Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake (UN Women), Feminist Climate Justice: A Framework for Action ya mwaka 2023, inaeleza kuwa kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa Wanawake na Wasichana dhidi ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi
Ripoti inaonesha baadhi ya visababishi ni pamoja na desturi zinazobagua kijinsia huchangia upatikanaji mdogo wa kipato, ajira, fedha, na rasilimali muhimu kwa Wanawake, hii inawafanya kuwa na uwezo mdogo wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya TabiaNchi
Hali hiyo inafanya Wanawake kukosa njia za kurekebisha vyanzo vya kipato, kujenga upya maisha yao pale miundombinu, huduma za umma, au uzalishaji wa chakula vinapoharibika
Soma https://jamii.app/EffectsOfClimateChangeOnWomen
#JamiiForums #JFWomen #WanawakeNaTabianchi #Accountability #ClimateChange #ClimateIsssues

Ripoti ya Benki ya Dunia (2019) - “Tanzania - Country Environmental Analysis” inaonesha maeneo ya Vijijini Tanzania yanaathirika kwa kiwango kikubwa na mabadiliko ya TabiaNchi, hivyo kusababisha changamoto za shughuli za Kilimo na upatikanaji wa maji
Ukame, Mafuriko, mabadiliko ya misimu, upepo mkali, joto kali au vimbunga vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri moja kwa moja Wanawake wa Vijijini katika maisha yao ya kila siku kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali hizo
Pia, ripoti inaonesha Wanawake wa Vijijini ndio wanaobeba mzigo mkubwa zaidi wa Mabadiliko ya TabiaNchi kwakuwa wao hujihusisha zaidi na shughuli za kilimo na kuteka maji.
Soma https://jamii.app/WanawakeWaVijijini
#JamiiForums #ClimateIsssues #ClimateChange #WanawakeNaTabianchi #JFWomen

👍2
Tafiti mbalimbali zinaonesha Mabadiliko ya TabiaNchi yanaendelea kuathiri upatikanaji wa Maji Safi na Ardhi yenye rutuba ambapo waathirika wakubwa ni Wanawake na Wasichana wanaohusika na "Shughuli za nyumbani" ambapo hukabiliwa na changamoto kubwa zinazoletwa na mabadiliko hayo
Kwa kuwekeza katika elimu, miundombinu bora, na huduma za kijamii, Wanawake watalindwa na kuepushwa na Ukatili wa Kijinsia unaoweza kujitokeza, pia watajengewa uwezo wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya TabiaNchi
Soma https://jamii.app/UkatiliWanawake24
#JamiiForums #ClimateIsssues #ClimateChange #WanawakeNaTabianchi #JFWomen
Kwa kuwekeza katika elimu, miundombinu bora, na huduma za kijamii, Wanawake watalindwa na kuepushwa na Ukatili wa Kijinsia unaoweza kujitokeza, pia watajengewa uwezo wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya TabiaNchi
Soma https://jamii.app/UkatiliWanawake24
#JamiiForums #ClimateIsssues #ClimateChange #WanawakeNaTabianchi #JFWomen
Kwa mujibu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UN Environment Programme), 80% ya watu wanaokimbia Makazi yao duniani kote kutokana na mabadiliko ya TabiaNchi ni Wanawake au Wasichana ambao hukabiliwa na hatari kubwa ya Umasikini, Ukatili au mimba zisizotarajiwa katika mchakato wa kuhamia katika maeneo salama zaidi
Ripoti hiyo imeeleza Ukame mkubwa uliotokea Nchini #Kenya mwaka 2022 ni moja ya mifano mingi ambapo Wanawake waliathirika zaidi kwa utapiamlo na upungufu wa maji mwilini. Wakati huo huo, visa vya Ukeketaji, ndoa za utotoni, na ukatili wa kijinsia viliripotiwa kuongezeka
Soma https://jamii.app/EffectsOfClimateChangeOnWomen
#JamiiForums #JFWomen #WanawakeNaTabianchi #Accountability #ClimateChange #ClimateIsssues
Ripoti hiyo imeeleza Ukame mkubwa uliotokea Nchini #Kenya mwaka 2022 ni moja ya mifano mingi ambapo Wanawake waliathirika zaidi kwa utapiamlo na upungufu wa maji mwilini. Wakati huo huo, visa vya Ukeketaji, ndoa za utotoni, na ukatili wa kijinsia viliripotiwa kuongezeka
Soma https://jamii.app/EffectsOfClimateChangeOnWomen
#JamiiForums #JFWomen #WanawakeNaTabianchi #Accountability #ClimateChange #ClimateIsssues
❤1👍1
Maji yanapopungua kutokana na Ukame au Uharibifu wa Mazingira, husababisha Wanawake na Wasichana hutumia muda mwingi zaidi kwenda kuyafuata/kutafuta. Hali hii inawanyima Wasichana muda wa kuhudhuria Masomo na kufanya Kazi za Shule
Zaidi https://jamii.app/EffectsOfClimateChangeOnWomen
#JFWomen #WanawakeNaTabianchi #Accountability #ClimateChange #ClimateIsssues

Uwezeshaji na Ulinzi kwa Wanawake ni muhimu katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Kwa mfano; Katika nyakati za #Ukame, Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji, ambapo hukabiliwa na hatari za Ukatili wa Kijinsia kama Kubakwa
Soma https://jamii.app/UkatiliWanawake24
#JamiiForums #ClimateIsssues #ClimateChange #WanawakeNaTabianchi #JFWomen
Kwa mfano; Katika nyakati za #Ukame, Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji, ambapo hukabiliwa na hatari za Ukatili wa Kijinsia kama Kubakwa
Soma https://jamii.app/UkatiliWanawake24
#JamiiForums #ClimateIsssues #ClimateChange #WanawakeNaTabianchi #JFWomen
Kwa kuweka Sera zinazowalinda Wanawake na kuwapa fursa ya kushiriki kikamilifu katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazosababishwa na Mabidiliko ya Kimazingira, Jamii zinaweza kujenga ustahimilivu na maendeleo endelevu
Sera hizi zinaweza kujumuisha kuwapa Wanawake fursa za kupata #ElimuBora, #Rasilimali na nafasi ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya Uongozi, hivyo kuwawezesha kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa ufanisi zaidi
Soma https://jamii.app/SeraTabianchi
#JamiiForums #ClimateIsssues #ClimateChange #WanawakeNaTabianchi #JFWomen
Sera hizi zinaweza kujumuisha kuwapa Wanawake fursa za kupata #ElimuBora, #Rasilimali na nafasi ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya Uongozi, hivyo kuwawezesha kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa ufanisi zaidi
Soma https://jamii.app/SeraTabianchi
#JamiiForums #ClimateIsssues #ClimateChange #WanawakeNaTabianchi #JFWomen
Upandaji wa Miti si tu ni juhudi za kuhifadhi Mazingira, pia ni hatua ya kumlinda Mwanamke dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi
Wanawake, hasa wa Vijijini, wanategemea sana rasilimali kama maji, kuni, na mazao ya kilimo kwa maisha yao ya kila siku. Mabadiliko ya tabianchi yanapoathiri moja kwa moja upatikanaji wa rasilimali hizi, huongeza mzigo wa Majukumu
Kwa kupanda miti, tunarejesha uoto wa asili, kuboresha vyanzo vya maji, na kupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi, hivyo kuwasaidia Wanawake kuishi maisha bora na endelevu.

👍1