GHANA: Waandishi wa Habari wametangaza kusitisha kuripoti habari zozote zinazohusu Waziri wa Uvuvi, Mavis Hawa Koomson kutokana na shambulio dhidi ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha redio lililofanywa na Watu ambao walivalia fulana zenye jina la Waziri huyo mapema Januari, 2024
Rais wa Chama cha Waandishi wa Habari Ghana (GJA), Albert Kwabena Dwumfour amesema "Tunatoa wito kwa Vyombo vyote vya Habari kusitisha kuripoti kabisa kuhusu Mavis Hawa Koomson na kujiepusha naye, kwa sababu tunaamini kuna Vibaka karibu naye ambao wanatishia Maisha ya Waandishi wa Habari na Wataalamu wengine wa Habari,”
Chama tawala kimekemea agizo hilo la Vyombo vya Habari kikisema ni batili, na kudai kwamba hakuna Mwanachama wa Timu ya Waziri huyo aliyehusika katika shambulio hilo
Soma https://jamii.app/WaandishiGhana
#JamiiForums #Democracy #FreedomOfExpression #FreePress #AccessToInformation #Accountability #Governance

👍4😐1
HALI YA HEWA: Mikoa ya Morogoro, Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko
Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza kusababisha athari kwenye miundombinu na makazi ikiwemo nyumba kuzungukwa na maji, pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi
TMA imewataka Wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa dharura zinazoweza kujitokeza
Soma https://jamii.app/TMAFive
#JamiiForums #AccessToInformation #ClimateChange

❤2👍2
UINGEREZA: Mfalme Charles III amekutwa na Ugonjwa wa Saratani baada ya kufikishwa Hospitali kwaajili ya kufanya Vipimo vya Afya
Taarifa ya Idara ya Mawasiliano ya Kasri la Kifalme imesema, Madaktari wamemshauri Mfalme asitishe kwa muda shughuli za Umma ili kuanza Matibabu ingawa ataendelea na majukumu mengine ya Kiserikali
Pia, Mfalme amesema amechukua uamuzi wa kutangaza taarifa ya Ugonjwa ili kuondoa sintofahamu na uzushi unaoweza kuenezwa pamoja na kuongeza uelewa kwa Waathiriwa wa Saratani
Soma https://jamii.app/KingCharlesIII
#JamiiForums #Governance #AccessToInformation #Transparency

👍7
Siku ya Redio Duniani huadhimishwa Februari 13 ya kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika kufikisha Taarifa kwa Jamii
Mwaka 2011, Nchi Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la #Elimu, Sayansi na Utamaduni (#UNESCO) ziliitangaza Februari 13 kuwa Siku ya Redio Duniani na baadaye kupitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 2013 kama tukio la Kimataifa
Soma https://jamii.app/RadioDay2024
#JamiiForums #WorldRadioDay2024 #WRD2024 #AccessToInformation

👍4❤1
Taarifa ya Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN) imeeleza kusikitishwa na tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwafukuza Waandishi wa Habari katika Kikao cha Kamati ya Ushauri cha Wilaya, Februari 19, 2024, huku ikisema Simalenga ameikosea hadhi Taaluma ya Uandishi
Taarifa imeeleza MISA-TAN inaamini shambulio lolote kwa Mwandishi wa Habari ni shambulio kwa Umma na kuunyima Umma haki ya msingi ya kupata taarifa ya kikao cha wazi na sio kikao cha siri
Soma https://jamii.app/BariadiDC
#JamiiCheck #PressFreedom #UhuruWaVyomboVyaHabari #Democracy #Governance #AccessToInformation

👍7❤4🔥1
TUFUATILIE KUPITIA LINKEDIN UFAHAMU KUHUSU PROGRAMU ZETU MBALIMBALI
Ukurasa wa JamiiForums wa LinkedIn ni kwa ajili ya kuijuza Jamii kuhusu shughuli na programu mbalimbali za JamiiForums pamoja na kutoa elimu ya masuala mbalimbali ya Kijamii
Kufikia ukurasa huu bofya https://jamii.app/JFLinkedIn
#DigitalRights #DigitalWorld #JamiiForums #AccessToInformation

