Mdau wa JamiiForums.com ameandika "Kuna matukio ya baadhi ya Wanasiasa kujitokeza na kugawa ‘zawadi’ mbalimbali katika Majimbo, wapo wanaofanya hivyo hadharani na wakati mwingine mbele ya Kamera, ninachojiuliza, je, wanachokifanya ni Rushwa au ni zawadi za kawaida?”
Ikumbukwe, Aprili 30, 2025, akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (#TAKUKURU), Crispin Chalamila aliulizwa swali la aina hiyo na kusema “Kuhusu zawadi, unatakiwa kuangalia je, inatolewa muda gani? Tunaishi wote eneo hili na hujawai kutoa zawadi, iweje leo uje utoe zawadi ili hali umetangaza kugombea eneo hilihili, hizo zawadi lazima ziangaliwe.”
Soma https://jamii.app/ZawadiWanasiasa
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025

❤3
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa ameandika “Wagombea wengi wanaahidi mambo makubwa wakati wa Uchaguzi zikiwemo kujenga barabara, kutoa ajira kwa Vijana, kutoa huduma bora kwa Wananchi, hata kama hawana uwezo."
Ameeleza, wapo Wagombea wa Ubunge na Udiwani ambao Kikatiba hawana mamlaka ya moja kwa moja kutekeleza baadhi ya mambo hayo lakini wao wamekuwa wakiahidi tu licha ya kwamba wanajua ukweli.
Hivyo, Mdau anahoji, Je, kutoa ahadi zisizotekelezeka wakati wa Uchaguzi ni kosa Kisheria na adhabu zake ni zipi?
Soma Zaidi https://jamii.app/UongoKampeniUchaguzi
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025

Mdau wa JamiiForums.com ameeleza kuwa nyakati za Uchaguzi Mkuu kumekuwa na kawaida ya ongezeko la vikundi vya Watu, vinavyojitambulisha kama wafuasi wa mgombea au chama kisha kufanya shughuli mbalimbali za Kijamii, mfano kufadhili mashindano ya michezo kama vile Mbunge Cup na Diwani Cup.
Mdau anahoji vikundi hivyo havitumiki kama chombo cha Kisasa na kupiga kampeni kabla ya muda na Je, ni halali kwao kutoa zawadi kwa Wananchi?
Shiriki Mjadala https://jamii.app/VikundiMgombeaFulani
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau anahoji vikundi hivyo havitumiki kama chombo cha Kisasa na kupiga kampeni kabla ya muda na Je, ni halali kwao kutoa zawadi kwa Wananchi?
Shiriki Mjadala https://jamii.app/VikundiMgombeaFulani
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
❤1
Mdau kupitia Jukwaa la Siasa ndani ya JamiiForums.com amehoji kuhusu marufuku ya matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano ndani ya vituo vya Kupigia Kura, kama inavyoelekezwa katika Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Anahoji hatua hii inalinda usiri wa Kura kama inavyodaiwa au inazima uwazi na ushahidi wa matukio yanayoweza kutokea siku ya Uchaguzi?
Soma zaidi https://jamii.app/SimuKwenyeVituoVyaKura
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Anahoji hatua hii inalinda usiri wa Kura kama inavyodaiwa au inazima uwazi na ushahidi wa matukio yanayoweza kutokea siku ya Uchaguzi?
Soma zaidi https://jamii.app/SimuKwenyeVituoVyaKura
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
❤1
Mdau wa JamiiForums.com kutoka Jukwaa la Siasa amehoji vitendo vya Wanasiasa hasa Wagombea wanapopewa nafasi ya kuhutubia katika nyumba za ibada, inasaidia kudumisha amani na maadili ya Uchaguzi au wanachangia kuvuruga mwelekeo wa Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
Soma https://jamii.app/SiasaNyumbaZaIbada
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Soma https://jamii.app/SiasaNyumbaZaIbada
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau wa JamiiForums.com kutoka katika Jukwaa la Siasa ameibua hoja kuwa katika kipindi cha #Uchaguzi, baadhi ya Wagombea wamekuwa wakijitokeza na kutoa misaada katika shughuli za Kijamii ikiwemo vifaa vya ujenzi na ukarabati wa Miundombinu na shughuli zingine na michango ya fedha.
Mdau anahoji, kwanini misaada hii huongezeka zaidi nyakati za Uchaguzi? Je, hii si mikakati ya kampeni ya kuwalaghai Wapiga Kura?
Soma Zaidi https://jamii.app/WagombeaUchaguziUjenzi
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau anahoji, kwanini misaada hii huongezeka zaidi nyakati za Uchaguzi? Je, hii si mikakati ya kampeni ya kuwalaghai Wapiga Kura?
Soma Zaidi https://jamii.app/WagombeaUchaguziUjenzi
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
❤1
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa anauliza, Je, Wasanii maarufu wanaotumbuiza kwenye Majukwaa ya Kisiasa hawawezi kupoteza mwelekeo wa Wapiga Kura kutokana na nguvu yao ya Ushawishi?
Anadai Uwanja wa Kampeni ni mahali pa kutolea Hoja, mijadala, maswali na majibu lakini burudani inawafanya Wapiga Kura wasikie muziki na kusahau matatizo yao, kisha kupiga kura kwa hisia badala ya tafakari.
Kushiriki mjadala bofya https://jamii.app/WasaniiKampeni
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Anadai Uwanja wa Kampeni ni mahali pa kutolea Hoja, mijadala, maswali na majibu lakini burudani inawafanya Wapiga Kura wasikie muziki na kusahau matatizo yao, kisha kupiga kura kwa hisia badala ya tafakari.
Kushiriki mjadala bofya https://jamii.app/WasaniiKampeni
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
❤1
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa ameibua mjadala kuhusu Wagombea wa vyama mbalimbali vya Kisiasa wanaotumia mbinu ya kugawa chakula na vinywaji kwa Wananchi wakati wa mikutano ya kampeni zao.
Anasema, kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu uhalali wake, kwani kwa upande mmoja kinaweza kuonekana kama upendo kwa Wananchi lakini kwa upande mwingine kinaweza kutafsiriwa kama njia ya kuwashawishi Wapiga Kura kumchagua Mgombea au chama fulani.
Anahoji Je, hii ni mbinu halali ya kampeni au ni sehemu ya mikakati ya kununua Kura kwa njia isiyo ya haki?
Zaidi Soma https://jamii.app/VyakulaHuduma
#JamiiForums #TaarifaZaUchaguzi2025 #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025

