JamiiForums
✔
23.8K subscribers
40.8K photos
3.62K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, gharama za kuchukua cheti cha matokeo (Transcript) kwenye chuo ulichohitimu zikoje?

Zaidi https://jamii.app/TranscriptIringa

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Hayo ameyasema Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Aggrey Mwanri wakati akizungumza katika Mkutano wa Baraza hilo, leo Oktoba 7, 2026.

Zaidi: https://jamii.app/BarazaVyamaSiasa

#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi aliyasema hayo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam.

Zaidi https://jamii.app/RaisSamiaVyama

#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Sehemu ya hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, aliyotoa Oktoba 7, 2026, wakati wa Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa.

Zaidi https://jamii.app/KabudiHaramu

#JamiiForums #Uwajibikaji #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi ametoa wito huo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa nchini Jijini Dar es Salaam.

Zaidi https://jamii.app/VyamaGenZ

#JamiiForums #Siasa #Demokrasia
Kuhusu hatua za kufuata pale unapopitia udhalilishaji na ukatili mitandaoni, Mtaalamu wa Saikolojia George Chacha ameeleza: 

“Mtu lazima akubaliane kwamba kwa wakati huo anapitia kwenye kipindi ambacho yeye mwenyewe hakifurahii. Ajitahidi asiwe ‘active’ mitandao ya kijamii. Anaweza akatoka kwa muda, ‘akapause’ kwa muda ili kuepusha hali ya kujieleza eleza kwa kila mtu ili aeleweke” 

https://jamii.app/SelenaGomezInstagram

#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UPDATES: Ikumbukwe, Septemba 11, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika "Baadhi ya vyoo katika Jengo la RITA TOWER - Dar es Salaam vina changamoto kwenye vyoo ambapo sinki zimeharibika na hazirekebishwi."

Mdau, Jengo gani lingine linahitaji maboresho kwenye miundombinu yake?

Zaidi https://jamii.app/MasinkiRitaTower

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
❤1
Kwa sasa AVA ndio habari ya mjini, hakuna gharama taarifa zote unapata, piga sasa namba 0901760321 uzungumze naye.

Zaidi https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
❤1👍1
Mdau, ilikuwaje ukalizwa na matapeli? Tuambie tujifunze.

Zaidi https://jamii.app/MgangaKutapeliwa

#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila ametoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke kusimamia Mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe fedha alizozidisha kisha ziuzwe kwa bei stahiki, ameyasema hayo Oktoba 7, 2026.

Ikumbukwe, Julai 8, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “DC wa Temeke na Mkurugenzi wa Halmashauri wanachokifanya si sahihi, wameandaa meza za Wafanyabiashara wadogo wanaziuza kwa Tsh. 200,000 bei ambayo si rafiki kwa wahusika. Serikali ifanye uchunguzi kubaini uhalali wa ukusanyaji huo wa fedha.”

Zaidi https://jamii.app/ChalamilaTemeke

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026