SIMBA YANGA SPORTS NEWS
179 subscribers
12 photos
2 links
Download Telegram
New video coming
Join now
Video natuma mda si mrefu
FRED NGOMA ni MwananchiπŸ”°
π’π”ππ‘πˆπ’π„π„π„π„π„

Selemani Mwalimu Ni Mwananchi

Tuliwaambia anafanya mazoezi na timu ndogo, anakuja kuanza msimu na Klabu KubwaπŸ”°

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
ππ„π—π“πŸ”°π”π

πŸ†š JKT Tanzania
πŸ—“ 24 Agosti 2026
⏱️ Saa 12:00 Jioni
🏟 KMC Complex
πŸ† #nbcpremierleague
🟒

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
MAN OF THE MATCH Albert KangwandaπŸ€πŸ”°

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
FT’| #CAFCL

Gaborone United 1πŸ†š1 Young Africans SC

#TimuYaWananchi
#daimambelenyumamwiko
SIKU YA MCHEZO! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Leo Taifa Stars yetu inapambana na Guinea Bissau katika mchezo wa kufuzu AFCON 2027.

πŸ“ Uwanja wa Amaan, Zanzibar
πŸ•“ Saa 10:00 Jioni
🚨🚨Dar young African wao wapo zao Avic TOWN kigamboni kama kawaida yaoo...pale ndio jikoni ,kifupi jamaa hawana presha san na derby.

Nb:SHAMBA UNALIMA UNAPATA UTAHAMA....??
Feisal Salum Nilitoka Yanga kuja Azam FC kufuata malisho bora kuliko niliyokuwa nayapata huko.

Wala sikuwaza kuhusu mataji, halafu leo hii nitoke Azam niende sijui Simba.

Wanao uwezo wa kunipa pesa ninayo pewa hapa Azam? Jibu ni hapana.
Sasa niende kufanya nini ikiwa hawana uwezo wa kunipa pesa ninayo taka wala hawana uwezo wa kutwaa mataji?

Sijafikiria kuondoka hapa Azam labda niende kujaribu bahati nje”

πŸ—£ Feisal Salum. Via ZBC online.
Huyu baba anamikwara?

Hersi Said πŸ—£οΈπŸ—£οΈ β€œSio kwamba nawekeza nguvu kuifunga Simba, hakuna mechi nyepesi kwangu kama Dabi. Nawala siwezi kutumia hongo kuwafunga, mfano ile mechi ya goli tano. Maneno yalikuwa mengi kuwa baadhi ya wachezaji wao wameuza mechi. Mtu kama Manula, Shomari Kapombe.. Chama. Wote hawa walishtumiwa kuuza mechi ile.
Kwa akili ya kawaida unapata wapi ujasiri wa kwenda kuwahonga hawa wachezaji ambao tayari wamesha weka Alama kwente timu yao?

Mara nyingi kwenye Dabi Simba huingia na matokeo yake kichwani huku wachezaji wakijiamini kwamba wao tu ndio wanastahili kushinda. Kwahiyo mambo yanapokuwa tofauti ndipo wanaanza kumtafuta mchawi nani.
Ile mechi wao walimtegemea Kibu Denis peke yake, na mbaya zaidi kocha wao alimuweka Manula Golini akiwa ametoka kwenye majeraha walihofia kiwango cha Ally Salimu. Sasa nani mbaya hapo kocha au mchezaji uliyempanga akiwa hana fitness.

Na kama Chama aliuliza mechi Kwanini wamrudishe na kumwona Mfalme?

Kwahiyo sio kwamba nawaza Simba badala
Niliwaambia mapema kuhusu hili deal la Libasse Gueye

Watu wakabisha sana
Sawa tuendelee kusubiria pigo January

🧐πŸ”₯πŸ™Œ
πŸ”₯ PATA BONUS YA HADI 100% KWA 1xBet! ⚽πŸ”₯

Uko tayari kwa mechi zinazofuata? 😎

Jiunge na 1xBet kupitia link yangu
https://go.eastlink.africa/r/R0qdXmSQPEaRvmdHnMeX99dctFu2/dIoDssedHKjKEdCHy31I/CYIBmjXGtPMj8yCJMije

wakati wa kujisajili ili kupata ofa ya hadi 100% bonus, kulingana na masharti ya ofa.

🎯 Football na michezo mbalimbali
🎁 Bonus hadi 100%


πŸ‘‰ Jisajili hapa: https://go.eastlink.africa/r/R0qdXmSQPEaRvmdHnMeX99dctFu2/dIoDssedHKjKEdCHy31I/CYIBmjXGtPMj8yCJMije

Ukiwa una marafiki wanaopenda michezo, unaweza pia kuwashirikisha link hii. ⚽πŸ”₯

πŸ”ž Kwa wenye miaka 18+ pekee. Bet responsibly. Masharti ya bonus yanatumika.
Wachezaji maarufu

Pro Player Bios
http://proplayerbios.com/
Pro Player Bios
http://proplayerbios.com/