Mshiriki wa Stories Of Change Mwaka 2023 alisema kutokana na wimbi la matukio ya Watu kutapeliwa na taarifa zao binafsi kutumika kuwadhalilisha na Taasisi/Vikundi vya kukopesha, ni muhimu Serikali kutoa elimu kwa Wananchi namna ya kujiepusha.
Kusoma andiko lote https://jamii.app/KukopeshaPesa
#JamiiForums #DigitalSafety #TaarifaZakoNiZako #DataPrivacy

CHINA: Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) limebaini uwepo wa takribani kamera 180 za siri ndani ya vyumba vya hoteli mbalimbali ambazo hutumika kurekodi wageni bila wao kufahamu na kisha kuuza video hizo kupitia mtandao wa Telegram.
Mdau, una tabia ya kukagua chumba cha hoteli au gesti unayofikia kabla ya kupumzika?
Zaidi: https://jamii.app/KameraZaSiri
#JamiiForums #DigitalSafety #TaarifaZakoNiZako #DataPrivacy
Mdau, una tabia ya kukagua chumba cha hoteli au gesti unayofikia kabla ya kupumzika?
Zaidi: https://jamii.app/KameraZaSiri
#JamiiForums #DigitalSafety #TaarifaZakoNiZako #DataPrivacy
β€1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA), Kadaya Baluhye amewataka waathirika wa unyanyasaji mitandaoni, ikiwemo uvujaji wa picha za utupu, kutoa taarifa Jeshi la Polisi ili waweze kupata msaada unaostahili bila kuona aibu. Amesema hayo Februari 10, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni kwenye Ukumbi wa Auditorium, Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM).
Zaidi https://jamii.app/ZikivujaTaarifu
#JamiiForums #DigitalSafety #TaarifaZakoNiZako #DataPrivacy
Zaidi https://jamii.app/ZikivujaTaarifu
#JamiiForums #DigitalSafety #TaarifaZakoNiZako #DataPrivacy
Mdau unashauri nini kifanyike katika kudhibiti na kukomesha matumizi ya nyaraka zenye Taarifa Binafsi za Watu kutumika katika karatasi za kifungashio?
Mjadala zaidi tembelea JamiiForums.com
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako

Vipi Mdau! Umewahi kukumbana na changamoto ya taarifa zako binafsi za kiutumishi/kikazi kusambazwa kwa Taasisi za Mikopo bila ridhaa yako?
Kama ndiyo, ulichukua hatua gani?
Zaidi tembelea https://jamii.app/TaarifaBinafsiWatumishi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
Nawe pia unaweza kuwasilisha KERO yako kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.comππ

Mdau anashauri kuwa Wafanyabiashara wanapaswa kutambua kuwa Faragha ya Mteja ni haki yake, hivyo kuchapisha kwenye Mitandao ya Kijamii taarifa za mizigo ya wateja huku taarifa zao binafsi zikiwa wazi ni uvunjifu wa faragha.
Mdau, umewahi kupata changamoto ya taarifa zako binafsi kuchapishwa kwenye Mtandao wa Kijamii baada ya kuagiza bidhaa kwa mfanyabiashara?
Soma https://jamii.app/WafanyabiasharaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mdau, umewahi kupata changamoto ya taarifa zako binafsi kuchapishwa kwenye Mtandao wa Kijamii baada ya kuagiza bidhaa kwa mfanyabiashara?
Soma https://jamii.app/WafanyabiasharaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
β€1
Ni sababu gani hasa inakufanya ugawe password zako?π€
Zaidi soma https://jamii.app/UsigawePassword
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
Zaidi soma https://jamii.app/UsigawePassword
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
β€2
Mdau huwa una tabia ya kukagua kama eneno ulilopo lina kamera za siri?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KugunduaKameraZaSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mjadala zaidi https://jamii.app/KugunduaKameraZaSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Kama wewe ni mzee wa Outing, viwanja, Airbnb, au Lodge, hili darasa linakuhusu.
Mtag mshikaji wako mwingine achukue madini.
Kuchangia mjadala huu https://jamii.app/MafichoKameraSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mtag mshikaji wako mwingine achukue madini.
Kuchangia mjadala huu https://jamii.app/MafichoKameraSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Je, unakubaliana na mtazamo wake?π
Meya wa Cameroon amezua mjadala kwa kusema Wanaume wanapaswa kuweka 'Password' kwenye simu zao kwa sababu wao wanalinda ndoa, huku Wanawake wakiambiwa kuacha simu zao wazi kwakuwa hawatakiwi kuficha chochote, akiwauliza "Mnaficha nini?"
Tembelea JamiiForums.com kushiriki mijadala mbalimabali.
#JamiiForums #DataPrivacy #TaarifaZakoNiZako