Mdau wa JamiiForums.com kupitia jukwaa la Siasa ameibua hoja kuhusu magari yenye plate number za aina ya SSH 25-30 au SSH 2530, akisema kuna magari mengi yenye namba zinazofanana na wengi mtaani wanajiuliza iwapo wamiliki wake ni viongozi au la!
Amehoji iwapo tukio kama ajali au uhalifu likitokea litahusianishwa na gari lipi? Je, hii si aina ya kampeni ya mapema?
Kushiriki mjadala huu https://jamii.app/PlateNumberZaSamia
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #JFMdau2025 #JFUwajibikaji #Misinformation #Disinformation #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025

Mdau wa JamiiForums.com ameanzisha mjadala kuhusu ushiriki wa Asasi au Taasisi zisizo za Kisiasa, ambapo Viongozi wake wanajihusisha moja kwa moja na Siasa wakiunga mkono Vyama, kujibu hoja za Wanasiasa au kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi.
Mdau anahoji, ushiriki wao huo unaweza kuvuruga Haki za Wapiga Kura au unachangia kukua kwa Demokrasia?
Zaidi Soma https://jamii.app/TaasisiAthari
#JamiiForums #TaarifaZaUchaguzi2025 #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025
Mdau anahoji, ushiriki wao huo unaweza kuvuruga Haki za Wapiga Kura au unachangia kukua kwa Demokrasia?
Zaidi Soma https://jamii.app/TaasisiAthari
#JamiiForums #TaarifaZaUchaguzi2025 #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa ameibua hoja kuhusu wimbi la baadhi ya Watu maarufu na Wanasiasa kujipendekeza kwa Watawala maarufu kama ‘uchawa’ hali ambayo imeonekana kuzidi kushamiri kadri joto la Uchaguzi linavyopanda.
Amedai kuwa tabia hiyo haimfurahishi kwani inaleta madhara kwa Taifa, ikiwemo kupotosha Wapiga Kura na kuharibu mwelekeo wa Demokrasia.
Je, Wanasiasa wanaojipendekeza wanatafuta nafasi za Uongozi kwa maslahi ya Taifa na Wananchi, au ni kwa ajili ya maslahi yao binafsi?
Zaidi Soma https://jamii.app/KujipendekezaWagombea
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025
Amedai kuwa tabia hiyo haimfurahishi kwani inaleta madhara kwa Taifa, ikiwemo kupotosha Wapiga Kura na kuharibu mwelekeo wa Demokrasia.
Je, Wanasiasa wanaojipendekeza wanatafuta nafasi za Uongozi kwa maslahi ya Taifa na Wananchi, au ni kwa ajili ya maslahi yao binafsi?
Zaidi Soma https://jamii.app/KujipendekezaWagombea
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025
❤1👍1
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa ameeleza katika kipindi hiki cha mchakato wa vyama kuwapata Wagombea, kumekuwa na usambazaji wa vifaa vyenye nembo ya chama. Anadai matukio hayo yanaweza kuibua mjadala kuhusu ushawishi, kwani bado haijathibitishwa kama vinaweza kuathiri maoni ya Wapiga Kura kwa makusudi.
Amehoji, Je, wahusika wanahakikisha hakuna uvunjifu wa Sheria za Uchaguzi wakati wa usambazaji wa vifaa hivyo?
Zaidi Soma https://jamii.app/KablaYaKampeni
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Amehoji, Je, wahusika wanahakikisha hakuna uvunjifu wa Sheria za Uchaguzi wakati wa usambazaji wa vifaa hivyo?
Zaidi Soma https://jamii.app/KablaYaKampeni
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
❤2
Mdau wa JamiiForums.com kutoka Jukwaa la Siasa anasema katika kipindi hiki cha Uchaguzi na uteuzi wa Wagombea, Wananchi wameonekana kuwakataa wale Wagombea walioteuliwa na chama husika.
Shiriki Mjadala https://jamii.app/MtuBinafsi
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Shiriki Mjadala https://jamii.app/MtuBinafsi
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau wa JamiiForums.com anasema wakati wa Uchaguzi taarifa za Wagombea husambaa kwa kasi Mitandaoni, zingine zikiwa sahihi na zingine si sahihi, hali inayoweza kuwachanganya Wananchi kimaamuzi.
