PipsPowerFx_Academy
148 subscribers
881 photos
40 videos
15 files
48 links
Knowledge is a source of experience
Download Telegram
Note:
Trading system sio Trading platform, system hii nayozungumzia ni kitu personal so ntakavyo fundisha kila mmoja atachukua sehemu yake aandike chakwake.

Kinachoua traders wengi ni constituency in profitability, sasa hicho kitu huwezi kusolve kwa kujifunza strategy mpya.

Unatakiwa uchagua vichache kisha upate usimamizi wa muda ili uvielewe. Tunatakiwa tusome ila sio kubadili strategies zetu tunapaswa kumodify strategies zetu
Listen, unacho kiona (successful in Forex) hio ni picha ya mbele sio mwanzo wako.

Mungu haleti mwanzo kabla hajakuonesha mbele itakuaje.
Yeremia 29:11
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Mwisho unaozungumziwa hapo ni FUTURE, kwamba mwisho wa hiko unachowaza huwa ni wa Amani, huwa wa Tumaini huwa wa baraka.
So usistruggle sana kubadili mazingira haraka, unapohisi kuumia na kukata tamaa kumbuka kuwa Mungu anakuwazia mema, kumbuka yale uliokuwa unayawaza kipindi unaanza.
Join me on this seminar, bado hatujaanza sababu natumaini kuna mtu bado hajajoin na inampasa awepo kwenye seminar hii ili aanze kuona matunda.
Ni 65,500 tu.
Mungu atafungua macho yetu na tutaiona baraka yetu.
Before
Boom 👍👍
Before
👍1
Little one
BUY AUDJPY
Stop loss 87.686
Take profits (1) 89.118

Use a proper risk management.

Inorder to add position calculate your lotsize into two positions.

Example:-
First entry 0.01 and additional entry 0.01.

Have a good luck
❤2
I saw something here