π2
Taarifa zako binafsi zikiangukia mikono isiyo salama zinaweza kutumika vibaya. Hakikisha unaziteketeza kwa usalama.
Mdau huwa unatekeza vipi taarifa zako binafsi ambazo huzitumii tena?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KuteketezaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mdau huwa unatekeza vipi taarifa zako binafsi ambazo huzitumii tena?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KuteketezaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
β€1
Mdau ndani ya JamiiForum.com amehoji kuhusu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudaiwa kusambaza taarifa za Wakopaji kwa taasisi za kukopesha akidai ni Sheria ipi inawaruhusu kutoa taarifa za mteja bila ridhaa yake.
Zaidi https://jamii.app/MikopoTaarifa
#JamiiForums #DataProtection #DataPrivacy #TaarifaZakoNiZako

Mdau wa JamiiForums.com amedai anakerwa na tabia ya kutumiwa Ujumbe Mfupi wa Maandishi (SMS) mara kwa mara kutoka kwenye Kampuni ya Mikopo ambayo hajawahi kuwasiliana nayo kabla, ikitaka kununua mkopo wake anaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (#HESLB).
Zaidi tembelea https://jamii.app/SmsMkopoHeslb
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #DataPrivacy DigitalWorld
Zaidi tembelea https://jamii.app/SmsMkopoHeslb
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #DataPrivacy DigitalWorld
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Spika wa Bunge, Zungu amesema ofisi ya Katibu ina uwezo wa Kumfuatilia kila mbunge alipo kwa kutumia Signal za simu zao popote wanapokuwa hata kama wakiwa Wamezima simu zao. Ameyasema hayo Bungeni Juni 4, 2026.
Nini maoni yako Mdau?
Fuatilia zaidi mjadala na kushiriki kupitia https://jamii.app/UtoroBungeni
#JamiiForums #Accountability #DataPrivacy

Je, ushawahi kukutana na stika ya sura yako kwenye βmagrupuβ ya WhatsApp? Ulifanyaje? π
Zaidi https://jamii.app/StikaUlinziTaarifa
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DigitalWorld

MAREKANI: Katika kesi iliyofunguliwa na kampuni ya mawakili ya Clarkson kwa niaba ya wateja wake, kampuni ya Meta inadaiwa kufanya udanganyifu katika matangazo ya miwani yake ya AI.
Meta inalaumiwa kwa udanganyifu kuwa miwani hiyo βimeundwa kulinda faragha,β huku ikificha ukweli kwamba kuna Binadamu (Wakandarasi) walioajiriwa ambao watakuwa wanatazama matukio hayo ya faragha ya watumiaji huku pia kipengele walichoahidiwa cha kuficha sura za watu (face anonymization) hakifanyi kazi kabisa kama walivyotangaza.
Soma https://jamii.app/MetaGlassesNoPrivacy
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection
Meta inalaumiwa kwa udanganyifu kuwa miwani hiyo βimeundwa kulinda faragha,β huku ikificha ukweli kwamba kuna Binadamu (Wakandarasi) walioajiriwa ambao watakuwa wanatazama matukio hayo ya faragha ya watumiaji huku pia kipengele walichoahidiwa cha kuficha sura za watu (face anonymization) hakifanyi kazi kabisa kama walivyotangaza.
Soma https://jamii.app/MetaGlassesNoPrivacy
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, amesema hayo Juni 29, 2026, katika mahojiano na Shirika la Utangazaji TBC.
Nini maoni yako Mdau?
Fuatilia zaidi, shirikiππ½ https://jamii.app/KatambiNida
#JamiiForums #Utawala #DataPrivacy

Walichoposti Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (#BRELA) ndani ya Jukwaa la JamiiForums.com, Julai 8, 2026.
Zaidi https://jamii.app/BrelaAkiliUnde
#JamiiForums #AkiliUnde #DigitalWorld #JFDigitali #DataPrivacy

Lilishawahi kukukuta hili Mdau? Unadhani hao "Matapeli" wanapata wapi taarifa na nini kifanyike kuwadhibiti?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MatapeliMtandao
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #DigitalRights #DataPrivacy

Mdau, imewahi kukutokea taarifa zako binafsi kusambaa bila ridhaa yako? Ulichukua hatua gani?
Zaidi https://jamii.app/MatapeliSalioSimu
#JamiiForums #DigitalWorld #JFDigital #DataPrivacy