Leo Februari 15, 2023, Kumekuwa na taarifa za kutopatikana kwa Mtandao wa #Clubhouse Nchini. Huduma hiyo inapatikana kwa wenye #VPN (Virtual Private Network) pekee
Je, Unaipata huduma hiyo kawaida au hadi uwashe VPN?
#JFDigital #DigitalRights #FreeSpeech

👍6🤔1
MAREKANI: Wabunge wa Bunge la #Congress wamependekeza adhabu ya Kifungo cha miaka 20 jela au Faini ya Tsh. Bilioni 2.3 au vyote kwa pamoja kwa mtu atakayetumia '#VPN' kuipata Tiktok endapo huduma zake zitafungiwa
Muswada huo wa Sheria unalenga kutambua na kupunguza hatari za Usalama wa Taifa zinazohusiana na #Teknolojia iliyounganishwa na Nchi zinazopingana na Sera za Usalama wa Mtandao za #Marekani.
Soma https://jamii.app/BanTikTok
#JamiiForums #DigitalRights #Governance #SocialJustice #Accountability

👍6😱1
Muungano wa Watetezi wa Haki za Kidijitali Tanzania unaamini kuwa moja ya matokeo ya udhibiti wa #TCRA kwenye matumizi ya VPN ni ugumu wa ufikiaji wa majukwaa kama #Clubhouse, ambalo halipatikana bila VPN nchini tangu Februari 2023
VPN huwawezesha Wananchi kupata habari bila hofu ya kufungiwa au kufuatiliwa, hivyo kulinda Haki ya Kibinadamu ya kutafuta, kupokea, na kutoa habari. Aidha, #VPN zina jukumu kubwa katika kulinda Watumiaji dhidi ya vitisho vya kimtandao, ufuatiliaji
usioidhinishwa, na uvujaji wa Taarifa Binafsi
Kuwalazimisha Watu Binafsi na Kampuni nchini Tanzania kutangaza matumizi yao ya VPN na kutoa anwani zao za IP kwa Mamlaka ni kukiuka Haki ya Msingi ya Faragha. Mahitaji kama haya ya Taarifa Binafsi bila sababu za wazi na zinazokubalika ni uingiliaji wa haki ya faragha iliyoidhinishwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 16.
Taarifa zaidi soma https://jamii.app/VPNRestrictons
#JamiiForums #SayNoToCensorship #DataPrivacy #AccessToInformation #FreedomOfExpression

👍6❤1
Muungano wa Watetezi wa Haki za Kidijitali Tanzania unaiomba Serikali ya Tanzania na #TCRA kutafakari tena uamuzi wao wa kudhibiti matumizi ya #VPN na badala yake kushiriki katika majadiliano yenye tija na Asasi za Kiraia, Sekta Binafsi na Wananchi ili kushughulikia masuala hayo huku wakilinda Haki za Kidigitali
Tuko tayari kushirikiana na Wadau wote kutafuta suluhu katika masuala ya Usalama wa Kitaifa na Ulinzi wa Haki za Kidigitali. Tunaendelea kuwa na azma ya kukuza mazingira huru, wazi, na salama mtandaoni kwa Wananchi wote wa Tanzania.
Tunasimama kwa mshikamano na Wananchi wa Tanzania, na kwa ulinzi wa mtandao huru, wazi, na salama kwa wote
Taarifa zaidi soma https://jamii.app/VPNRestrictons
#JamiiForums #SayNoToCensorship #DataPrivacy #AccessToInformation #FreedomOfExpression
Tuko tayari kushirikiana na Wadau wote kutafuta suluhu katika masuala ya Usalama wa Kitaifa na Ulinzi wa Haki za Kidigitali. Tunaendelea kuwa na azma ya kukuza mazingira huru, wazi, na salama mtandaoni kwa Wananchi wote wa Tanzania.
Tunasimama kwa mshikamano na Wananchi wa Tanzania, na kwa ulinzi wa mtandao huru, wazi, na salama kwa wote
Taarifa zaidi soma https://jamii.app/VPNRestrictons
#JamiiForums #SayNoToCensorship #DataPrivacy #AccessToInformation #FreedomOfExpression
👍6⚡1🔥1
#DIGITALRIGHTS: Chama cha #ACTWazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano, kimepinga taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ya kukataza matumizi ya Mtandao Binafsi maarufu kama #VPN (Virtual Private Network) iliyotolewa Oktoba 13, 2023
Chama hicho kimesema kimeshangazwa na Kitendo cha Serikali badala ya kushughulikia malalamiko ya Wananchi kuhusu usalama na Ulinzi wa taarifa Mtandaoni yenyewe inakuja na tamko linalolenga kurudisha nyuma hatua na kurahisisha udukuzi wa taarifa.
Soma https://jamii.app/ACTZuioVPN
#HumanRights #UhuruWaKujieleza #JamiiForums #SayNoToCensorship #DataPrivacy #AccessToInformation #FreedomOfExpression

