Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Katika ulimwengu huu wa sasa ni wazi kuwa speed ya internet ni muhimu sana, haijalishi wewe una muda wa kusubiri, au wewe ni kama mimi na ungependa vitu vyote unavyo fungua kwa kutumia smartphone yako vifunguke kwa haraka. Kama hivi karibuni umekuwa ukifungua app ya Instagram na unaona app hiyo haifunguki au picha zinatumia muda […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Tengeneza Video Bora za YouTube, TikTok na Instagram Kupitia Simu
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/03/kutengeneza-video-za-youtube-kwa-kupitia-simu/
Ni wazi kuwa dunia kwa sasa inaamia kiganjani, japo kuwa bado kuna uwezekano wa kompyuta kuendelea kuhitajika lakini ni wazi kwa simu kwa sasa zimekuwa zikifanya kila kitu ambacho zamani kilikuwa kunafanywa na kompyuta. Kuliona hili leo nimekuandalia makala ambayo itakupa maelezo ya tofauti ya jinsi ya kutengeneza video bora kwa kutumia simu yako ya […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Tanzanian online classifieds giant Kupatana has been acquired by AUTO24.africa, a major force in the African used car market. This move, for an undisclosed sum, solidifies AUTO24’s dominance in Sub-Saharan Africa and signifies their commitment to revolutionizing the continent’s pre-owned vehicle landscape. Kupatana’s Strengthens AUTO24’s Grip on East Africa Kupatana wasn’t just any online marketplace. […]
Kampuni ya simu za mkononi Infinix imeuimarisha mfumo wake wa uendeshaji/Operating system ‘XOS’ na mabadiliko hayo yataanza kuonekana katika simu mpya za Infinix NOTE 40. Simu za NOTE 40 kuja kupokea Android version upgrade mbili na security upgrade kwa muda wa miezi 36 duniani kote. Infinix inatambua umuhimu wa maisha marefu ya programu na imejitolea […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Samsung’s 12KG Washing Machine A Blend of Innovation and Convenience
https://www.tanzaniatech.one/samsungs-12kg-washing-machine-a-blend-of-innovation-and-convenience/
Home appliances that offer efficiency, convenience, and advanced features have become essential in the current world. With the world pushing daily for various sectors to embrace green investments that are friendly to Earth, the need for efficient electronics has never hit the peak as it is now. Samsung has again raised the bar with its […]
Fahamu Maana ya Alama Hizi Kwenye Vifaa vya Elektroniki
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/03/maana-za-alama-za-elektroniki/
Mara nyingi pale unapo nunua kifaa kipya cha eletroniki tunakutana na vitu mbalimbali vya kueleza jinsi ya kutumia vifaa hivyo, lakini ni watu wachache sana ambao huwa na muda wa kusoma vielelezo hivyo ambavyo huonyesha matumizi sahihi ya vifaa hivyo. Kuliona hili leo nimekuletea makala ambayo itakujulisha angalau kidogo kuhusu alama ambazo mara nyingi zinapatikana […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech