JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
#DEMOKRASIA: Akihojiwa na #nPoint, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Mwananchi ana haki ya kupata taarifa kutoka kwa Kiongozi, na kama Kiongozi hatazitoa ni Haki ya Mwananchi kumsema. Kuwakamata Wananchi kisa wamehoji ni kuvunja Haki zao

Ameongeza, Viongozi wawaeleweshe Wananchi pale ambapo wanakuwa hawajaelewa na siyo kuwachukulia hatua wanapotoa Maoni yao au kuwapa mipaka ya kuongea, isipokuwa kwa mujibu wa Sheria na Taratibu tulizokubaliana kuwa amevuka mipaka

Amesema "Viongozi wanatakiwa kuwa na ngozi ngumu na waelewe zama hizi sio zama zile"

Soma https://jamii.app/HakiYaKuhoji

#JamiiForums #Governance #AccessToInformation #FreedomOfExpression #FreedomOfSpeech #Democracy
👍8