Forwarded from Young africans sports club|YANGA
πππππππππππ
Selemani Mwalimu Ni Mwananchi
Tuliwaambia anafanya mazoezi na timu ndogo, anakuja kuanza msimu na Klabu Kubwaπ°
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

πππππ°ππ
π JKT Tanzania
π 24 Agosti 2026
β±οΈ Saa 12:00 Jioni
π KMC Complex
π #nbcpremierleague
π’

Feisal Salum Nilitoka Yanga kuja Azam FC kufuata malisho bora kuliko niliyokuwa nayapata huko.
Wala sikuwaza kuhusu mataji, halafu leo hii nitoke Azam niende sijui Simba.
Wanao uwezo wa kunipa pesa ninayo pewa hapa Azam? Jibu ni hapana.
Sasa niende kufanya nini ikiwa hawana uwezo wa kunipa pesa ninayo taka wala hawana uwezo wa kutwaa mataji?
Sijafikiria kuondoka hapa Azam labda niende kujaribu bahati njeβ
π£ Feisal Salum. Via ZBC online.

Huyu baba anamikwara?
Hersi Said π£οΈπ£οΈ βSio kwamba nawekeza nguvu kuifunga Simba, hakuna mechi nyepesi kwangu kama Dabi. Nawala siwezi kutumia hongo kuwafunga, mfano ile mechi ya goli tano. Maneno yalikuwa mengi kuwa baadhi ya wachezaji wao wameuza mechi. Mtu kama Manula, Shomari Kapombe.. Chama. Wote hawa walishtumiwa kuuza mechi ile.
Kwa akili ya kawaida unapata wapi ujasiri wa kwenda kuwahonga hawa wachezaji ambao tayari wamesha weka Alama kwente timu yao?
Mara nyingi kwenye Dabi Simba huingia na matokeo yake kichwani huku wachezaji wakijiamini kwamba wao tu ndio wanastahili kushinda. Kwahiyo mambo yanapokuwa tofauti ndipo wanaanza kumtafuta mchawi nani.
Ile mechi wao walimtegemea Kibu Denis peke yake, na mbaya zaidi kocha wao alimuweka Manula Golini akiwa ametoka kwenye majeraha walihofia kiwango cha Ally Salimu. Sasa nani mbaya hapo kocha au mchezaji uliyempanga akiwa hana fitness.
Na kama Chama aliuliza mechi Kwanini wamrudishe na kumwona Mfalme?
Kwahiyo sio kwamba nawaza Simba badala

π₯ PATA BONUS YA HADI 100% KWA 1xBet! β½π₯
Uko tayari kwa mechi zinazofuata? π
Jiunge na 1xBet kupitia link yangu
https://go.eastlink.africa/r/R0qdXmSQPEaRvmdHnMeX99dctFu2/dIoDssedHKjKEdCHy31I/CYIBmjXGtPMj8yCJMije
wakati wa kujisajili ili kupata ofa ya hadi 100% bonus, kulingana na masharti ya ofa.
π― Football na michezo mbalimbali
π Bonus hadi 100%
π Jisajili hapa: https://go.eastlink.africa/r/R0qdXmSQPEaRvmdHnMeX99dctFu2/dIoDssedHKjKEdCHy31I/CYIBmjXGtPMj8yCJMije
Ukiwa una marafiki wanaopenda michezo, unaweza pia kuwashirikisha link hii. β½π₯
π Kwa wenye miaka 18+ pekee. Bet responsibly. Masharti ya bonus yanatumika.

1xBet
1xBet registration α 1xBet sign up - 1xbet.com
1xBet registration π₯ 1xBet registration by phone number β½οΈ 1xBet register β
Create account, get sign up bonus and win - 1xbet.com