Tume ya Kulinda Taarifa Binafsi (#PDPC), Agosti 19, 2025 iliamuru Cecilia Maliganya kumlipa Nyangoma Mwesingwa fidia ya Tsh. Milioni 20 na faini ya Tsh. Milioni 5 kwa Tume baada ya kuchapisha na kutumia kibiashara picha ya Mtoto mchanga kwenye ukurasa wake wa Instagram bila ridhaa ya Wazazi.
Tume imeeleza kitendo cha Mshtakiwa kilionesha matumizi mabaya ya picha hiyo kwa lengo la kukuza biashara yake, kuongeza wafuasi na kuongeza ushirikiano wa watumiaji kwenye Mtandao wa Kijamii.
Kufuatia malalamiko Na. PDPC/CMP/002/2025, Tume pia ilimtaka Mshtakiwa afute picha zote za Mtoto kutoka Instagram na majukwaa mengine ya Mitandao ndani ya siku 14.
PDPC imesisitiza matumizi ya Taarifa Binafsi za Watoto bila ridhaa ni ukiukwaji wa Sheria ya PDPA ya 2022 na uamuzi huo unatoa fundisho juu ya wajibu wa Kisheria Mtandaoni.
Zaidi soma https://jamii.app/FainiCecilia
#JamiiForums #JamiiAfrica #DataProtection #DataPrivacy #UlinziWaTaarifaBinafsi #UlinziWaFaragha #DigitalRights #TaarifaZakoMaishaYako

❤1
Mdau ndani ya JamiiForums.com ameanzisha mjadala kuhusu Ulinzi wa Taarifa Binafsi akidai kuwa Taarifa Binafsi ni mali ya mhusika (mmliki wa taarifa). Haitakiwi kutolewa na Mtu mwingine, kwani mhusika ndiye anayefahamu taarifa zake kwa usahihi, isipokuwa pale inapobidi kisheria au kwa ridhaa yake.
Ameongeza kuwa ni jukumu la kila mkusanyaji au mchakataji wa Taarifa Binafsi kuomba ridhaa ya mmiliki kabla ya kuzikusanya au kuzichakata.
Je, unakubaliana na Mdau huyu?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MisingiUkusanyajiTaarifaBinafsi
#JamiiForums #JamiiAfrica #DataPrivacy #DataProtection

Mdau huwa unachukua hatua gani unapopeleka simu yako kwa fundi kwa ajili ya matengenezo?
Mjadala zaidi https://jamii.app/HatariYaFundiSimu
#JamiiAfrica #JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #JFDigitali #DigitalSafety

Mdau, huwa unapekua simu ya mpenzi wako? Kwanini?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KushikaSimuMwenza
#JamiiForums #DataProtection #DataPrivacy #JFMdau2026

Mdau, umewahi kukuta CV yako au ya mtu wako wa karibu imesambazwa bila ridhaa? Kama ndiyo, Ulichukua hatua gani?
https://jamii.app/TaarifaWasifu
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako

❤2
Mdau ni mara ngapi umewahi kukutana na vifungashio vyenye taarifa binafsi za watu?
Zaidi https://jamii.app/LossReport
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako

Vipi Mdau, je, picha au video yako imewahi kuonekana kwenye akaunti ya mtandao wa kijamii ya mtu binafsi au mshereheshaji bila ridhaa yako? Kama ndiyo, ulichukua hatua gani?
Soma zaidi https://jamii.app/PichaVideoKlabu
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
Soma zaidi https://jamii.app/PichaVideoKlabu
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
Mdau unashauri nini kifanyike katika kudhibiti na kukomesha matumizi ya nyaraka zenye Taarifa Binafsi za Watu kutumika katika karatasi za kifungashio?
Mjadala zaidi tembelea JamiiForums.com
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mjadala zaidi tembelea JamiiForums.com
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Vipi Mdau! Umewahi kukumbana na changamoto ya taarifa zako binafsi za kiutumishi/kikazi kusambazwa kwa Taasisi za Mikopo bila ridhaa yako?
Kama ndiyo, ulichukua hatua gani?
Zaidi tembelea https://jamii.app/TaarifaBinafsiWatumishi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
Nawe pia unaweza kuwasilisha KERO yako kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com📌📌

