MAFISI SACCO
Nililala chini ya bed kwa kina dem kwa simiti hadi morning. Tulikuwa tumefunga Colle so kila mtu ni kujitupa makwao. Yengs akadai nimpeleke stage ya kwao so tulipitia home kwetu nika drop bags kwanza.. Kufika stage yengs hakutaka ma goodbyes bana, yaaniβ¦
Wahenga walidai ujinga hainanga dawa, sema kupatwa kwa akina dem....
After kuchomoka chini ya bed niliapa sitawai enda kwa kina dem tena, but shida ni mjulubeng haijawai agree na akili...
Nilifika home nikachapia yengs nimefika poa, akashinda zile za "Bebs am sorry, I'll make it up to you"...
Hiyo siku ilifika one week later vile alidai amepewa key ya keja ya bro yake, so halali ile hao yao.. nikaona opportunity ya rematch apo.
Boys nikavako mzae home ati naenda educational trip ya one week nikajitoa kitu saa tatu apo. Saa nne nilikuwa kwa akina yengs..
This round nilikuwa nimekula mkombero na njugu kwa mat nikijua leo shuma lazima ilale ndani vile inafaa...
Yengs akanikaribisha na hug, mate kama kawa alafu mraiya wakani serve chai na mkate... hiyo time yote alikuwa anacheka incidence ya last time
After chai tukafika hiyo keja ya bro yake coz ilikuwa adjacent na hii yao, nikajua hapa hakuna kubonga... ni kutembeza msolokombo
Hiyo siku enyewe nili unleash the beast coz by the time tunamaliza nilikuwa tu jasho... so ikakuwa routine. After lunch mechi tena...
Day one uko ilikuwa successful coz this round sikuwa na wasi wasi kama vile nilikuwa kwa mansion ya mamake..
Next day saa ndo vituko ilianza, boys nikaamkia morning glory saa kumi na mbili nikachelewesha mtoto wa mtu kupika chai...
Mamake akakuja kwa mlango kubisha akizusha, "Yaani we mtu mkubwa unataka ufanyiwe kila kitu, saa hii ni saa ngapi". yengs saa hiyo anavaa nguo
After mamake kujitoa black King nikaletewa breakfast in bed, yaani boys niliona nimefika sana na nko kwa wenywe...
Kitu saa nane apo after kigongi nikaona nifike loo, hapo ndo blunder ya kwanza ilianza... neiba wao aliniona, mi nikachorea tu.
Mwanaume nilikuwa tu indoors the whole time ni ku watch ma movie alafu zikipanda mi nashusha kwa yengs... freedom ni kitu mbaya.
Kitu 8 apo ndo nilijua kile Chinua Achebe alimaanisha kwa ile book ya "Things fall apart"... yengs alikuwa ameenda kusaidia mamake kupika..
Akazima taa ya hiyo keja so nlikuwa tu kwa giza na watch movie kwa lappy.. blunder ni vile ule neiba alinicheki alimchapia...
Mama naye akaona kitu ka light kwa hiyo keja so ikabidi akuje ku investigate. Yengs uzuri ama ubaya akanitext... nikajifunikia na lappy bana...
Sikuwa na time ya kuingia chini ya bed, so nika hold breath ndani ya blanketi niki hope atadhani ni manguo tu ajikate... mlango ikafunguliwa..
Mama akacheki kwa bed but nikaa alitaka tu kujifanya hajaniona, akainama chini ya bed nikaskia yengs, "mum unatafuta nini sasa?"...
Mamake akamsho, "Wee ngoja unataka kuona" akani poke... mraiya nikajifunua ka nimeweka innocent face...
Akauliza, "kijana wee ni nani na unafanya nini kwangu?" Ikabidi nimejibu na soprano, "Mimi ni rafiki ya Sylvia"..
Akauliza, "Wee unaona unafanya vizuri kweli? Mamako alikufunza unafaa kulala kwa kina msichana? Unataka nipige nduru?"..
Yengs akaingilia, "Mama aki hapana, acha tu ataenda"... yengs alikula kofi nikajua hapa kamenuka na si mshuto.....
Mamake akatoka nje nikajua hii ni panga ama umati imeendewa, boy child nilikuwa nimelala apo ka Dedan Kimathi nikajua mi ni maiti...
Nilibeba viatu kwa mkono moja na trao kwa ingine, ilikuwa miguu niponye... nafika stage ndo nakumbuka niliacha lappy bana πππ...
Trao na viatu nilivalia kwa kiosk flani, nikatafta mat nikajisunda ndani. Hapo ndo nikagundua ni saa mbili na njaa inaniuma..
Nilifika saa tatu na fefte home.. fathe akaniuliza mbona nimerudi mapema na late? Nikamvako wame cancel hiyo trip juu wasee hawakukuja....
Sijawai rudi kwa akina dem tena, the only time naeza doz uko ni kaa ako independent na anaishi kwake.. though pia huko ni riski bana πππππ
Yengs nae alikuja kunisho baadaye alipata beating ya mwaka, kumbe ningengoja kuona what next ningejua mob justice ni nini...
Lappy nililetewa the following term chuo bana, my life was more important at the time πππππ! Hii ujinga ka haukupitia colle basi ole wako.#END

The year is 2011 pale KU,30 mins after taking weed cookies couldn't feel anything so I added vodka weuh......sizikanishika...I walked to the administration reception literary drank all the water kwa dispenser kidu 18.7 litres and vomited right there...zikanirarukia wakubwa I walked to the mess a few yards away in like 40 mins back and forth a 5 mins walk nikipause...got into the mess and ate food ya 270 bob, mkumbuke ugali ilikuwa 7 bob nyama 22 bob back then.Then walked to Kilimanjaro hostels nikapata yengs wakiwatch action movie,paranoia got the better part of me pale kwa mlango,the sounds of gunshots scared me nikarudi reverse pole pole not to allow the attacker to come after me.I thought they were murdering a nigga in there. upus tu.Walked to my hostel found my roommates and sat on my bed leaning on the wall.....right when I asked them nani amesimamisha my bed I blacked out.... I slept for the next 40 something hours straight and woke up kwa dispensary with drip on.Right there I quit weed cookies.......
