Tanzania Tech
2.06K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.77K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Sehemu Bora za Kupata Mkopo wa Smartphone
https://www.tanzaniatech.one/2023/04/mkopo-wa-smartphone/
Kuwa na smartphone ni muhimu sana katika maisha ya kisasa. Smartphone inakusaidia kuwasiliana na watu, kutafuta habari, na hata kupata huduma za kifedha na hata huduma nyingine za muhimu kama bima na nyingine. Hata hivyo, si kila mtu anaweza kumudu kununua simu ya mkononi, hasa smartphone. Kwa bahati nzuri, kuna njia za kupata smartphone simu […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kupata File Lolote kwa Haraka (MP3,MP4,ZIP,PDF,ISO)
https://www.tanzaniatech.one/2023/04/pakua-mp3-mp4-zip-pdf-iso/
Ni wazi kuwa kama wewe ni mwana teknolojia kuna wakati ni lazima utakuwa unahitaji kupata file fulani kwa haraka, iwe una tafuta file za MP3, MP4, ZIP, PDF, ISO au hata file nyingine zozote njia hii inaweza kusaidia sana kuokoa muda. Kupitia njia hii nimekusogezea tovuti inayokupa fursa ya kupata faili lolote kwa haraka. Tovuti […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kutumia Google Bard, Mfumo wa AI Kama ChatGPT
https://www.tanzaniatech.one/2023/04/google-bard/
Kwa sasa huduma za AI zimeonekana kuiteka dunia kwa kiwango kikubwa, hii ni baada ya kampuni ya OpenAI kuanzisha mfumo wa ChatGPT, zipo kampuni nyingi sana ambazo kwa sasa zimejikita kwenye utengenezaji wa huduma zinazotumiwa mfumo wa AI kurahisisha huduma zake moja ya kampuni hizo ni kampuni ya Google ambayo inakuja na mfumo wa Google […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Infinix HOT 30 ni toleo la kwanza kutoka kwenye series ya HOT kuongezewa kiwango cha matumizi ya uchezaji games kwa bei ile ile ambayo tumezoea kuiona kwenye matoleo ya awali ya series hii ya HOT si hivyo tu mabadiliko mengi yameonekana kufanyika kwenye toleo hili. Teknolojia ya fast chaji imeboreshwa kwa namna haikuhitaji kupoteza muda […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech