This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akizungumza kwenye hafla ya Uapisho wa Majaji, Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa kupata timu mpya na ameahidi kuendelea kuteua Wanawake kila atakapofanya uteuzi ili kufikia 50/50
-
Amesema, "Kila nikitengeneza jopo nitakuletea na Wanawake ili nifikie 50/50 jambo ambalo hatukulizoea huko nyuma. Lakini sasa kwasababu wapo na wana qualify, na nina hakika Majaji wanawake ni wazuri zaidi, huwa wanaogopa dhambi zaidi."
Soma https://jamii.app/MajajiWanawake
#Governance #GenderBalance #GenderEquality

👍2
#JFWOMEN: Kuwapa Wanawake fursa sawa za kujipatia kipato na kushiriki katika shughuli za Kiuchumi kunaweza kuinua hali yao ya Kiuchumi na Kijamii
Wanawake wanapopata fursa za kazi bora, Ujuzi na #Elimu, wanaweza kujenga njia za Kujitegemea, kuwekeza katika Maendeleo yao Binafsi na Familia zao na hatimaye kuchangia katika Ujenzi wa Jamii yenye usawa na endelevu
Soma https://jamii.app/PengoLaKijinsia
#JamiiForums #WomenRights #HumanRights #GenderBalance #GenderGap

👍4
Anna Kulaya (National Coordinator WiLDAF) anasema natamani tuangalie namna ya kuunganisha sauti za Vijana na Wanawake kwasababu makundi yote haya mawili yana Watu wengi
-
Kwa sasa tunayaweka makundi haya tofauti lakini kwa kutumia ubunifu wa Vijana tunaweza kupata suluhu ya changamoto zinazowakabili wanawake kwenye matumizi ya Huduma za kidijitali
-
Ameeleza "Tunapopambania #KatibaMpya, inabidi tujiulize tunataka nini. Kwasababu hata katika Katiba iliyopo masuala ya Haki za Binadamu yametajwa ila tujiulize yanazingatiwa? #Katiba haiwezi kuja kubadili tabia wala mienendo yetu. Katiba Mpya sio suluhisho la kila kitu"
-
Ameongeza Ndani ya Miaka 30, tumefikia asilimia 10 pekee ya uwiano katika Uongozi Nchini kati ya Wanawake na Wanaume. Hii inamaanisha ili kufika 50/50 itatuchukua Miaka 150. Wito wangu ni tutumie #Teknolojia ili kuweza kufikia hili kwa haraka kwani naamini inawezekana
#JamiiForums #GenderEquality #GenderBalance #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI #Governance #JFWomen

👎1
Ripoti ya #UNWomen 2023 inaonesha Wanawake wanashikilia 26.7% tu ya viti katika Mabunge Duniani, 35.5% wana nyadhifa katika Serikali za Mitaa, na 28.2% wana nafasi za Uongozi katika maeneo ya Kazi
Ripoti hiyo pia inasema kwa kasi ndogo ya Mabadiliko ya sasa, asilimia ya Wanawake katika nafasi za usimamizi kazini itafikia 30% tu ifikapo Mwaka 2050
Soma https://jamii.app/UNWomenUsawaUongozi
#JFWomen #WomenRights #GenderBalance #GenderEquality #HumanRights #JamiiForums

Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, kwasababu licha ya maendeleo katika Usawa wa Kijinsia, bado kuna tofauti kubwa katika malipo kati ya Wanaume na Wanawake, hasa katika Sekta Binafsi na Zisizo Rasmi
Siku hii pia inalenga kuhamasisha mabadiliko katika Sera za Mishahara, Uwazi wa Malipo na kuhakikisha kwamba Wanawake wanapata fursa sawa za Kiuchumi ambazo ni msingi wa kukuza maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi kwa wote
Zaidi https://jamii.app/SikuYaEqualPay
#JamiiForums #UsawaWaKijinsia #JFWomen #WomenRights #Governance #InternatinalEqualPayDay #GenderBalance #GenderEquality

DEMOKRASIA: Kila Mtanzania ana haki sawa ya kushiriki katika maamuzi ya nchi yake, bila kujali jinsia.
Wanawake wenye ndoto za kuleta mabadiliko, huu ndio wakati wa kusimama, kugombea na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa 2025.
Tangaza nia, chukua fomu, jinadi. Usiruhusu historia kuendelea kukuweka pembeni, wakati ni sasa
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance

