WHATSAPP YAPIGWA FAINI KWA KUKIUKA SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
Tume ya Kulinda Data ya #Ireland (DPC) imeitoza #WhatsApp faini ya Tsh. Bilioni 13.9 kwa Kukiuka Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake
#DPC ambayo ni Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa #UmojawaUlaya (EU), imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi Inavyozilinda na Kuzitumia #TaarifaBinafsi za Wateja
Soma https://jamii.app/WhatsAppSlap
#DataProtection #DataPrivacy #JFDigital #DigitalRights

π5π1
MAREKANI: Kampuni ya #DELL itapunguza Wafanyakazi 6,650 (5%) baada ya mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% Mwaka hadi Mwaka
> Mwaka 2022, Dell iliripoti kushuka kwa Soko la nje kwa 37%, Lenovo 28%, HP 29% na Apple 2%
Soma https://jamii.app/DellSlashing
#JFDigital #EconomyCrisis

π12
RIPOTI: Utafiti wa Taasisi ya #OxfordInsights umeonesha Tanzania ina 32.50% ya Utayari wa Kutumia Teknolojia ya #AkiliBandia (AI)
> Iko nafasi ya 125 Duniani na 14 kwa Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara
Soma https://jamii.app/AIReadness
#JFGovernance #JFDigital #DigitalRights

π1
Redio ya kwanza inayotumia Mfumo wa Mawimbi ilianza kurusha Matangazo Mwaka 1895 baada ya Mvumbuzi #GuglielmoMarconi kutoka Italia kufanikisha zoezi la Redio hiyo kusikika katika eneo la Kilomita 3.2 bila kuunganishwa na Waya
Kwa mujibu wa #UNESCO, hadi kufikia Mwaka 2021 kulikuwa na Vituo vya Redio zaidi ya 45,000 vinavyosikilizwa na zaidi ya Watu Bilioni 5. Redio inatajwa kuwa njia ya kwanza ya Mawasiliano Barani Afrika ikiziacha mbali #Televisheni na #Magazeti.
Kati ya Redio, Televisheni, Magazeti na Mitandao ya Kijamii, wapi unapata taarifa kwa urahisi?
-
#JamiiForums #JFMaarifa #WorldRadioDay #WRD2023 #JFDigital

π3
Leo Februari 15, 2023, Kumekuwa na taarifa za kutopatikana kwa Mtandao wa #Clubhouse Nchini. Huduma hiyo inapatikana kwa wenye #VPN (Virtual Private Network) pekee
Je, Unaipata huduma hiyo kawaida au hadi uwashe VPN?
#JFDigital #DigitalRights #FreeSpeech

π6π€1
Ili kutoharibu Uwezo wa Macho Kuona, inashauriwa kuzingatia Ukubwa wa Runinga yako na Umbali ilipowekwa. Hakikisha unatazama kwa kuzingatia vipimo sahihi ili kulinda Afya ya Macho.
Vipi Mdau, Ukubwa wa TV yako unalingana na umbali ilipowekwa?
#JamiiForums #JFDigital #JFMaarifa

π10β€3
#DIGITALI: Mara nyingi tunanunua bidhaa mitandaoni na mara nyingine kwa kuagiza kutoka nje ya nchi ambapo kuna wakati baadhi ya Wanunuzi hukutana na utapeli
Ununuzi mtandaoni unaweza kuwa si salama kama hautakuwa makini kwasababu unaweza kutapeliwa au kuletewa bidhaa ambayo hukuagiza
Je, umewahi kukutana na jambo gani la kitapeli wakati wa ununuzi mtandaoni na hatua gani unachukua kuepuka kutapeliwa?
Soma zaidi https://jamii.app/UnunuziSalama
#Jamiiforums #DigitalSecurity #DigitalSafety #JFDigital

π2
Mdau anadai Wanachama wa mchezo wa LBL (Leo Beneath London) ambao Serikali imeupiga marufuku, wanaelekeza kuwa ili kukomboa fedha zao zilizopo ndani ya mfumo wanatakiwa kulipa nusu ya fedha ambazo alilipia wakati anajiunga, mfano ngazi ya P3 waliolipia Tsh. 540,000 wanaelekezwa kulipa Tsh. 270,000, akieleza kuna wanaofanya hivyo na fedha hazirudi
Ameshauri, pamoja na Serikali kuwadhibiti waratibu wa LBL, Watu waache kutuma hela hizo ili kukomboa kile walichopoteza, badala yake wasubiri maelekezo ya Serikali na kwa waliopata hasara kubwa watafute njia sahihi vinginevyo watazidi kupoteza hela
Soma https://jamii.app/LBLAgain
#JFDigital #DigitalWorld #JamiiForums

