Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Kampuni ya Xiaomi inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya kielektroniki zikiwemo simu za mkononi imetaja bei za simu zake mpya za Redmi Note 13 nchini Tanzania zilizo zinduliwa hivi karibuni. Bei ya Simu Mpya za Redmi Note 13 Xiaomi imesema imekuja na matoleo tofauti ya simu hizo ili kuwafanya wateja wake wa madaraja yote kuwa […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Get ready for a new name in the mobile world HMD Global, previously known for making Nokia branded devices, is stepping out on its own. It will soon launch smartphones and other devices under its own brand, marking a potential end to the Nokia Mobile smartphones. The news was shared by HMD which is also […]
The Accelerate Africa Tanzania network, in collaboration with AIM startups, has officially launched a competition that will enable entrepreneurs from Tanzania to get funding to attend the AIM Congress 2024, which will be held in Abu Dhabi, UAE in May 2024. Speaking in Dar es Salaam during the launch of the competition, Tanzania Accelerate Africa […]
Jinsi ya Kufuta Kwa Haraka Picha na Mafaili Yanayofanana
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/02/picha-zinazofanana/
Ni kweli kwamba kila mtu amewahi kupiga picha na kujikuta kuna picha nyingine zinazofanana, hii inatokea mara nyingi kama umeona picha ya kwanza haijatokea vizuri na hivyo ukalazimika kupiga icha nyingine mbili ama nne zinazofanana ili kuweza kupata picha moja unayo iyopenda zaidi. Lakini kutoka na kufanya hivi mara nyingi simu inaweza kujaa haraka sana […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Ni wazi kuwa mfumo wa akili bandia au Artificial Intelligence (AI) sasa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, uwe wewe ni mwana teknolojia au lah AI sasa ni sehemu muhimu ya kazi, michezo au baadhi ya huduma ambazo unatumia kila siku. Kuliona hili leo nimekuletea makala ambayo itakuonyesha aina mbalimbali za browser ambazo […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kuzuia Apps Ku-update Zenyewe Kupitia Play Store
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/02/jinsi-ya-kuzuia-auto-update-play-store/