Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Haier TVs in Tanzania Top TVs to Buy Now (2023)
https://www.tanzaniatech.one/haier-tv-in-tanzania/
Haier TV is a relatively new TV brand in Tanzania compared to other names that have been around for decades. Haier has quickly risen in both sales and popularity and is now being compared to the best choices in consumer electronics in Tanzania. When it comes to purchasing a television, Tanzanian consumers seek exceptional picture […]
MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/06/lg-mawakala-dealers-seminar/
Kampuni ya LG imefanya kweli tena baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Ukanda wa Afrika Mashariki Bw Dongwon Lee kungoza watendaji na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika Semina ya Mawakala (Dealers Seminar) ya aina yake Jijini Dar es Salaam. Kupitia Semina hiyo ya Mawakala ambapo pamoja na mambo mengine mawakala hao walipewa mafunzo maalumu […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Simu Bora Kati ya Infinix NOTE 30 Pro vs Galaxy A34 (2023)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/06/infinix-note-30-pro-vs-galaxy-a34/
Katika ulimwengu wa simu za mkononi, Infinix Note 30 Pro na Samsung A34 ni simu mbili zenye ubora kulingana na mahitaji yako ya mwaka 2023. Simu zote mbili zina sifa na features kulingana na mahitaji yako. Hata hivyo, uchunguzi wa karibu unaonyesha kuwa Infinix Note 30 Pro ni simu bora zaidi kwa mwaka 2023 ikilinganishwa […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
How to Watch Over 5000+ Channels Free IPTV in Tanzania
https://www.tanzaniatech.one/iptv-in-tanzania/
It is clear that currently smart TVs are widely available, especially here in Tanzania. In addition to their availability, the prices of these TVs have also become very affordable due to their abundance. Now, because of this, you can use your Smart TV just like your Android phone, starting with this method of how to […]
Fahamu Hili Kabla ya Kununua Simu Yoyote ya iPhone
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/07/fahamu-kabla-ya-nunua-iphone/
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za iPhone basi makala hii ni kwa ajili yako, na pia kama unafikiria kununua simu mpya ya iPhone au hata kama unataka kununua simu used basi ni vyema umechagua kusoma makala hii. Kupitia makala hii nitaenda kukujulisha moja kati ya jambo la muhimu sana la kuangalia kabla ya kununua […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Threads, programu mpya iliyotolewa na kampuni ya Meta au (Facebook Zamani), imepokelewa kwa shangwe na mamilioni ya watumiaji ndani ya masaa yake ya kwanza saba. Kwa kuwa programu hii inalenga kuwa mpinzani “rafiki” wa Twitter, ina uwezo wa kuvutia watumiaji ambao hawaridhishwi na mabadiliko ya hivi karibuni kwenye jukwaa hilo. Ikiwa wewe ni mmoja wa […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Mtandao wa Twitter Kubadilishwa na Kuwa “X”
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/07/twitter-kuitwa-x/