CHINA: Uongozi wa Mji wa Beijing umetoa maelezo kuwa Shule zote za Jiji hilo zinatakiwa kutoa angalau Saa Nane ndani ya Mwaka wa Masomo kwa Wanafunzi kufundishwa kuhusu Akili Mnemba (AI)
Wanafunzi wanatakiwa kufundishwa AI katika somo linalojitegemea au linaweza kuingia katika masomo yaliyopo ya Sayansi na Teknolojia ya Habari
Wanafunzi wenye umri wa Miaka 6 hadi 12 watatakiwa kupata elimu hiyo kisha itaendelea hadi kwa Ngazi za Juu huku kila ngazi ikiwa na levo yake ya kujifunza #AI
Soma https://jamii.app/AIInChina
#JamiiForums #JFDigital #Technology #DigitalWorld

DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa baadhi ya akaunti zao rasmi za Mitandao ya Kijamii zimedukuliwa
Taarifa imeeleza βTunaarifu kuwa akaunti zetu za X (zamani Twitter) - ChademaTZ na YouTube - Chadema Media zimeingiliwa na Wadukuzi, taarifa rasmi za CHADEMA zinapatikana kupitia akaunti ya muda ya X: @ChademaTZ2β
Imeongeza βTunaendelea kuchukua hatua za kiusalama na Kisheria kurejesha udhibiti, kwa sasa, tunaomba wafuasi wawe makini na kupuuza taarifa zinazochapishwa kwenye akaunti zilizodukuliwa hadi tutakapotoa taarifa rasmi ya kurejesha udhibiti.β
Soma https://jamii.app/CHADEMAKudukuliwa
#JamiiForums #Accountability #JFDigital #Kuelekea2025

Ndani ya Dunia ya sasa ya #Kidigitali, Simu Janja zimekuwa nyenzo muhimu katika Maisha ya kila siku, iwe kazini, nyumbani, kibiashara na Kijamii. Uwepo wa programu (#Applications) mbalimbali umesaidia katika kurahisisha shughuli mbalimbali kwa ufanisi zaidi.
Ukiwa ni Mdau wa #Teknolojia, ni programu gani unazozitumia ambazo ungeshauri wengine pia kuwa nazo? Kwa sababu gani?
Soma zaidi https://jamii.app/ProgramuSimu
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFTechnology #JFDigital #DigitalRights #DigitalWorld

Mdau wa JamiiForums.com anasema kawaida huwa anabadilisha simu baada ya Miaka miwili hadi Mitatu, Je, wewe unabadilisha baada ya muda gani na unazingatia nini zaidi?
Zaidi tembelea https://jamii.app/SimuMuda
#JamiiForums #JFTechnology #JFDigital

Kenya imeingia kwenye orodha ya mataifa ya Afrika yanayonufaika na programu ya TikTok for Business, baada ya Watengeneza wa Maudhui nchini humo kulipwa zaidi ya Tsh. Milioni 900 ndani ya Mwaka mmoja.
Zaidi https://jamii.app/KenyaMalipo
#JamiiForums #Digitali #Uchumi #JFDigital #DigitalWorld

β€1
Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kushughulikia mfumo mpya wa ulipaji kodi (Tax Payers Portal) akidai una changamoto ya Kimtandao na unasababisha usumbufu mwingi na hasara kwa baadhi ya Watumiaji.
Zaidi https://jamii.app/MfumoTRA
#JamiiForums #JFDigital #JFHuduma #Accountabiliy #JFMdau2026

Kando na Ghana, nchi nyingine ambazo zinatumia Vitambulisho vya Taifa kufanya miamala na kutoa hela kwenye ATM ni pamoja na Estonia, Malaysia, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Zaidi tembelea https://jamii.app/KitambulishoGhana
#JamiiForums #JFDigital #Utawala #DigitalWorld

Mdau, imewahi kukutokea taarifa zako binafsi kusambaa bila ridhaa yako? Ulichukua hatua gani?
Zaidi https://jamii.app/MatapeliSalioSimu
#JamiiForums #DigitalWorld #JFDigital #DataPrivacy

β€2