Kampuni ya Twitter huenda ikabadilishwa muonekano wake hivi karibuni na itakuwa inaitwa “X”, huku ikipatikana kupitia domain ya x.com. Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya habari, mmiliki wa mtandao wa Twitter Elon Masks alitangaza hapo jana (Jumapili July 23, 2023) kuwa hivi karibuni mtandao huo utabadilishwa kabisa na nembo yake maarufu ya ndege wa rangi […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
App ya ChatGPT Inapatikana Kwa Watumiaji wa Android
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/app-ya-chatgpt-android/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/app-ya-chatgpt-android/
Kama wewe umekua ni mtumiaji wa ChatGPT, habari njema ikufikie kwani sasa unaweza kutumia app ya chatGPT moja kwa moja kupitia simu yako ya Android. Kwa mujibu wa OpenAI, app ya chatGPT inafanya kazi kama ilivyo tovuti lakini sasa utaweza kutumia mfumo huo wa AI kwa urahisi zaidi. Hapo awali chatGPT ilianza kupatikana kama app […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kununua Instagram Blue Tick (Verified Badge)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/jinsi-ya-kununua-instagram-blue-tick-verified-badge/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/jinsi-ya-kununua-instagram-blue-tick-verified-badge/
Instagram Verified au Blue Tick ni moja ya vitu ambavyo ni ndoto kwa watumiaji wengi wa mtandao wa Instagram. Kama wewe ni mmoja wa watu ambao kwa muda sasa umekuwa unahitaji kupata blue tick au verified Badge basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha hatua rahisi za jinsi ya kupata […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Infinix Yashinda Tuzo za Design Kimataifa (2023)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/infinix-yashinda-tuzo-za-design-kimataifa-2023/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/infinix-yashinda-tuzo-za-design-kimataifa-2023/
Kampuni ya simu za mkononi Infinix yenye makao makuu nchini Hong Kong yatwaa ushindi katika usanifu wa bidhaa/vyombo vya habari na electroniki za nyumbani nchini Paris. Infinix Tanzania kupitia kurasa zake za mtandao wa kijamii @infinixmobiletz imepost video kusherehekea ushindi huo uliopatikana kupitia simu mahiri aina ya Infinix NOTE 30. Infinix NOTE 30 imetengenezwa kwa […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Yote ya Muhumu Kuhusu iPhone 15 kutoka Apple
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/yote-ya-muhumu-kuhusu-iphone-15-kutoka-apple/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/yote-ya-muhumu-kuhusu-iphone-15-kutoka-apple/
Kampuni ya Apple inatarajiwa kutoa simu zake mpya, toleo la iPhone 15 mwezi unaokuja. Japo bado takribani mwezi mzima hadi kuzinduliwa kwa simu hizo, tayari kuna taarifa mbalimbali juu ya sifa, mwonekano na uwezo wa simu hizo ambazo zimefahamika kutoka katika vyanzo mbalimbali, nyingi zikiwa zaq kuaminika. Katika mengi yaliyo wekwa wazi tayari, haya ni […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
WhatsApp Sasa Kuruhusu Picha za Ubora wa HD
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/whatsapp-sasa-kuruhusu-picha-za-ubora-wa-hd/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/whatsapp-sasa-kuruhusu-picha-za-ubora-wa-hd/
Mtandao wa WhatsApp katika maboresho ya hivi karibuni, wameongeza uwezo wa watumiaji wake kutuma picha zenye ubora mkubwa, wakiziita kama “HD Pictures“. Hapo awali, Whatsapp ilikuwa ikipunguza ukubwa na ubora wa picha moja kwa moja wakati wa kuituma au kuisambaza ili kutumia kiasi kidogo cha data. Ukubwa wa picha hapo kabla ulikuwa ukizuiwa kuwa 1600 […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia Simu Yako (2023)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/tengeneza-pesa-kupitia-simu/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/tengeneza-pesa-kupitia-simu/
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukitafuta njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni basi leo ni wakati wako. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi sana ambayo unaweza kutumia kutengeneza pesa mtandaoni kupitia simu yako ya mkononi ya Android. Kitu cha muhimu unacho hitaji ni simu yako ya Android au iOS na Internet. […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech