MAFISI SACCO
94 subscribers
117 photos
32 videos
5 links
Download Telegram
MAFISI SACCO
Nililala chini ya bed kwa kina dem kwa simiti hadi morning. Tulikuwa tumefunga Colle so kila mtu ni kujitupa makwao. Yengs akadai nimpeleke stage ya kwao so tulipitia home kwetu nika drop bags kwanza.. Kufika stage yengs hakutaka ma goodbyes bana, yaani…
Wahenga walidai ujinga hainanga dawa, sema kupatwa kwa akina dem....

After kuchomoka chini ya bed niliapa sitawai enda kwa kina dem tena, but shida ni mjulubeng haijawai agree na akili...

Nilifika home nikachapia yengs nimefika poa, akashinda zile za "Bebs am sorry, I'll make it up to you"...


Hiyo siku ilifika one week later vile alidai amepewa key ya keja ya bro yake, so halali ile hao yao.. nikaona opportunity ya rematch apo.

Boys nikavako mzae home ati naenda educational trip ya one week nikajitoa kitu saa tatu apo. Saa nne nilikuwa kwa akina yengs..

This round nilikuwa nimekula mkombero na njugu kwa mat nikijua leo shuma lazima ilale ndani vile inafaa...

Yengs akanikaribisha na hug, mate kama kawa alafu mraiya wakani serve chai na mkate... hiyo time yote alikuwa anacheka incidence ya last time

After chai tukafika hiyo keja ya bro yake coz ilikuwa adjacent na hii yao, nikajua hapa hakuna kubonga... ni kutembeza msolokombo

Hiyo siku enyewe nili unleash the beast coz by the time tunamaliza nilikuwa tu jasho... so ikakuwa routine. After lunch mechi tena...

Day one uko ilikuwa successful coz this round sikuwa na wasi wasi kama vile nilikuwa kwa mansion ya mamake..

Next day saa ndo vituko ilianza, boys nikaamkia morning glory saa kumi na mbili nikachelewesha mtoto wa mtu kupika chai...

Mamake akakuja kwa mlango kubisha akizusha, "Yaani we mtu mkubwa unataka ufanyiwe kila kitu, saa hii ni saa ngapi". yengs saa hiyo anavaa nguo

After mamake kujitoa black King nikaletewa breakfast in bed, yaani boys niliona nimefika sana na nko kwa wenywe...

Kitu saa nane apo after kigongi nikaona nifike loo, hapo ndo blunder ya kwanza ilianza... neiba wao aliniona, mi nikachorea tu.

Mwanaume nilikuwa tu indoors the whole time ni ku watch ma movie alafu zikipanda mi nashusha kwa yengs... freedom ni kitu mbaya.

Kitu 8 apo ndo nilijua kile Chinua Achebe alimaanisha kwa ile book ya "Things fall apart"... yengs alikuwa ameenda kusaidia mamake kupika..

Akazima taa ya hiyo keja so nlikuwa tu kwa giza na watch movie kwa lappy.. blunder ni vile ule neiba alinicheki alimchapia...
Mama naye akaona kitu ka light kwa hiyo keja so ikabidi akuje ku investigate. Yengs uzuri ama ubaya akanitext... nikajifunikia na lappy bana...

Sikuwa na time ya kuingia chini ya bed, so nika hold breath ndani ya blanketi niki hope atadhani ni manguo tu ajikate... mlango ikafunguliwa..

Mama akacheki kwa bed but nikaa alitaka tu kujifanya hajaniona, akainama chini ya bed nikaskia yengs, "mum unatafuta nini sasa?"...

Mamake akamsho, "Wee ngoja unataka kuona" akani poke... mraiya nikajifunua ka nimeweka innocent face...


Akauliza, "kijana wee ni nani na unafanya nini kwangu?" Ikabidi nimejibu na soprano, "Mimi ni rafiki ya Sylvia"..

Akauliza, "Wee unaona unafanya vizuri kweli? Mamako alikufunza unafaa kulala kwa kina msichana? Unataka nipige nduru?"..

Yengs akaingilia, "Mama aki hapana, acha tu ataenda"... yengs alikula kofi nikajua hapa kamenuka na si mshuto.....

Mamake akatoka nje nikajua hii ni panga ama umati imeendewa, boy child nilikuwa nimelala apo ka Dedan Kimathi nikajua mi ni maiti...

Nilibeba viatu kwa mkono moja na trao kwa ingine, ilikuwa miguu niponye... nafika stage ndo nakumbuka niliacha lappy bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

Trao na viatu nilivalia kwa kiosk flani, nikatafta mat nikajisunda ndani. Hapo ndo nikagundua ni saa mbili na njaa inaniuma..

Nilifika saa tatu na fefte home.. fathe akaniuliza mbona nimerudi mapema na late? Nikamvako wame cancel hiyo trip juu wasee hawakukuja....

Sijawai rudi kwa akina dem tena, the only time naeza doz uko ni kaa ako independent na anaishi kwake.. though pia huko ni riski bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yengs nae alikuja kunisho baadaye alipata beating ya mwaka, kumbe ningengoja kuona what next ningejua mob justice ni nini...

Lappy nililetewa the following term chuo bana, my life was more important at the time πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Hii ujinga ka haukupitia colle basi ole wako.#END