👍2
Wananchi wakiwa na taarifa sahihi na za kutosha kuhusu mambo yanayowahusu huwa ni vigumu kudanganyika
Wanajua nini ni sahihi, wanatambua maeneo yanayohitaji maboresho, na huchukua jukumu la kuiwajibisha Serikali yao. Hawaruhusu kutumiwa kama Mitaji ya Kisiasa.
Soma https://jamii.app/TaarifaMaamuzi
#JamiiForums #Accountability #UchaguziTanzania #HumanRights #AccessToInformation

👍3
UGANDA: Serikali imetenga Dola za Marekani Milioni 800 (zaidi ya Tsh. Trilioni 2) kwaajili ya kutangaza na kufundisha Lugha ya Kiswahili nchini humo kwa lengo la kukuza ushirikiano wa Kikanda
Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Rebecca Kadaga ni kuwa Watumishi wa Umma wakiwemo Madaktari, Wauguzi na Wafanyakazi wa Mipakani watapewa kipaumbele katika mpango wa mafunzo ya lugha hiyo
Ikumbukwe, Julai 2022 Serikali ya #Uganda iliidhinisha Lugha ya #Kiswahili kuwa Lugha rasmi na kuagiza iwe Somo la lazima katika Shule za Msingi na Sekondari ikiwa ndiyo Lugha rasmi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Soma https://jamii.app/KiswahiliEAC
#JamiiForums #Governance #Accountability #LughaYaKiswahili #AccessToInformation

👍3❤1
#DEMOKRASIA: Akihojiwa na #nPoint, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Mwananchi ana haki ya kupata taarifa kutoka kwa Kiongozi, na kama Kiongozi hatazitoa ni Haki ya Mwananchi kumsema. Kuwakamata Wananchi kisa wamehoji ni kuvunja Haki zao
Ameongeza, Viongozi wawaeleweshe Wananchi pale ambapo wanakuwa hawajaelewa na siyo kuwachukulia hatua wanapotoa Maoni yao au kuwapa mipaka ya kuongea, isipokuwa kwa mujibu wa Sheria na Taratibu tulizokubaliana kuwa amevuka mipaka
Amesema "Viongozi wanatakiwa kuwa na ngozi ngumu na waelewe zama hizi sio zama zile"
Soma https://jamii.app/HakiYaKuhoji
#JamiiForums #Governance #AccessToInformation #FreedomOfExpression #FreedomOfSpeech #Democracy

👍8
DODOMA: Akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s Forum) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Naibu Katibu Mkuu – Maendeleo ya Jamii na Makundi Maalum, Amon Anastaz Mpanju amesema Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo yamesajiliwa na yapo hai ni 9,857
-
Amesema Mashirika hayo yamekuwa na umuhimu mkubwa kwenye Jamii na yanafanya kazi kubwa ndio maana yamekuwa yakipewa ushirikiano na Serikali
-
Soma https://jamii.app/ANGOF2024
#JFMatukio #Governance #ANGOsForum2024 #ANGOF2024 #AccessToInformation #JamiiForums

Uganda: Shirika liitwalo 'Media Focus on Africa Uganda' kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali ikiwemo JamiiForums limaendaa Tamasha la #UgandaMediaWeek2024 ili kuangazia mambo mbalimbali kuhusu hali ya Vyombo vya Habari na Habari kwa ujumla nchini humo
Wadau mbalimbali wa Habari toka Nchini humo na nchi jirani ikiwemo Tanzania na Kenya wamekutana kujadali changamoto zinazoikabili Sekta ya Habari
Zaidi https://jamii.app/MediaWeekUG
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek

Katika Siku ya Pili ya Kongamano la #UgandaMediaWeek2024, JamiiForums imeandaa mjadala kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta #Mabadiliko ya Kijamii
Meneja wa Programu wa JamiiForums, Ziada Seukindo, atatoa ufafanuzi wa jinsi JamiiForums imefanikiwa kuchochea ushiriki wa Wananchi katika kutatua changamoto mbalimbali kwenye Jamii zao
Kufuatilia, bofya https://jamii.app/UGMediaWeekDay2
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia

