'PASSWORD' YAKO INAKUHAKIKISHIA ULINZI WA TAARIFA ZAKO MTANDAONI?
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya National Cyber Security Centre (NCSC) ya #Uingereza, Watu wengi wamekuwa wakitumia 'Password' (Nywila) ambazo ni rahisi kudukuliwa kwenye vifaa vyao vya Kielektroniki
#NCSC inashauri watu kutotumia 'Password' zenye Herufi au Tarakimu zinazofuatana au kufanana na badala yake watumie Mchanganyo wa Tarakimu, Herufi pamoja na Alama ili kuongeza #UlinziWaTaarifaBinafsi katika Vifaa wanavyotumia
Vipi Mdau, na wewe unatumia #Password' hatarishi zinazofanana na zilizotajwa hapo?
-
#JamiiForums #DigitalRights #DataProtection #DigitalSecurity #DataSecurity #JFDigitali

👍3
Walaghai wa Mitandao ni Watu wanaofanya uhalifu wa Mtandaoni kwa kuwasiliana na mlengwa kupitia njia mbalimbali zikiwemo barua pepe, simu, au Ujumbe wa Maandishi (SMS), wakijifanya wanatoka Taasisi halali
Lengo lao ni kuwarubuni Watu kutoa Taarifa Binafsi na nyeti kama vile taarifa za benki, nywila za sehemu tofauti au taarifa nyingine zozote zenye manufaa kwao
Soma https://jamii.app/EpukaWalaghaiWaMtandao
#JamiiForums #DigitalSafety #DigitalSecurity #DigitalWorld #DataSecurity

#DIGITALI: Vidakuzi ni data zinazokusanywa na tovuti unazotembelea na kuhifadhiwa kwenye kivinjari chako, zikijumuisha taarifa kuhusu shughuli zako kama kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye tovuti
Vidakuzi vinaweza kumfanya mtumiaji kufuatiliwa mtandaoni bila yeye kujua, na inapendekezwa kuvifuta mara kwa mara kwani vikikusanywa kwa wingi, vinaweza kupunguza kasi ya mtandao. Pia kumbuka kuvifuta pale unapotumia kompyuta ya mtu mwingine ili kulinda taarifa zako binafsi na akaunti zako za tovuti mbalimbali kama benki au mitandao ya kijamii
Vidakuzi vinaweza kutumiwa na wahalifu wa mtandao kuiba taarifa zako binafsi, pia ili kuepuka matangazo yanayowalenga kuwafuata mtandaoni
Soma https://jamii.app/EraseCookiesFrequently
#JamiiForums #DigitalSafety #DigitalSecurity #DataSecurity #DigitalWorld

❤2