maji!
Tutafanyaje afaidike na huu mradi wa MZIMA PHASE TWO?
NI ABOO AMEULIZA!
https://www.facebook.com/share/1BGPaxxcNG/

VINDO SPORTS STADIUM NA SWALI LA MAJI TAITA TAVETA
Wakazi wa Kaunti ya Taita Taveta wanaendelea kushuhudia maendeleo katika maeneo mbalimbali ya kaunti. Taveta tumeona barabara zikijengwa kwa kiwango cha lami, reli ya VoiβTaveta ikianza kufufuliwa, na miradi mingine ya miundombinu ikitekelezwa. Bila shaka, miradi hii ni afueni kwa wananchi kwa kuwa inarahisisha usafiri, biashara na usafirishaji wa mazao ya wakulima kwenda sokoni.
Hata hivyo, licha ya maendeleo hayo, changamoto kubwa ambayo bado inawasumbua wananchi ni ukosefu wa maji safi na ya kutosha kwa matumizi ya nyumbani. Kwa miaka kadhaa sasa, Rais William Ruto amekuwa akiahidi utekelezaji wa Mradi wa #MzimaPhaseTwo, mradi ambao ungekuwa suluhisho la kudumu kwa tatizo la maji katika sehemu kubwa ya Taita Taveta.
Mradi huo, ambao umekuwa ukitajwa kugharimu takribani shilingi bilioni 42, unaonekana kukwama bila dalili za utekelezaji wa haraka. Swali ambalo wengi wanauliza ni hili: Je, ni lazima mradi wa kiwango hicho ujengwe wote kwa wakati mmoja?
Kuna hoja kwamba mradi huo ungeweza kutekelezwa kwa awamu. Kwa mfano, serikali ingeweza kuanza kwa kufikisha maji Voi kama ilivyowahi kuahidi, kisha kusonga mbele hatua kwa hatua hadi maeneo mengine ya kaunti. Njia hiyo ingewezesha wananchi kuanza kunufaika mapema badala ya kusubiri kwa miaka mingi huku ahadi zikibaki kuwa ahadi.
Wapo wanaohoji pia vipaumbele vya matumizi ya fedha za umma. Wakati mamia ya mamilioni ya shilingi yanaelekezwa katika miradi kama ujenzi wa Vindo Sports Stadium, ufufuaji wa reli ya VoiβTaveta, nyumba za gharama nafuu na miradi mingine, wananchi wengi wanaamini kuwa maji yalipaswa kupewa kipaumbele cha kwanza kwa sababu maji ni uhai.
Ni kweli kwamba miundombinu ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi, lakini kwa mwananchi anayelazimika kutembea kilomita nyingi kutafuta maji, suala la maji lina uzito mkubwa kuliko mradi wowote mwingine. Barabara, reli na masoko yanaweza kusubiri kwa muda fulani, lakini maji ni hitaji la kila siku lisiloweza kuahirishwa.
Wakati huo huo, baadhi ya Wakenya wanaendelea kueleza wasiwasi wao kuhusu masuala ya utawala, uwajibikaji na haki za binadamu. Kwa mtazamo wao, mafanikio ya miradi ya maendeleo pekee hayawezi kufuta malalamiko yaliyopo kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini. Wanasisitiza kuwa maendeleo ya kweli yanapaswa kwenda sambamba na utawala bora, uwazi na heshima kwa haki za wananchi.
Kadri uchaguzi ujao unavyokaribia, wananchi wanapaswa kutathmini kwa makini ahadi, utekelezaji wa miradi na athari zake kwa maisha yao ya kila siku. Mwisho wa siku, kura ni sauti ya mwananchi, na ni jukumu la kila mpiga kura kufanya uamuzi kwa kuzingatia maslahi ya taifa na ya vizazi vijavyo.
Maji kwanza. Maendeleo mengine yanaweza kufuata.
KWAELA: https://www.facebook.com/share/p/1Lutjux1bU/

Kuna watu katika kaunti ya #TaitqTaveta wanaamini kuwa hii miradi ya #AffordableHouse wa VOI, #Mto Mwagodi - Mbale Wundanyi Werugha - Mghange Bura Road, Soko za Kisasa, Barabara Taveta na kufufua Reli ya Voi - Taveta zinatosha kupatia RUTO #TuTam ...
Wanasahau ahadi zote rais Ruto amekuwa akiahidi tangu akiwa naibu wa raisi ...
Miradi mizito mizito kama #MzimaPhaseTwo, 50/50 TSAVO revenues shares, Land Demarcation, Free Primary to University EDUCATION ...
Wana #DaTu tutaanza kujipenda na kwa kupigania haki zetu lini?
https://www.facebook.com/share/v/14rK8aoe4YQ/