First time kulewa nilibebwa na yengs kwa mgongo hadi mansion bana. THREAD....
Kalikuwa kale ka Friday dunda huletwa chuo apo colle so kila mtu alikuwa kwa kale ka mood ka kamnyweso... yengs akanichapia anataka kulewa..
Hii discussion tulikuwa nayo for days, shida ni boys nilikuwa msee soft drinks... na cheza tu na krest na yeye alikuwa mtu makali...
Friday lectures hukatika mapema so mi na maboyz tulikuwa tunakula lazy nje ya hostel... phone call ikaquom thru... cuzo alikuwa anakol..
Cuzo akanisho amechorwa permanent na TAC so niquom na yengs ya mi na if posbo mwingine wake tukanyonye chupa apo locals.....
Mahns siku waste time, nikachapia msupeng kuna Form Tharri For Bee imequom thru achapie ule beshte yake twende locals kusherekea...
Shida ni beshte ya yengs alikuwa book worm so nyang'au ilikwara hiyo story... mi walai siezi soma siku ya dunda ata kwa dawa....
Shida mlevi akijua form imequom thru hawezi acha, yengs akadai si lazma tuende ata tukikosa msupa wa kupelekeana...
Kitu 5 tukachomoka system, tukapanda nduthi hadi base cuzo hu stay,.. mahns akatukaribisha but alikuwa disappointed vile hatumletea dragons...
Akadai tufike hapo locals kunyonya chupa, mraiya tukachomoka 5:30pm apo hadi pub flani ime chrome tu na wazae... but juu si mfuko yetu isorait...
Tukajiseti table flani secluded cuzo aka order guiness tatu na nyam chom, yengs akadai smirnoff ice... cuzo akadai wamlete chupa nne.....
Mi nika order krest nyang'au zikaanza kucheka bana... wakadai hiyo ntajilipia coz hawakukuja pub kulipia watoto soda...
Mraiya tukaanza kurarua nyama choma pole pole tukiteremsha drinks, hiyo time yote yengs alikuwa za "Bebs onja tu kidogo, si mbaya".....
Ka unadhani mi ni mjinga ni fall for izo seduction za yengs, you're right. Mraiya nikaamua tu kujaribu tu kufurahisha Ikus carrier...
Nilionja tu coz nilitaka tukirudi colle dunda anitingishie kanyambis apo dancefloor alafu obvious hiyo siku lazima ningerombosa mtoto wa mtu..
Kumbe hii staff huonja ka Krest tu, kitu ikanivako nimalize chupa moja na nusu.. siku feel any.. nikajidai pro hadi time nilijiskia kukojoa...
Mahns nilienda kusimama kizunguzungu ikanichapa nilikuwa naona tu kila kitu ikizunguka.. yengs alinishika before nianguke kwa ground...
Cuzo saa hiyo ametulia tu nikaa hatuko na yeye, yengs akadai atanifikisha mens room nikanyore coz nikama nitaleta shida kwa pub ya wenyewe..
Wazae karibu wajikojole wakificha msolokombo vile waliona yengs ameingia na mimi mens room.. huyu yengs ilifaa nimuoe enyewe...
Boy child nikafunguliwa zip alafu horse pipe ikachomolewa bana, juu ya kizunguzungu nilikojoa everywhere except shimo ya choo.....
Tukarudi table yetu, boys nikaanza kuwapigia story sasa none stop... kamnyweso ilikuwa inaongea cuzo zake ni kucheka tu yengs akikula nare....
Cuzo akadai twende kwake coz hawezi allow nirudishwe colle ka niko ivyo, yengs akaitikia coz hakutaka aibu pia... tukafika stage ya nduthi...
Nduthi ilitufikisha half way huyo jamaa akakwara kuendelea coz boy child nilikuwa nampigia kelele kwa maskio.. wanadai nilikuwa napiga nduru...
Sikumbuki nikipiga nduru by the way... tukashuka tukaanza kalesa tukielekea kwa cuzo, mwili na magoti haikuwa ina sync boys nikaanguka...
Cuzo yangu ni wale nyang'au hucheka ukiwa kwa shida badala ya ku provide solution, yengs saa hizo amekula nare yake yote... akaniinua juu....
Boy child nilibebwa kwa mgongo design ya mtoi bana, uzuri kulikuwa na giza so sikuchoma picha sana... huyu yengs alikuwa wife material bana...
Boy child nilikuwa bablas, yengs alikuwa ambulance... kwa mgongo nilikuwa na drop tu ma album back to back ka fala... cuzo ni kucheka tu...
Boys nikafikishwa mansion nikatupanishwo bed alafu juu mi ni rookie wa fobe nika puke... mtoto wa mtu alipata kazi ya kufua malazi ya cuzo....
Yaani jamaa nili puke tuvipande twote twa nyama choma nikarudi kuskia njaa tena.. cuzo akajitoa kuenda kudoz na beshte yake....
Yengs alimaliza kufua sheets na kumop ka ana fume yake yote... peer pressure iligeuka beer pressure... makosa ilikuwa yake by the way...
Yengs alijam juu ya kumiss dunda, ik