Mdau vipi hii ikija Tanzania, unadhani itarahisisha huduma za Kipolisi na kupunguza mzunguko?
Mjadala zaidi https://jamii.app/VituoDigitaliPolisi
#JamiiForums #Teknolojia #DigitalWorld
Mjadala zaidi https://jamii.app/VituoDigitaliPolisi
#JamiiForums #Teknolojia #DigitalWorld
Baada ya baadhi ya Wadau wa JamiiForums.com kulalamika kutojua hatua ya maombi ya Vitambulisho walivyoomba kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (#NIDA), hivyo kulazimika kwenda vituoni mara kwa mara, Mamlaka hiyo imesema imeona maoni na malalamiko hayo na kueleza Wananchi wanaweza kujua hali ya Vitambulisho vyao kwa njia ya Mtandao.
Zaidi https://jamii.app/NIDAKitambulishoMtandaoni
#JamiiForums #Uwajibikaji #DigitalWorld #ServiceDelivery
Zaidi https://jamii.app/NIDAKitambulishoMtandaoni
#JamiiForums #Uwajibikaji #DigitalWorld #ServiceDelivery
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda ameyasema hayo leo Machi 24, 2026 akiwa kwenye Kongamano la 5 la Idhaa ya Kiswahili Duniani.
Zaidi tembelea https://jamii.app/ContentKiswahili
#JamiiForums #Governance #DigitalWorld
Zaidi tembelea https://jamii.app/ContentKiswahili
#JamiiForums #Governance #DigitalWorld
❤2
Mdau umewahi kupata kadhia gani iliyosababishwa na Muamala kukwama kutokana na tatizo la Mtandao wa Kampuni ya simu?
Zaidi soma https://jamii.app/MuamalaKukwama
#JamiiForums #DigitalWorld #JFMdau2026 #JFHuduma #JFDigitali
Zaidi soma https://jamii.app/MuamalaKukwama
#JamiiForums #DigitalWorld #JFMdau2026 #JFHuduma #JFDigitali
Kando na Ghana, nchi nyingine ambazo zinatumia Vitambulisho vya Taifa kufanya miamala na kutoa hela kwenye ATM ni pamoja na Estonia, Malaysia, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Zaidi tembelea https://jamii.app/KitambulishoGhana
#JamiiForums #JFDigital #Utawala #DigitalWorld
Zaidi tembelea https://jamii.app/KitambulishoGhana
#JamiiForums #JFDigital #Utawala #DigitalWorld
MANYARA: Mdau wa JamiiForums.com anadai Kijiji cha Olchoronyori kimesahaulika, kina changamoto nyingi zikiwemo za kukosa miundombinu ya mawasiliano ya Kidigitali.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MitandaoOlchoronyori
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #DigitalWorld #CivilRights
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MitandaoOlchoronyori
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #DigitalWorld #CivilRights
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kufuatilia mifumo ya vitengo vya Huduma kwa Wateja za Kampuni za Mawasiliano akidai baadhi hazina chaguo la kuzungumza na mhudumu, pia mteja kusubirishwa kwa muda mrefu.
Mdau, umewahi kupitia changamoto hii kupitia kampuni yako ya simu unayoitumia?
Zaidi https://jamii.app/CallCentre
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #HakiZaKidijitali #DigitalWorld
Mdau, umewahi kupitia changamoto hii kupitia kampuni yako ya simu unayoitumia?
Zaidi https://jamii.app/CallCentre
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #HakiZaKidijitali #DigitalWorld
Utafiti wa Cloudwards wa Mwaka 2026 unaeleza kwamba athari za kuvunja Sheria za Serikali kuhusu udhibiti wa maudhui hutofautiana kulingana na nchi, unajumuisha faini, au kukamatwa na kufungwa jela hasa katika maeneo yenye vizuizi vikali.
Aidha, Aprili 10, 2026, Rais Samia akiwa katika katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 pamoja na uunganishaji wa Mkongo wa Mawasiliano katika wilaya 85 alisema kuwa Mawasiliano sio huduma ya Anasa bali ni Uti wa Mgongo wa Uchumi wa Kisasa
Una maoni gani? Bofya hapa kushiriki https://jamii.app/TanzaniaUhuruMtandao
#JamiiForums #HakiZaKidijitali #DigitalWorld

Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Mamlaka zinazosimamia mfumo wa Ajira Portal kurekebisha vigezo katika maombi ya ajira kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili kuwawezesha Watu wengi zaidi kupata fursa ya kufikisha maombi yao ya kazi.
Zaidi https://jamii.app/TAKUKURUAjira
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #DigitalWorld
Zaidi https://jamii.app/TAKUKURUAjira
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #DigitalWorld
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 30, 2026, ameishauri Serikali kupitia Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuwasaidia Wananchi akieleza kuwa wana manung'uniko kuhusu gharama za 'bando' za simu.
Kauli hiyo imeungwa mkono na Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ambaye ameeleza kuwa Nchi nyingi bando likibaki linapelekwa kifurushi kipya, hivyo amesisitiza bando lihamishiwe kifurushi kipya, lisikatwe.
Zaidi https://jamii.app/BandoKukatwa
#JamiiForums #DigitalWorld #DigitalRights #JFHuduma #JFTechnology