Mdau anashauri kuwa Wafanyabiashara wanapaswa kutambua kuwa Faragha ya Mteja ni haki yake, hivyo kuchapisha kwenye Mitandao ya Kijamii taarifa za mizigo ya wateja huku taarifa zao binafsi zikiwa wazi ni uvunjifu wa faragha.
Mdau, umewahi kupata changamoto ya taarifa zako binafsi kuchapishwa kwenye Mtandao wa Kijamii baada ya kuagiza bidhaa kwa mfanyabiashara?
Soma https://jamii.app/WafanyabiasharaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mdau, umewahi kupata changamoto ya taarifa zako binafsi kuchapishwa kwenye Mtandao wa Kijamii baada ya kuagiza bidhaa kwa mfanyabiashara?
Soma https://jamii.app/WafanyabiasharaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
❤1
Ni sababu gani hasa inakufanya ugawe password zako?🤔
Zaidi soma https://jamii.app/UsigawePassword
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
Zaidi soma https://jamii.app/UsigawePassword
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako
❤2
Mdau huwa una tabia ya kukagua kama eneno ulilopo lina kamera za siri?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KugunduaKameraZaSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mjadala zaidi https://jamii.app/KugunduaKameraZaSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Kama wewe ni mzee wa Outing, viwanja, Airbnb, au Lodge, hili darasa linakuhusu.
Mtag mshikaji wako mwingine achukue madini.
Kuchangia mjadala huu https://jamii.app/MafichoKameraSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mtag mshikaji wako mwingine achukue madini.
Kuchangia mjadala huu https://jamii.app/MafichoKameraSiri
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kama mkazi wa Masaki ametoa wito kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kufuatilia zoezi la ukusanyaji wa taarifa binafsi unaoendelea eneo hilo bila ya kujua usalama wa taarifa hizo zinazokusanywa.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/UkusanyajiTaarifaMasakiMashaka
#JamiiForums #DataProtection #TaarifaZakoNiZako

Taarifa zako binafsi zikiangukia mikono isiyo salama zinaweza kutumika vibaya. Hakikisha unaziteketeza kwa usalama.
Mdau huwa unatekeza vipi taarifa zako binafsi ambazo huzitumii tena?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KuteketezaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
Mdau huwa unatekeza vipi taarifa zako binafsi ambazo huzitumii tena?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KuteketezaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoNiZako
❤1
Mdau ndani ya JamiiForum.com amehoji kuhusu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudaiwa kusambaza taarifa za Wakopaji kwa taasisi za kukopesha akidai ni Sheria ipi inawaruhusu kutoa taarifa za mteja bila ridhaa yake.
Zaidi https://jamii.app/MikopoTaarifa
#JamiiForums #DataProtection #DataPrivacy #TaarifaZakoNiZako

MAREKANI: META imesema itakata rufaa dhidi ya uamuzi huo uliotolewa Machi 24, 2026, ikisisitiza kuwa imewekeza kwa kiasi kikubwa katika kuboresha usalama wa watumiaji, hasa vijana.
Soma https://jamii.app/METAChildrenAbuse
#JamiiForums #DataProtection #DigitalRights #SocialJustice

Taarifa hizo ziliondolewa kwenye Mtandao wa Alibaba kufuatia ushirikiano kati ya Serikali ya Uingereza, China na mtandao huo.
Aidha, Waziri wa Teknolojia wa Uingereza, Ian Murray ameeleza kuwa hakuna Mtu yeyote aliyefanikiwa kununua taarifa hizo kabla hazijaondolewa Mtandaoni.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/DataAfyaKuuzwaMtandaoni
#JamiiForums #DataProtection #TaarifaZaNiZako #DigitalRights

Je, ushawahi kukutana na stika ya sura yako kwenye ‘magrupu’ ya WhatsApp? Ulifanyaje? 👇
Zaidi https://jamii.app/StikaUlinziTaarifa
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DigitalWorld

MAREKANI: Katika kesi iliyofunguliwa na kampuni ya mawakili ya Clarkson kwa niaba ya wateja wake, kampuni ya Meta inadaiwa kufanya udanganyifu katika matangazo ya miwani yake ya AI.
Meta inalaumiwa kwa udanganyifu kuwa miwani hiyo “imeundwa kulinda faragha,” huku ikificha ukweli kwamba kuna Binadamu (Wakandarasi) walioajiriwa ambao watakuwa wanatazama matukio hayo ya faragha ya watumiaji huku pia kipengele walichoahidiwa cha kuficha sura za watu (face anonymization) hakifanyi kazi kabisa kama walivyotangaza.
Soma https://jamii.app/MetaGlassesNoPrivacy
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection