Ukaguzi wa #CAG katika Udhibiti wa Mifumo ya Ndani, Rasilimali Watu na Utawala ulibaini Mashirika ya Umma 13 hayakuwa na Bodi za Wakurugenzi, 42 yalikuwa na changamoto katika utumiaji wa Mfumo wa Ulipaji Serikalini (MUSE)
Pia, Mashirika 15 hayakutumia Mpango Mkakati wao ipasavyo, Mashirika 14 yana Watumishi wanaokaimu nafasi zao kati ya Miezi 6 mpaka Miaka 7 na Mashirika 12 yalikuwa na upungufu wa Watumishi 4,547.
#JamiiForums #RipotiCAG2023 #JFUwajibikaji23 #Digitali

π3β€1π1
#DIGITALI: Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) imeitaka META, kampuni inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya #Instagram, #Facebook, #Thread na #WhatsApp kujieleza namna inavyodhibiti maudhui ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Watoto
Wito wa kwanza ulitumwa META Novemba 2023 ukitaka maelezo ya Usalama wa Watoto Mtandaoni. #EU imesema mwisho wa wito ni Desemba 22, 2023, kinyume na hapo #META itachunguzwa kwa Mujibu wa Sheria za Umoja wa Ulaya
Sheria mpya ya Huduma za Dijitali ya Umoja wa Ulaya (DSA) inazitaka kampuni za #Teknolojia zinazojihusisha na Uchakataji wa Maudhui Mitandaoni kuhakikisha zinaondoa maudhui yasiyofaa na hatari kwenye mifumo yao.
Soma https://jamii.app/METAEU
#JamiiForums #DigitalRights #InternetSafety #CyberSafety #ChildRights #Accountability #JFDigitali

π3
#DIGITALI: Mara nyingi tunanunua bidhaa mitandaoni na mara nyingine kwa kuagiza kutoka nje ya nchi ambapo kuna wakati baadhi ya Wanunuzi hukutana na utapeli
Ununuzi mtandaoni unaweza kuwa si salama kama hautakuwa makini kwasababu unaweza kutapeliwa au kuletewa bidhaa ambayo hukuagiza
Je, umewahi kukutana na jambo gani la kitapeli wakati wa ununuzi mtandaoni na hatua gani unachukua kuepuka kutapeliwa?
Soma zaidi https://jamii.app/UnunuziSalama
#Jamiiforums #DigitalSecurity #DigitalSafety #JFDigital

π2
#DIGITALI: Matangazo ya Kazi ya Kitapeli mtandaoni hutokea ambapo tapeli hujifanya Mwajiri kutoka Kampuni au Shirika fulani kwa lengo la kurubuni na kujipatia fedha.
Jiepushe na Utapeli huu kwa kuhakikisha Unachunguza kuhusu Kampuni au Shirika husika na Mhusika aliyetoa tangazo hilo ili kupata uhalisia wake
Aidha, epuka kulipa fedha ili kupata kazi, hakuna Kampuni halali itakayokutaka ufanye hivyo; pia epuka kutoa taarifa zako za binafsi bila kuhakikisha uhalali wa Kampuni hiyo
Soma https://jamii.app/OnlineJobScams
#JamiiForums #DigitalSafety #DigitalSecurity #JFDigitali

#DIGITALI: Respick Tairo Hugolini aliandika andiko la 2 bora katika Msimu wa 3 wa Shindano la Stories of Change, akibainisha changamoto kadhaa kuhusu Kitambulisho cha Taifa, vitu vya kuongezwa kwa lengo la kuboresha
Alisema uboreshaji wa Vitambulisho vya Taifa utasaidia Kupunguza mzigo wa kubeba nyaraka nyingi, Kurahisisha upelelezi wa matukio ya uhalifu, Kupunguza ughushi wa nyaraka, Kupatiwa msaada wa kimatibabu kwa urahisi na Kuongeza ufanisi kwenye ukusanyaji wa mapato
Aidha, Mchakato wa kupitia maandiko ili kuwapata Washindi wa Shindano la #StoriesOfChange wa Msimu wa Nne (2024) unaendelea. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia kurasa rasmi za Shindano (@jfstoriesofchange), za JamiiForums na kwenye Jukwaa la JamiiForums.com
Kusoma andiko lote, bofya https://jamii.app/BoreshaKitambulisho
#JamiiForums #StoriesOfChangeS2 #AndikaNaUshinde #Accountability #Governance

#DIGITALI: Vidakuzi ni data zinazokusanywa na tovuti unazotembelea na kuhifadhiwa kwenye kivinjari chako, zikijumuisha taarifa kuhusu shughuli zako kama kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye tovuti
Vidakuzi vinaweza kumfanya mtumiaji kufuatiliwa mtandaoni bila yeye kujua, na inapendekezwa kuvifuta mara kwa mara kwani vikikusanywa kwa wingi, vinaweza kupunguza kasi ya mtandao. Pia kumbuka kuvifuta pale unapotumia kompyuta ya mtu mwingine ili kulinda taarifa zako binafsi na akaunti zako za tovuti mbalimbali kama benki au mitandao ya kijamii
Vidakuzi vinaweza kutumiwa na wahalifu wa mtandao kuiba taarifa zako binafsi, pia ili kuepuka matangazo yanayowalenga kuwafuata mtandaoni
Soma https://jamii.app/EraseCookiesFrequently
#JamiiForums #DigitalSafety #DigitalSecurity #DataSecurity #DigitalWorld

