COB PLEASE HOLD TAITA TAVETA COUNTY FUNDS
Since #TaitaTaveta County Government appears to be playing around with the controller of Budget by refusing to respond to their demands on the Supplementary Budget I - FY 2024 / 2025 and submitting an unsigned Supplementary Budget II - FY 2024 / 2025, it is prudent that all funds are held till the demands are fully met.
It should not be forgotten that, Ksh 800 million of County Worker's #StatutoryDeductions have disappeared into thing air.
Governor H.E Dr. Andrew Mwadime - Wakujaa, EGH, Governor Taita Taveta County has refused to fire 🔥 nor hand over the suspects to the investigative agencies, Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) , for investigations. He merely transferred the suspects to other departments.
We therefore, call upon the CoB to be firm before releasing any funds to the county.
#WarOnCorruption must be seen to be fought.
https://www.facebook.com/share/p/16n3Ky1naY/

Gavana Wakujaa, ni nani ujie Ksh 800M ra #StatutoryDeductions ... 🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️
https://www.facebook.com/share/p/1GF5Pn5Y4T/

TAMKO KUHUSU KUFUTWA KAZI KWA DKT. PANUEL MWAEKE
Tunachukua fursa hii kumpongeza Gavana Andrew Mwadime kwa kumwachisha kazi Dkt. Panuel Mwaeke kutoka nafasi yake ya uwaziri katika Serikali ya Kaunti ya #TaitaTaveta County.
Dkt. Mwaeke alijitokeza wazi kupinga utepetevu, ufisadi na madai ya baadhi ya maafisa wa serikali ya kaunti kughushi vyeti vyao vya kitaaluma. Aidha, aliandika rasmi kwa Bunge la Kaunti akiomba suala hilo lijadiliwe na uchunguzi wa kina kufanyika.
Hata hivyo, hadi sasa hakuna hatua madhubuti ambayo imechukuliwa na Bunge hilo kuhusu madai hayo mazito.
Hatua ya kumfuta kazi sasa inaibua maswali mengi na kuonyesha wazi kuwa utawala wa Gavana Wakujaa hauko tayari kuvumilia viongozi wanaothubutu kusema ukweli kuhusu ufisadi, uzembe na uongo unaoendelea ndani ya serikali ya kaunti.
Takribani shilingi milioni 800 za #StatutoryDeductions ziliibwa na washukiwa wanaendelea na kazi kama kawaida.
Iwapo taasisi husika EACC na DCI zitaendelea kukaa kimya na kushindwa kuchukua hatua stahiki, basi wananchi wa Taita Taveta wana jukumu kubwa mwaka wa 2027 kuhakikisha kuwa utawala huu unaondolewa madarakani kupitia kura.
Zaidi ya hapo, wale wote watakaopatikana kuhusika katika ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi na udanganyifu wa vyeti wanapaswa kufikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake na iwe funzo kwa viongozi wengine nchini.
https://www.facebook.com/share/v/18YhS3nVGz/