👍1
Ikiwa tunataka maendeleo ya kweli, Vyama vya Siasa vinapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuwawezesha Wanawake kwa vitendo, kwa kuhakikisha kuna sera madhubuti za kuendeleza Uongozi wa Wanawake, kuwapa nafasi za kugombea bila vikwazo, na kupinga mifumo kandamizi inayowazuia
Katika kuelekea uchaguzi, tunapaswa kuhoji, Je, wanawake ndani ya Vyama vya Siasa wanapewa nafasi za kugombea au wanatumiwa tu kama wapiga kura?
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
Katika kuelekea uchaguzi, tunapaswa kuhoji, Je, wanawake ndani ya Vyama vya Siasa wanapewa nafasi za kugombea au wanatumiwa tu kama wapiga kura?
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
DEMOKRASIA: Vyama vya Siasa vina jukumu kubwa katika kuhakikisha Usawa wa Kijinsia kwenye Uongozi wa Kisiasa, ikiwemo kuweka Mazingira rafiki kwa Wanawake kushiriki katika shughuli za Siasa bila hofu wala ubaguzi
Vyama vinapaswa kuhakikisha Wanawake wanapata nafasi sawa za kugombea, kushiriki maamuzi na kupewa nafasi za Uongozi
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
Vyama vinapaswa kuhakikisha Wanawake wanapata nafasi sawa za kugombea, kushiriki maamuzi na kupewa nafasi za Uongozi
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
Vyombo vya Habari vina jukumu muhimu katika kuimarisha ushiriki wa Wanawake katika #Siasa kwa kusambaza maudhui sahihi na jukwaa la usawa, kuangazia changamoto wanazokumbana nazo, na kusimulia mafanikio yao badala ya kueneza maudhui kandamizi.
Hata hivyo, mara nyingi maudhui yanayoenezwa huendeleza mfumo dume, kudhalilisha au kudhoofisha jitihada za #Wanawake katika Uongozi.
Kuelekea Uchaguzi wa 2025, ni wakati wa Vyombo vya Habari kuhakikisha kuwa vinatumika kujenga, kuwezesha, na kuleta mabadiliko chanya kwa usawa wa kijinsia katika uongozi wa Kisiasa Nchini
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
Hata hivyo, mara nyingi maudhui yanayoenezwa huendeleza mfumo dume, kudhalilisha au kudhoofisha jitihada za #Wanawake katika Uongozi.
Kuelekea Uchaguzi wa 2025, ni wakati wa Vyombo vya Habari kuhakikisha kuwa vinatumika kujenga, kuwezesha, na kuleta mabadiliko chanya kwa usawa wa kijinsia katika uongozi wa Kisiasa Nchini
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
Baadhi ya Asasi za Kiraia hutoa mwangaza na msaada kwa Wanawake wengi wanaotaka kushiriki katika uongozi lakini wanakumbana na vikwazo vya Kijamii, Kiuchumi na Kisheria
Tushirikiane kuzisaidia Asasi hizi kwa kusambaza ujumbe, kushiriki katika mijadala na kuhimiza Sera zinazolinda Haki za Wanawake katika Siasa kwa uongozi jumuishi
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
Tushirikiane kuzisaidia Asasi hizi kwa kusambaza ujumbe, kushiriki katika mijadala na kuhimiza Sera zinazolinda Haki za Wanawake katika Siasa kwa uongozi jumuishi
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance
Licha ya juhudi za kuhamasisha Ushiriki wa Wanawake katika Siasa, bado kuna changamoto kubwa katika Uwiano wa Kijinsia ndani ya Vyama vya Siasa, hasa katika ngazi za juu za maamuzi
Chama cha ACT Wazalendo kinaongoza kwa uwakilishi wa Wanawake, ikifuatiwa na CUF, huku CHADEMA na CCM zikiwa na uwakilishi mdogo wa Wanawake katika Kamati Kuu za Vyama vyao
Je, Vyama vya Siasa vinafanya jitihada za kutosha kuwawezesha Wanawake kushika nafasi za juu kwenye Vyama au Kitaifa?
Mjadala https://jamii.app/WanawakeKamatiKuu
#JamiiForums #Demokrasia #Accountability #JFWomen #WomenInPolitics #WanawakeNaSiasa #WomenEmpowerment #GenderBalance

❤1