Anahoji, Je, taarifa za Wagombea unazoziona Mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?
Shiriki Mjadala https://jamii.app/WagombeaMtandaoni
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Anahoji, Je, taarifa za Wagombea unazoziona Mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?
Shiriki Mjadala https://jamii.app/WagombeaMtandaoni
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa amesema, kadri joto la #Uchaguzi linavyoongezeka, baadhi ya Wagombea wameanza kuishi maisha ya hadhi ya chini tofauti na walivyokuwa madarakani. Amehoji, kwa nini wasichague kuishi uhalisia wao badala ya kutengeneza taswira ya muda mfupi kwa ajili ya kampeni?
Zaidi soma https://jamii.app/UnyenyekevuWaWagombea
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Zaidi soma https://jamii.app/UnyenyekevuWaWagombea
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa amesema baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (#INEC) kupitisha Wagombea 17 wa Urais na nafasi za Wabunge na Madiwani, na hivyo Vyama vya Siasa kuanza kampeni za Uchaguzi rasmi na kwenda kutoa sera zao kwa Wananchi, anahoji, Je, Wapiga Kura watachagua chama kwa Sera na Mipango ya maendeleo, au sababu ya makongamano makubwa na hafla zinazovutia umma?
Mjadala zaidi soma https://jamii.app/MsuliWaFedhaNaSera
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mjadala zaidi soma https://jamii.app/MsuliWaFedhaNaSera
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa ameibua hoja kuhusu usawa wa vyombo vya habari vya umma katika kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ambapo katika mfumo wa kidemokrasia ni muhimu vyombo vya habari vya umma kutoa usawa kwa vyama vyote ili wananchi wapate fursa ya kuamua kwa taarifa sahihi.
Je, ni sawa Vyombo vya Habari vya Umma kurusha matangazo ya kampeni ya upande mmoja?
Zaidi Soma https://jamii.app/KampeniMatangazo
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Je, ni sawa Vyombo vya Habari vya Umma kurusha matangazo ya kampeni ya upande mmoja?
Zaidi Soma https://jamii.app/KampeniMatangazo
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau wa JamiiForums.com kutoka Jukwaa la Siasa ameeleza kuwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zinaendelea, na kila Mgombea wa Urais anaahidi mambo mbalimbali ili kupata ridhaa ya Wananchi na kuongoza Taifa kwa Miaka Mitano ijayo.
Anahoji iwapo ahadi zinazotolewa zinaendana na changamoto na mahitaji halisi ya Wananchi
Zaidi soma https://jamii.app/AhadiZaWagombea
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Anahoji iwapo ahadi zinazotolewa zinaendana na changamoto na mahitaji halisi ya Wananchi
Zaidi soma https://jamii.app/AhadiZaWagombea
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa ametoa hoja kuwa kumekuwapo na tabia ya baadhi ya Vyama vya Siasa kuwalazimisha na kuwasafirisha Watumishi wa Umma pamoja na Wanafunzi kwenda kushiriki Mikutano ya Kampeni, anaeleza kuwa kitendo hicho kinaweza kuonekana kama njia ya kuzuia na kuinyima nafasi ya uhuru wa Kidemokrasia.
Zaidi Soma https://jamii.app/WatumishiNaWanafunzi
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025
Zaidi Soma https://jamii.app/WatumishiNaWanafunzi
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025
❤1
Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa amesema katika kampeni zinazoendelea nchini, Vyama mbalimbali vya Siasa vimekuwa vikinadi Sera zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya kuongoza. Amehoji kama Ilani zao zinaeleza kwa usahihi utekelezaji wa Dira 2050, au ni 'propaganda' zinazolenga kuvutia Wananchi ili kupata Kura.
Zaidi https://jamii.app/IlaniZaVyamaNaDira

👍1