β€2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#DIGITALI: Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la #JamiiCheck linaloendeshwa na #JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka Tanzania
Shindano hilo liliandaliwa na Marekani kupitia Ubalozi wake nchini ambapo JamiiForums kupitia Mradi wake wa "Mwananchi Makini" inalenga kuhakikisha Wananchi wanakuwa na Taarifa Sahihi ili kufanya Maamuzi Sahihi wakati wa Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025
Ikumbukwe, JamiiCheck inawapa Wananchi fursa ya kuwasilisha taarifa ambazo hazijathibitishwa, kushiriki katika mchakato wa kuzihakiki na kupokea tathmini ya ukweli wake ndani ya muda mfupi
Soma https://jamii.app/USTechChallenge
#JamiiForums #JamiiCheck #JFDigitali #FactChecking #Accountability #DigitalRights #USTZTech

π₯3
#DIGITALI: Mtengenezaji maudhui maarufu katika Mtandao wa YouTube, Mr Beast, mwenye Wafuasi Milioni 317, ameshtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo Ubaguzi wa Kinjinsia na Washiriki wa Shindano la Beast Games, analoliratibu
Mnamo Agosti, 2024 gazeti la New York liliwahoji Washiriki waliowahi kushiriki katika Shindano hilo, ambapo walidai kuwa baadhi yao walilazwa Hospitali mara kadhaa na mara nyingine kukalishwa njaa muda mrefu na kutopewa dawa zao kwa wakati
Soma https://jamii.app/MrBeastAshtakiwaUnyanyasaji
#JamiiForums #DigitalSafety

#DIGITALI: Ulinzi na Usalama wa Mtandaoni si kwa Watu binafsi tuβpia ni muhimu kwa wenye Biashara na Kampuni sababu Mashambulizi ya kimtandao kwa Biashara au Taasisi yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria na uharibifu wa muda mrefu wa sifa
Kampuni zinapaswa Kuwekeza katika kutoa Mafunzo kwa Wafanyakazi kwasababu Mashambulizi mengi ya kimtandao huanza na makosa ya kibinadamu
Kwa kuelimisha Wafanyakazi jinsi ya kutambua ulaghai wa Kimtandao, usimamizi mzuri wa nywila na kushughulikia data kwa usalama, biashara zinaweza kupunguza hatari ya mashambulizi kufanikiwa
Soma zaidi https://jamii.app/CSAMonth
#CybersecurityAwarenessMonth #JamiiForums #DigitalSecurity #DigitalSafety #SecureOurWorld #JFDigitali

#DIGITALI: Watengenezaji wa Programu Tumizi (Application) hugundua Madhaifu ya kimfumo mara kwa mara na kutoa masasisho ili kufanya Mifumo hii ya Kidigitali kuwa salama zaidi
Moja ya sababu muhimu za kusasisha programu za Kidigitali ni kuziba mianya ya Kiusalama. Kadri muda unavyosonga, Wadukuzi hugundua njia mpya za kutumia hivyo usipofanya Usasishaji (Updates) mara kwa mara unajiweka kwenye hatari ya kupata mashambulizi ya Kimtandao
Soma zaidi https://jamii.app/DeviceUpdates
#CybersecurityAwarenessMonth #JamiiForums #DigitalSecurity #DigitalSafety #SecureOurWorld #JFDigitali #CyberCrime #StaySafeOnline

Kenya imeingia kwenye orodha ya mataifa ya Afrika yanayonufaika na programu ya TikTok for Business, baada ya Watengeneza wa Maudhui nchini humo kulipwa zaidi ya Tsh. Milioni 900 ndani ya Mwaka mmoja.
Zaidi https://jamii.app/KenyaMalipo
#JamiiForums #Digitali #Uchumi #JFDigital #DigitalWorld

β€1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akizungumza hivi karibuni kwenye mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji (ABC), Meneja wa Huduma za Utangazaji (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka amesema wamependekeza mfumo mpya ambao watengeneza maudhui mtandaoni chipukizi wataweza kufanya shughuli zao Mtandaoni bila kulipa ada yoyote kwa mwaka mmoja.
Zaidi tembelea https://jamii.app/CreatorsChipukiziBure
#JamiiForums #Digitali #DigitalWorld #DigitalRights
Zaidi tembelea https://jamii.app/CreatorsChipukiziBure
#JamiiForums #Digitali #DigitalWorld #DigitalRights
β€1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameyasema hayo Aprili 20, 2026, wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya Miss World 2027.
Wewe kama 'Content Creator' una maoni gani kwenye hili?
Fuatilia mjadalaππΎ https://jamii.app/MkopoContentCreators
#JamiiForums #Uwajibikaji #Digitali #Uchumi