Je, Mdau ana hoja ya msingi?🤔
Shiriki mjadala https://jamii.app/UraibuNaSimu
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
Shiriki mjadala https://jamii.app/UraibuNaSimu
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
❤1
Umewahi kukutana na hali kama hii?
Je, kuna haja ya kubadilisha vitasa unapohamia sehemu mpya?🤔
Shiriki mjadala https://jamii.app/MpangajiNaFunguo
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
Je, kuna haja ya kubadilisha vitasa unapohamia sehemu mpya?🤔
Shiriki mjadala https://jamii.app/MpangajiNaFunguo
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
❤1😁1
Je, ushawahi kukutana na stika ya sura yako kwenye ‘magrupu’ ya WhatsApp? Ulifanyaje? 👇
Zaidi https://jamii.app/StikaUlinziTaarifa
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DigitalWorld
Zaidi https://jamii.app/StikaUlinziTaarifa
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DigitalWorld
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 na kutoa maelekezo kuwa Maafisa Rasilimali Watu wanaoonyesha uzembe wachukuliwe hatua.
Ikumbukwe, mara kadhaa Wadau wa JamiiForums.com waliojitambulisha kuwa Watumishi wa Umma wamedai Mfumo wa Utendaji Kazi wa Watumishi (PEPMIS) na Mfumo wa Employee Self Service (ESS) umekuwa changamoto kwao, Viongozi wao hawautumii kupitisha nyaraka au michakato yao ya kiofisi ikiwemo uhamisho na kupandishwa madaraja.
Zaidi https://jamii.app/MatumiziYaMfumo
#JamiiForums #Uwajibikaji #DigitalWorld #UtawalaBora

DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anaandika, “Hivi kweli kwa Dunia ya sasa, inamaana Serikali na Muhimbili wenyewe hawakujua kuwa kuna kitu kama hiki kinaweza kutokea? Watu wakose dawa sababu tu ya mfumo? Kwa nini wasiweke utaratibu wa ‘cash’ hata kama ni kwa dharura?”
Mdau, umekutana na changamoto kama hii ulipoenda kupata huduma?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MuhimbiliNamba
#JamiiForums #JFHuduma #JFMdau2026 #Uwajibikaji #DigitalWorld
Mdau, umekutana na changamoto kama hii ulipoenda kupata huduma?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MuhimbiliNamba
#JamiiForums #JFHuduma #JFMdau2026 #Uwajibikaji #DigitalWorld
Walichoposti Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (#BRELA) ndani ya Jukwaa la JamiiForums.com, Julai 8, 2026.
Zaidi https://jamii.app/BrelaAkiliUnde
#JamiiForums #AkiliUnde #DigitalWorld #JFDigitali #DataPrivacy
Zaidi https://jamii.app/BrelaAkiliUnde
#JamiiForums #AkiliUnde #DigitalWorld #JFDigitali #DataPrivacy
Hizi ni baadhi ya mbinu unazoweza kutumia kubaini maudhui yaliyotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde ili kuepukana na Upotoshaji.
Mdau, mbinu gani nyingine huwa unatumia kuhakikisha kama picha ni halisi au lah?
Shiriki mjadala https://jamii.app/MuseveniAlliens
#JamiiForums #JamiiCheck #JamiiYenyeUelewa #DigitalWorld
Mdau, mbinu gani nyingine huwa unatumia kuhakikisha kama picha ni halisi au lah?
Shiriki mjadala https://jamii.app/MuseveniAlliens
#JamiiForums #JamiiCheck #JamiiYenyeUelewa #DigitalWorld
Kagua kama utafiti umepitia mapitio ya wataalamu, chunguza migongano ya maslahi, na hakikisha hitimisho linaungwa mkono na tafiti huru na makubaliano ya wataalamu.
https://jamii.app/ThibitishaTafiti
#JamiiForums #JamiiCheck #JamiiYenyeUelewa #DigitalWorld
https://jamii.app/ThibitishaTafiti
#JamiiForums #JamiiCheck #JamiiYenyeUelewa #DigitalWorld
Utapeli wa Mtandaoni unaendelea kuumiza Watu wengi kila siku, Mdau unadhani ni hatua zipi zichukuliwe ili kukomesha vitendo hivyo vya kitapeli?
Shiriki mjadala https://jamii.app/UdhibitiUtapeli
#JamiiForums #UtapeliMtandaoni #DigitalWorld #DigitalRights
Shiriki mjadala https://jamii.app/UdhibitiUtapeli
#JamiiForums #UtapeliMtandaoni #DigitalWorld #DigitalRights
Mdau, imewahi kukutokea taarifa zako binafsi kusambaa bila ridhaa yako? Ulichukua hatua gani?
Zaidi https://jamii.app/MatapeliSalioSimu
#JamiiForums #DigitalWorld #JFDigital #DataPrivacy
Zaidi https://jamii.app/MatapeliSalioSimu
#JamiiForums #DigitalWorld #JFDigital #DataPrivacy
❤2