TRUMP ADAIWA KUMSHAWISHI AFISA UCHAGUZI AMTAFUTIE KURA 11,780
- Kupitia mazungumzo ya simu, alimuagiza Brad Raffensperger kutoka #Georgia amtafutie kura zitakazobadilisha matokeo
- Matokeo yataidhinishwa Jumatano na Baraza la #Congress
Soma https://jamii.app/TrumpVsRaffensperger
#USElection

MAREKANI: Wabunge wa Bunge la #Congress wamependekeza adhabu ya Kifungo cha miaka 20 jela au Faini ya Tsh. Bilioni 2.3 au vyote kwa pamoja kwa mtu atakayetumia '#VPN' kuipata Tiktok endapo huduma zake zitafungiwa
Muswada huo wa Sheria unalenga kutambua na kupunguza hatari za Usalama wa Taifa zinazohusiana na #Teknolojia iliyounganishwa na Nchi zinazopingana na Sera za Usalama wa Mtandao za #Marekani.
Soma https://jamii.app/BanTikTok
#JamiiForums #DigitalRights #Governance #SocialJustice #Accountability

👍6😱1