Akizungumza katika Kongamano la #UgandaMediaWeek2024, kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta #Mabadiliko ya Kijamii, Meneja wa Programu wa JamiiForums, Ziada Seukindo amesema “JamiiForums ilianzishwa Mwaka 2006 wakati huo Watumiaji wa huduma ya Intaneti Tanzania walikuwa takriban 300,000 kwa sasa inawezekana kuna watumiaji zaidi ya Milioni 40”
Amesema kuwa JamiiForums inawapa nafasi watu kuzungumza, kujadiliana, kueleza hisia zao na kupaza sauti zao, pia kuna JamiiCheck ambayo inafanya kazi za kuhakiki taarifa
Ameongeza kuwa JamiiForums ina platform ambayo inaruhusu Watu kufichua uovu (Fichua Uovu), ikiwemo kero na madokezo madogo na makubwa. Lengo likiwa ni kuhakikisha tunakuwa na Watu wenye taarifa sahihi
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
Amesema kuwa JamiiForums inawapa nafasi watu kuzungumza, kujadiliana, kueleza hisia zao na kupaza sauti zao, pia kuna JamiiCheck ambayo inafanya kazi za kuhakiki taarifa
Ameongeza kuwa JamiiForums ina platform ambayo inaruhusu Watu kufichua uovu (Fichua Uovu), ikiwemo kero na madokezo madogo na makubwa. Lengo likiwa ni kuhakikisha tunakuwa na Watu wenye taarifa sahihi
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
👍1
Akizungumza katika Mjadala kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta #Mabadiliko ya Kijamii Meneja wa Programu wa JamiiForums, Ziada Seukindo amesema Ili kutumia JamiiCheck.com unatakiwa kuwasilisha kwenye platform hiyo kile ulichokiona kwenye Mtandao au kinachozungumzwa au kusambaa mtaani ikiaminishwa kuwa ni kweli lakini una mashaka nacho
Ameongeza kwa kusema “Unapofanya hivyo timu yetu ndani ya JamiiForums kwa kushirikia na vyanzo vyetu mbalimbali wakiwemo Waandishi wa Habari ambao tunafanya nao kazi kupitia ushirikiano wa Umoja wao (UTPC), wanatusaidia kuhakiki taarifa mbalimbali Ndani na Nje ya Tanzania”
Amesema kuwa mchakato unaofanyika wa kuhakiki taarifa kupitia JamiiCheck.com sio kwamba unakuwa mwisho wa maamuzi yote, Watumiaji wa Mtandao pia wanapata nafasi ya kutoa maoni
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
Ameongeza kwa kusema “Unapofanya hivyo timu yetu ndani ya JamiiForums kwa kushirikia na vyanzo vyetu mbalimbali wakiwemo Waandishi wa Habari ambao tunafanya nao kazi kupitia ushirikiano wa Umoja wao (UTPC), wanatusaidia kuhakiki taarifa mbalimbali Ndani na Nje ya Tanzania”
Amesema kuwa mchakato unaofanyika wa kuhakiki taarifa kupitia JamiiCheck.com sio kwamba unakuwa mwisho wa maamuzi yote, Watumiaji wa Mtandao pia wanapata nafasi ya kutoa maoni
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
👍1
Akizungumza katika Kongamano la #UgandaMediaWeek2024, kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta #Mabadiliko ya Kijamii, David Mugurusi (TWAWEZA) amesema Matatizo katika Jamii yamekuwa yakitatuliwa katika njia tatu, kuna yale yanayotatuliwa na Serikali za Mitaa, mengine yanatatuliwa na Wananchi wenyewe, pia changamoto nyingine zinatatuliwa na Wananchi na Serikali kwa pamoja
Ameongeza “Jamii inatambua umuhimu wa Vyombo vya Habari katika kupaza sauti zao, hiyo ndio maana TWAWEZA tumekuwa tukiendelea kufanya kazi kwa ukaribu na Vyombo vya Habari kwa kutambua umuhimu wa pande mbili na zinavyotegemeana”
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
Ameongeza “Jamii inatambua umuhimu wa Vyombo vya Habari katika kupaza sauti zao, hiyo ndio maana TWAWEZA tumekuwa tukiendelea kufanya kazi kwa ukaribu na Vyombo vya Habari kwa kutambua umuhimu wa pande mbili na zinavyotegemeana”
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
Meneja wa Programu wa JamiiForums, Ziada Seukindo amesema "kuhusu mabadiliko ya Uwajibikaji baada ya mchakato wa kushawishi Uwajibikaji siku za nyuma, tukaanza kuwa na Viongozi wachache ambao wakaanza kuwajibika kujibu na kufanyia kazi hoja za Wananchi zilizokuwa zikipaziwa sauti"
Ameongeza “Zamani kulikuwa na ile dhana kuwa wanaotoa hoja Mtandaoni ni “Watu wa Mtandaoni”, ikawa inaonekana kama sio Wananchi wa kawaida lakini sasa hivi dhana hiyo imebadilika na uwajibikaji unaonekana kutokana na hoja zinazopaziwa sauti Mtandaoni”
Amezungumza hayo katika Kongamano la #UgandaMediaWeek2024, kwenye Mjadala wa kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta #Mabadiliko ya Kijamii
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
Ameongeza “Zamani kulikuwa na ile dhana kuwa wanaotoa hoja Mtandaoni ni “Watu wa Mtandaoni”, ikawa inaonekana kama sio Wananchi wa kawaida lakini sasa hivi dhana hiyo imebadilika na uwajibikaji unaonekana kutokana na hoja zinazopaziwa sauti Mtandaoni”
Amezungumza hayo katika Kongamano la #UgandaMediaWeek2024, kwenye Mjadala wa kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta #Mabadiliko ya Kijamii
#JamiiForums #MediaFocusOnAfricaUganda #AccessToInformation #FreedomOfExpression #UgandaMediaWeek #Demokrasia
DAR: Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwanasaikolojia Daniel Marandu, amesema "Tafiti za mwaka juzi (2022) za Dar es Salaam ilikuwa kwa mwezi zinavunjika ndoa 300, ina maana kwa siku ndoa 10 zinavunjika"
Ameongeza kuwa "Tafiti zinasema ndoa zinavunjika kuanzia mwaka mmoja mpaka mitatu ndio maana watu wakifikisha miaka mitano katika ndoa wape hongera maana sio mchezo"
Ameyasema hayo katika Kongamano la Mahusiano na #Dadaz lililoandaliwa na #EastAfricaTV leo Desemba 6, 2024.
Soma https://jamii.app/Ndoa300KuvunjikaDar
#JamiiForums #AccessToInformation #RelationshipForum

