Kila mtu adownload app inaitwa Firechat, hii App inatumia bluetooth, kila smartphone ina bluetooth. Tena i-download usiku huu sababu mtazimiwa Internet siku yoyote.Na siku ya maandamano muwashe bluetooth sababu naamini kabisa siku hiyo tutazimiwa internet. Hii ndio app inayotumika kwenye maandamano dunia nzima.
.
.
Na kila mmoja wetu ajiandae kisaikolojia kuzimiwa mitandao kuanzia leo hiiii. kama tukizimiwa mitandao kuanzia sasa hivi naomba kila mmoja ajue kuwa hata kama tutapoteana kwenye mitandao ila Tarehe 26 saa 3 asubuhi ni maandamano tu.Hatuhitaji mitandao kivile anymore. Kama ni vipeperushi nimeshawapa ni kusambaza tu....
.
.
Chakuzingatia ni kwamba mnaweza kuzimiwa mitandao alafu wakaanza kusambaza uwongo kuhusu maandamano kwa kutumia magazeti na maTV. Jamani kama mkizimiwa mitandao na tukapoteana msiamini chochote cha kwenye magazeti wala MaTV wala maredio. kila mtanzania ajue kuwa tarehe 26 April saa 3 asubuhi ni mwendo mdundo tu!Usikubali kudanganywa na vyombo vya habari kuwa maandamano yamesitishwa. Hayatokaaa kusitishwa hata iweje!!
.
.
Dadeki hata nikiacha kuposti leo na msijue nilipo, ni lazma muandamane tarehe 26. Au hata nikigeuka nikaanza kuwaambia msiandamane jueni sio akili yangu lazma ntakuwa napigwa shoti za chuchu tu.Hakuna binadamu wa kusitisha haya maandamano. Nguvu mnayo wananchi tu!!!
.
.
Na hata wakizima mitandao bado tunauwezo wa kuingia mitandaoni kwa kutumia VPN. Waganda walimfanyia hivi Museveni. Hata wachina wanatumia VPN kuingia mitandaoni. Hakuna taifa lenye uwezo wa kuzima mitandao kama wananchi wanaojua kutumia VPN. Kama China wameshindwa ndo TCRA wataweza?? Tafadhali download VPN kwenye simu yako. Ila kama ukishindwa kutumia VPN ukajikuta umepoteana na sisi basi tukutane barabarani tarehe 26 April saa 3 asubuhi... kuipata VPN nenda PlayStore type ‘Free VPN’ zitakuja kibao. Zijaribu jaribu mpaka utapata itakayokuwezesha kutumia Internet. Kwanza I-connect VPN alafu fungua insta yako kama kawa. Tafadhali Naomba ugoogle ‘ How to Connect VPN on Android’ au Iphone maana kuna settings lazma uzibadilishe ndo VPN ifanye kazi.
.
.
.
Hii habari ni muhimu sana, sambaza kwenye magroup yoooote na mitandao yoooote.

Nimeona ni muhimu sana tukaweka sawa swala hili.Haya maandamano sio ya kichama. Hatuandamani sababu tunataka kuipindua serikali, hatuandamani sababu tunataka kuitoa CCM madarakani. Hatuandamani sababu tunataka kuiingiza Chadema madarakani. Hakuna mtanzania anaehatarisha maisha yake kwa kuandamana siku ya tarehe 26 eti sababu ya kusaidia chama fulani cha siasa kiingie madarakani No!! Mimi pia siwezi kushawishi watu waaandamane huku najua tunadili na mtu katili kama Magufuli ambae anaweza kuwafanya chochote eti sababu ya Chadema. Mimi sina mahusiano yoyote yale na Chadema. Tunapigania HAKI tu.
.
.
Hakuna mtu anaetaka kuiondoa CCM madarakani kwa haya maandamano ya tarehe 26. Tunachotaka ni Magufuli na Shein wajiuzulu .CCM wataendelea kuwa madarakani mpaka 2020. Mama Samia atakuwa Rais mpaka kipindi cha uchaguzi. Hakuna anaetaka nchi ichukuliwe na jeshi alafu wote tuanze kuhenya.Ila CCM msipomshauri Magufuli atoke Ikulu huku nchi nzima inaandamana ndio mtafanya jeshi likamtoe na nchi ibebwe na jeshi alafu wote tutaisoma namba. Chezea utawala wa kijeshi,kuingia kulala saa 9 mchana, asionekane mtu nje. Mpaka uchaguzi mwingine ufanyike na chama cha siasa kikabidhiwe nchi na jeshi wote tushakuwa wakakamavu.
.
.
Hatumtaki Magufuli sababu ya mauwaji, utekaji, uonevu, uhuru wa vyombo vya habari, alivyobaka demokrasia, wote mmeona uonevu alioufanya kwenye uchaguzi mdogo uliopelekea Akwlina kuuawa na polisi.Magufuli amepoteza sifa na haki ya kuongoza taifa.Leo watz mpaka bunge Live tumezimiwa Ila mikutano ya Rais akiongea upumbavu mnatuonyesha Live. Uchumi unaporomoka, nchi nzima tunalia njaa, ajira hakuna,ikisha mtu ni katili. Why tunamruhusa mtu mmoja aangushe nchi ya watu milioni 55? Na tumefika hapa sababu bunge letu limeshindwa kuperform na kumuondoa Magufuli..
.
.
Ni lazma Magufuli aondoke Ikulu ili uchaguzi wa 2020 uwe wa HAKI.We DEMAND major REFORMS kabla ya uchaguzi wa 2020. #KATIBAMPYA
.
.
Hii sio vita ya wananchi na CCM. Hii ni vita ya wananchi na Marais.Sasa kama chama cha mapinduzi kitaleta nyege mshindo na kujitia hii ni vita yao watajijua wenyewe.
.
.
Tunachodai ni HAKI tu. Na haki hiyo haitopatikana bila Magufuli kuondoka!Hatuna imani nae!

The account of the user that created this channel has been inactive for the last 1 month. If the account of the creator remains inactive in the next 10 days, it will self-destruct and the channel will lose its creator.

The account of the user that created this channel has been inactive for the last 1 month. If the account of the creator remains inactive in the next 7 days, it will self-destruct and the channel will lose its creator.