TANZANIA BINANCE CHANNEL
83 subscribers
24 photos
3 videos
2 files
27 links
JIFUNZE BLOCKCHAIN TECHNOLOGY AND CRYPTOCURRENCY TRADER & HOLD πŸ“‰πŸ“ˆ
Download Telegram
Liquidity ndio kitu cha kwanza kabisa kuangalia kabla hujanunua coin yoyote
Ikiwa burned iko salama, na kama zote wallet ziko locked, inabidi ujie muda wa kufunguliwa kwake itakuwa lini
Maana liquidity ndio inayokusaidia wewe kuweza kununua na kuuza
Sasa unaweza kuangalia coin ulizonazo zote kwa mfano nilioelekeza hapo juu
Sawa chief
Hello kwa leo tuishie hapo
Bila shaka darasa limeeleweka kidogo
SOMO LA KESHO

✍🏼JINSI GANI YA KUCHAGUA COIN NZURI ZITAKAZOKUPA FAIDA NZURI

✍🏼JINSI GANI YA KUTENGENEZA PROJECT YAKO MWENYEWE

✍🏼JINSI GANI UNAWEZA KUUZA NA KUNUNUA COIN
*APPS ZINAZOHITAJIKA KWA KESHO*

1. Trust wallet
2. Binance (kwa wale wanaotala kuongeza mtaji kwenye trust wallet)
3. Telegram (Sajili account yako)

Kesho ni siku ya mazoezi

Kaa mkao wa kujifunza zaidi
Kuna factors zipo nyuma ya pasia au tuite zipo jikoni lakini watu wengi hawajui nini kinachoendelea ....!

1.Makampuni makubwa ya biashara duniani yameanza ku-adjust mifumo yao ya malipo hili kuendana na malipo ya Crypto-currencies:-
(A) Sports /Gaming industry
(B) Musics/Movies
(C).Amazon /Alibaba/
(D) Travels &Hotels
(E). Banking/Visacard / Paypal institutions
(F) Automobiles

ORODHA ya Bank zinazopokea au kutoa HUDUMA za Cryptocurrency huko ulaya/Europe na Asia zimeongezeka ndani ya miaka ya hivi karibuni na kufikia zaidi ya bank 80+ ...

Kuna factor nyingine zaidi ya hizo inakuja kuongeza value ya Crypto KWA Kasi kubwa

Matumizi ya malipo ya Crypto kununua na kuuza bidhaa makampuni na watu watΓ anza kupenda kulipwa na Crypto kuliko fedha taslimu kuepusha contact /contamination ya notes kwa sababu za kiafya zaidi

Kuna factor nyingine ya new mining farms zinaanza kufungulia nchi mbalimbali KILA kukicha pamoja na Crypto ATMs kuongezeka KILA miji mikubwa hivyo kurahisisha manunuzi na uuzwaji wa crypto Katika miji mingi mikubwa duniani !

Mfano unaingia KFC, au Shopping mall unakuta Crypto ATM hapo nje
Unauza crypto zako na kununua
Hii ni trend inakuja kwa kasi sana bila watu wengi kujua kinaendelea nini !

Hizo factors zote zitapelekea Crypto kuongezeka value na watumiaji vwapya Wakiongezeka !



AupdateπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“Š

πŸ“Š


SOCIAL MEDIA TANZANIA BINANCE
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Telegram: https://t.me/TanzaniaBinanceGroupChat

Telegram:https://t.me/TanzaniaBinanceChannel

Tweet:https://twitter.com/tanzaniabinance

Facebook: https://www.facebook.com/tanzaniabinance

Instagram: https://www.instagram.com/tanzaniabinance

Tiktok:tiktok.com/tanzaniabinance
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tarehe 4 September 2021. Chuo cha Mzumbe Campus ya Dar wataendesha mafunzo ya Blockchain technology. Ada ya mafunzo ni 500,000 TZS kuanzia 8:00 am mpk saa 6:00 pm

*Blockchain adoptionπŸ“Š*

AUPDATE πŸ“Š
Dm me @tanzaniabinanceexchange


SOCIAL MEDIA TANZANIA BINANCE
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Telegram: https://t.me/TanzaniaBinanceGroupChat

Telegram:https://t.me/TanzaniaBinanceChannel

Tweet:https://twitter.com/tanzaniabinance

Facebook: https://www.facebook.com/tanzaniabinance

Instagram: https://www.instagram.com/tanzaniabinance

Tiktok:tiktok.com/tanzaniabinance


Share

USI LEFT KWENYE GROUP TRUST ME UTAJIFUNZ VINGE SANA PAMOJA NA PAGE ZETU

@tanzaniabinanceexchange

πŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“ŠπŸ“Š
*MFANO WA COINS AMBAZO UNAWEZA KUNUNUA NA KU HOLD*
CHAGUA SARAFU ZIFUATAZO AMBAZO ZIPO HAPAπŸ‘‡πŸ‘‡


1 Stellar lumens(XLM)
2 Ripple(XRP)
3 Tezos(XTZ)
4 Tron(TRX)
5 OmiseGO(OMG)
6 Digibyte(DGB)
7 ENJIN COIN(ENJ)
8 COSMOS(ATOM)
9 SINGAPORE COIN(QTUM)
10 Matic Network (MATIC)
11 Maker(MKR)
12 AirSwap(AST)
13 Bancor Network (BNT)
14 Cardano(ADA)
15 NEM(XEM)
16 BASIC ATTENTION TOKEN(BAT)
17 MONETARY UNIT(MUE)
18 HOT
19 DECRED(DCR)
20 VERGE(XVG)
21 Quantstamp(QSP)
23 WAVES
24 NANO
25 LUNYR TOKEN(LUN)
26 DOGECOIN(DOGE)
27 VeChain(VET)
28 ALGORAND(ALGO)
29 ETHEREUM CLASIC(ETC)
30 CHAINLINK(LINK)
31 Crypto.Com(MCO)
32 BINANCE(BNB)
33 ARK(ARK)
34 JUST(JST)
35 TRUST WALLET TOKEN(TWT)
36 ZILLIQA(ZIL)
37 AKoin(AKN)
38 Chiliz(CHZ)
39 Aave(AAVE)
40 Loopring(LRC)
41 Polkadot(DOT)
42 BitTrollent(BTT)
CHAGUA KATI YA HIZO HAPO NUNUA.

TUMIA HII TRUST WALLET INAYOHIFADHI SARAFU ZAKO KWA USALAMA KWA HOLDING

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wallet.crypto.trustapp

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://accounts.binance.com/en/register?ref=XO88DIRQ

SOCIAL MEDIA TANZANIA BINANCE
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Telegram: https://t.me/TanzaniaBinanceGroupChat

Telegram:https://t.me/TanzaniaBinanceChannel

Tweet:https://twitter.com/tanzaniabinance

Facebook: https://www.facebook.com/tanzaniabinance

Instagram: https://www.instagram.com/tanzaniabinance

Tiktok:tiktok.com/tanzaniabinance
TANZANIA BINANCE CHANNEL
https://accounts.binance.com/en/register?ref=XO88DIRQ
Funguaa account yako apo ☝️☝️☝️☝️☝️