❤3👍3
#MAWASILIANO: Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba Tanzania (#JUKATA), Bob Wangwe amesema tangazo la Mamlaka ya Mawasiliano (#TCRA) kuzuia matumizi ya VPN linatafsiri Serikali bado inaendelea kubana Haki ya Wananchi kupata Habari huku akitolea mfano Uchaguzi Mkuu wa 2020 ambapo Mitandao ilizimwa na kuwanyima fursa hiyo Wananchi
Amesema matumizi ya #VPN kwenye mataifa mengine hayapigwi marufuku isipokuwa kwa nchi zenye dalili za Udikteta ndio mambo hayo hutokea kwa lengo la kuwachagulia Wananchi aina ya habari ya wanazotakiwa kupata
Ameongeza kuwa badala ya kupambana na wanaotumia VPN, Serikali ihangaike kudhibiti maudhui yasiyofaa na wanaoyazalisha kwasababu wanafahamika pamoja na mitandao yao na sio kuingilia faragha za Wananchi
Soma https://jamii.app/VPNTZA
#JamiiForums #Governance #DigitalRights #AccessToInformation #AccessNow #SayNoToCensorship #FreeVPN

👍10
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#MAWASILIANO: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema suala la usajili wa #VPN linafanyika ili kuwatambua Watumiaji wa Intaneti pamoja na kuzuia uhalifu Mtandaoni kwasababu Serikali haiwezi kuacha kila mtu aingie kiholela na kufanya anachokitaka
Amesema kuna ongezeko la zaidi ya 50% la Wananchi wanaotumia Intaneti na kama kuna mtu ana mawazo ya ovyo atatamani kufanya majaribio yake huko ndio Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake
Ameongeza "Tutaendelea kupafanya Mtandaoni kuwa sehemu salama kwasababu maisha ya sasa yanategemea Mtandao, usipofanya Mtandao kuwa salama unafanya Nchi kutokuwa salama na msimamo wetu ni kwamba njia yoyote ya mawasiliano itumike ikiwa salama."
Soma https://jamii.app/NapeVPN
#JamiiForums #DigitalRights #Governance #DataPrivacy #DataProtection #SocialJustice

👍2❤1👎1
Harold Sungusia (Rais TLS): Dola zote Duniani zinaongozwa na kuhodhi taarifa na kuhodhi matumizi ya nguvu. Unapoanza kuhoji vitu hivi ndipo unaingia kwenye misuguano na dola.
Kwa sasa kutokana na maendeleo ya #Teknolojia, dola nyingi zinapoteza 'monopoly' hii ya taarifa ndio maana zinazidi kutunga #Sheria za kubana 'information flow' yaani upashanaji wa taarifa na utafutaji wa taarifa, mfano ni kukataza matumizi ya #VPN
#JamiiForums #WikiYaAZAKI2023 #CSOWeek2023 #DigitalRights #AccessToInformation #Governance

❤2👍1
KENYA: Shirika la Ufuatiliaji Hali ya Upatikanaji wa Mtandao la #NetBlocks limethibitisha kuwepo kwa usumbufu mkubwa wa uunganishwaji wa Intaneti Nchini humo, ikiwa ni siku moja baada ya Mamlaka kudai hakutakuwa na kuzimwa kwa Mtandao licha ya Maandamano yanayoendelea kushika kasi
Watumiaji mbalimbali wa Mitandao ya Kijamii hasa wa X (zamani Twitter) wameandika kuwa wanalazimika kutumia #VPN ili kuendelea kutumia Intaneti
NetBlocks imeeleza changamoto hiyo ya Mtandao inayoendelea inadaiwa pia kuathiri Nchi Jirani zikiwemo #Uganda na #Burundi, hali hiyo inadaiwa inaweza kupunguza utangazaji wa matukio ya maandamano yanayoendelea
Soma https://jamii.app/KEInternet
#SocialJustice #Governance #CivilRights #FreedomOfExpression #FreeSpeech #JamiiForums #DigitalRights

👍5