JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Una rafiki kama huyo? Mtag kwenye komenti😂

Zaidi https://jamii.app/MarafikiKuteteana

#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kwa mara ya kwanza Afrika imechukua taji la Miss Grand International 2026 kupitia Mtanzania Jihan Dimack tangu mashindano hayo yalipoanzishwa 2013 nchini Thailand.

Lengo kuu la waandaji wa mashindano hayo ni kampeni yao ya “Komesha Vita na Vurugu” ili kuhamasisha amani duniani.

Fainali za Shindano la Miss Grand International 2026 zilifanyika Oktoba 10, 2026 nchini Thailand.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/JihanMissGrand

#JamiiForums #MissGrandInternational2026
LIGI KUU BARA: Simba imemaliza ubishi wa nani ni mbabe katika timu za Kariakoo, hiyo ni baada ya kuitandika #Yanga magoli 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Oktoba 10, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Timu ya #Simba ambayo ilitawala mchezo huo muda mwingi imefikisha pointi 21 na kuongoza msimamo wa Ligi, Yanga ambayo imefungwa kwa mara ya kwanza katika Ligi msimu huu, imebaki nafasi ya pili ukiwa na alama 18.

Mdau umeonaje mchezo?

Zaidi https://jamii.app/SimbaVsYanga26

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026 #KariakooDerby
❤2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SHINYANGA: Mbunge wa Jimbo la Ushetu (#CCM), Emmanuel Cherehani, alitoa kauli hiyo Oktoba 7, 2026 katika ziara yake Kata ya Chambo ya kuzindua na kukagua miradi mbalimbali.

Nini maoni yako Mdau?

Mjadala unaendelea https://jamii.app/KatibaNiKaratasi

#JamiiForums #Siasa
Wewe hupendeleaa kula na nini Mdau?

Tembelea jukwaa la Mapishi ndani ya JamiiForums.com kwa mijadala mingi zaidi.

Mjadala unaendelea https://jamii.app/DagaaUgali

#JamiiForums #Maisha
Una lipi la kumshauri mdau huyu? Mwambie hapa https://jamii.app/IdadiWatotoKuongezeka

#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ametoa agizo hilo Oktoba 10, 2026, baada ya kukamilika kwa zoezi la usafi lililoratibiwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Ikumbukwe, Aprili 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Ufungaji holela wa nyaya za Intaneti Kariakoo si rafiki kwa mandhari ya Jiji.” Akibainisha kuwa nyaya mpya huongezwa bila kuondoa za zamani matokeo yake kuwa kama uchafu.

Zaidi https://jamii.app/MpogoloNyayaKariakoo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, Ubora wa huduma za usafiri kwenye njia ya kwenda mkoani kwako unakidhi vigezo?

Shiriki mjadala https://jamii.app/MagariLoliondo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Una mada au uchambuzi kuhusu filamu, nyimbo au sanaa? Tembelea sasa Jukwaa La Burudani ndani ya JamiiForums.com📌

Zaidi https://jamii.app/MhusikaSeries

#JamiiForums #JFBurudani
Si kila mabadiliko ya mwili yanahitaji maoni yako. Maneno unayoyaona ya kawaida yanaweza kumuumiza Mtu mwingine.

Je, Umewahi kuandikiwa comment ya namna hii?

Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/UmekondaSanaSalamu

#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
❤1