SIMBA DAY: SIMBA 2-0 SAINT GEORGE
Simba imeshinda magoli 2-0 dhidi ya Timu ya Saint George ya Ethiopia katika Tamasha la #SimbaDay, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam leo Agosti 8, 2022
Magoli yamefungwa na Kibu Denis na Nelson Okwa
Soma > https://jamii.app/Simba2George0
#JFSports

👍17👏1
SAKATA LA JENEZA: Klabu ya Simba imewaomba Radhi waumini wa Dini ya Kikristo, Serikali na Jamii baada ya msanii Tundaman kutumia vifaa vya Dini ya Kikristo #SimbaDay
Simba imesema haikufahamu kama atatumia aina hiyo ya maudhui
Soma - https://jamii.app/SimbaRadhi

👍21👎3
RAIS SAMIA: AHADI YANGU YA KUNUNUA MAGOLI IPO PALE PALE
Akiwa kwenye sherehe ya Klabu ya Simba, ‘#SimbaDay’ amesema ataendelea kununua Magoli kwa timu zinazofanya vizuri katika Michuano ya Kimataifa ili kuendelea kuzipa timu hamasa
Pia, amesema Serikali imeanza mchakato wa kujenga Viwanja Viwili vya Kisasa Nchini vitakavyokuwa na uwezo wa kubeba watu Elfu 30
Fuatalia mubashara https://jamii.app/SimbaDay2023

👍6❤1🔥1
MAPUMZIKO (#SIMBADAY): MNYAMA ANAONGOZA GOLI 1-0
Goli lililofungwa na Willy Essomba Onana dakika ya 5 limeifanya #Simba iwe mbele dhidi ya Power Dynamos FC ya #Zambia hadi mapumziko katika Mchezo wa Kirafiki kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam
Mshambuliaji Onana ambaye ni raia wa Cameroon ni moja ya Wachezaji wapya wa Simba, akiwa amesajiliwa kutoka Rayon Sports ya #Rwanda
Soma https://jamii.app/SimbaDay23
#JFSports #JamiiForums

👍8
MICHEZO: SIMBA YAITAFUNA POWER DYNAMOS MAGOLI 2-0
Tamasha la #SimbaDay limemalizika vizuri kwa wenyeji kushinda, magoli yakiwekwa wavuni na #WillyOnana dakika ya 5 na #FabriceNgoma dakika ya 75, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Jijini Dar es Salaam
Mchezo huo ni maalum ili kujiandaa kwa Msimu ujao wa 2023/24 kwa timu zote ambapo pia zina uwezekano wa kukutana katika Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa Dynamos itaitoa African Stars ya #Namibia kwenye Raundi ya Kwanza ya michuano hiyo

👍5
SIMBA DAY: Hatimaye Tamasha la #SimbaDay2024 limekamilika kwa Timu ya #Simba kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya #APR ya Rwanda kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, mpira ukiwekwa wavuni na Debora Fernandez (46) na Edwin Balua (66)
Simba ikiwa na kikosi cha wachezaji wengi ambao ni wapya kikosini hapo imewapa furaha mashabiki wake ambao asilimia kubwa waliujaza Uwanja huo kuanzia Saa 10 Jioni ya leo Agosti 3, 2024
Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kuelekea kuanza kwa msimu ujao wa 2024/25
Soma https://jamii.app/SimbaDay24
#JFSports #SimbaDay

❤9👍4👎2🔥1