Mdau, nini kifanyike kupunguza unyanyasaji wa kijinsia Mitandaoni?
Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/UonevuMtandaoni
#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #HakikiTaarifa
Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/UonevuMtandaoni
#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #HakikiTaarifa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kauli hiyo imetolewa na Mwandishi wa Habari Mkongwe, Salim Said Salim katika mahojiano yaliyorushwa na Nijuze mnamo Oktoba 24, 2026.
Soma https://jamii.app/SalimUchaguziZanzibar
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Soma https://jamii.app/SalimUchaguziZanzibar
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
DAR: Wito huo umetolewa na Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kupitia taarifa yao iliyosainiwa na Wakili Onesmo Olengurumwa, 23 Oktoba 2026.
Zaidi https://jamii.app/WahangaOktoba25
#JamiiForums #HakiZaBinadamu #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/WahangaOktoba25
#JamiiForums #HakiZaBinadamu #Uwajibikaji
AFRIKA KUSINI: Hai Shi akishinda Uchaguzi, atawakilisha wakazi wa Kata ya 103, Jimbo la Gauteng, katika Baraza la Jiji la Johannesburg.
Soma https://jamii.app/DiwaniHaiShi
#JamiiForums #Democracy #LGE2026 #SAElections #AfricanPolitics
Soma https://jamii.app/DiwaniHaiShi
#JamiiForums #Democracy #LGE2026 #SAElections #AfricanPolitics
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Wakati wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa, #Yanga wakifuzu Hatua ya Makundi kwa magoli 8-1 , wawakilishi wengine, Timu ya #Simba imeingia kwa kishindo kikubwa zaidi kwa kuifunga 15 de Agosto ya Equatorial Guinea magoli 3-0, hivyo kuitoa kwa jumla ya magoli 9-1 kutokana na kushinda 6-1 katika mchezo wa awali.
Mchezo huo wa pili umepigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Oktoba 25, 2026.
Mdau umeonaje kiwango cha Mnyama?
Zaidi https://jamii.app/MnyamaMakundi
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
Mchezo huo wa pili umepigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Oktoba 25, 2026.
Mdau umeonaje kiwango cha Mnyama?
Zaidi https://jamii.app/MnyamaMakundi
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ENGLAND: Manchester United sasa inaelekea kuwa kati ya timu zinazopigania kutoshuka Daraja kwa kuwa ina pointi 7 ambapo ni moja zaidi ya Nottingham Forest iliyopo kwenye Kundi la timu zinazopambana kutoshuka Daraja katika Premier League.
Hiyo imefikia baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old Trafford kutoka kwa Bournemouth, leo Oktoba 25, 2026, matokeo yanayoonesha kuna uwezekano Kocha Michael Carrick safari yake imewadia.
Licha ya nahodha wa United, Bruno Fernandes kuanzia benchi bado hakukuwa na mabadiliko yoyote kwa timu hiyo ambayo imekuwa na matokeo mabaya katika mechi 8 mfululizo.
Zaidi https://jamii.app/UnitedHoiBinTaaban
#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026

“Kauli Mbiu yetu ni “Mapenzi si Vita Usiue”, mahusiano ni furaha, ukiona imefika mwisho muache aende, hakuna haja ya kutafuta migogoro. Wanawake na Wanaume tujirekebishe tunapozungumza, pia viongozi wa dini waifundishe Jamii kuwa upendo wa Kimungu tuuoneshe kwa juhudi, tukiendelea hivi Watu wataogopa kuingia katika mahusiano.”
Kauli hiyo imetolewa Oktoba 23, 2026 na Wakili Halima Sonda, Mkurugenzi wa Miradi na Undeshaji wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC).
Zaidi https://jamii.app/VifoMahusiano
#JamiiForums #HakiZaBinadamu #HumanRights

Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano CHADEMA, Brenda Rupia ameelezea kuhusu tukio linaloripotiwa kumhusu kutekwa kwa Mwanachama wao, Twaha Mwaipaya linalodaiwa kutokea leo, Oktoba 25, 2026.
Zaidi https://jamii.app/MwaipayaKutekwa
#JamiiForums #HakiZaBinadamu
Zaidi https://jamii.app/MwaipayaKutekwa
#JamiiForums #HakiZaBinadamu
❤2