Mshiriki wa Shindano la Stories of Change 2023 alipendekeza katika Mfumo wa Utoaji Taarifa, ziongezwe jitihada katika uchakataji na utoaji wa haraka wa taarifa mbalimbali ili kupunguza sintofahamu kwa Wananchi na kuondoa taarifa za upotoshaji
Pia, kuimarisha Mifumo ya kusikiliza Umma kwa kuanzisha Mifumo madhubuti ya kusikiliza maoni na malalamiko ya Wananchi kuhusu masuala mbalimbali ili kuboresha #Uwajibikaji na kutatua changamoto za Kijamii
Aidha, Serikali inaweza kuweka viwango vya juu vya Uwazi katika Taasisi zake na kuhakikisha Taarifa zinazohusiana na Matumizi ya Rasilimali za Umma, Miradi ya Maendeleo, na Sera zinapatikana na kueleweka kwa urahisi Umma
Soma zaidi https://jamii.app/MfumoTaarifaSerikali
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #SOC2023
#AccessToInformation #HumanRights

KAGERA: Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Kata ya Buhembe - Manispaa ya Bukoba, amelalamikia kero ya ukosefu wa huduma ya Maji Safi katika Kata yao na maeneo ya jirani licha ya Serikali kujenga na kuzindua tanki kubwa la Maji
Mdau ametoa wito kwa Mamlaka husika kutatua changamoto hiyo
Soma https://jamii.app/BuhembeKukosaMaji
#JamiiForums #ServiceDelivery #JFMdau2025 #AccessToInformation #Uwajibikaji #PublicHealth #Afya

UGANDA: Serikali kupitia Tume ya Mawasiliano (#UCC) imeagiza kampuni za simu na Watoa Huduma za Intaneti kusimamisha kwa muda Huduma za Intaneti pamoja na usajili wa laini mpya za simu ili kuzuia kile walichokiita usambazaji wa #TaarifaPotofu na vitendo vinavyoweza kuchochea vurugu kuanzia leo Januari 13, 2026 hadi hapo itakapotangazwa tena.
Tangazo hilo pia limedokeza kwamba huduma muhimu kama mifumo ya afya, benki, ATM, malipo ya kodi, mifumo ya serikali, umeme, maji, mafuta na usafiri zimeruhusiwa kuendelea kufanya kazi kupitia intaneti isiyo ya simu.
Zaidi tembelea https://jamii.app/UgandaInternet
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #AfricanPolitics

🤬2❤1