Israel kwa kushirikiana na Marekani imeshambulia Mji Mkuu wa Iran, Tehran katika Operesheni ya Kijeshi ambayo Waziri wa Ulinzi wa Israel amedokeza kuwa ni “shambulio la kujihami”.
Kufuatia shambulio hilo, Israel imetangaza hali ya hatari nchini humo, na kuwasha ving’ora kwenye maeneo mbalimbali ili kuwatahadharisha Wananchi.
Aidha, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Israel imetangaza kusitisha safari zote za ndege na kuwataka Wananchi kutoelekea au kukaa karibu na viwanja vya ndege hadi taarifa nyingine itakapotolewa.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/IsraelNaIran
#JamiiForums #Diplomasia #Utawala #Diplomacy

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akizungumza muda mfupi baada ya Israel na Marekani kushambulia Mji Mkuu wa Iran, Tehran, Rais wa Marekani, #DonaldTrump amesema kwa muda mrefu Wananchi wa Iran walikuwa wakiomba msaada wa Marekani ili kuondoa Serikali iliyopo madarakani, na kuongeza kuwa Marekani imejibu ombi hilo.
Amesema pia baada ya shambulizi hilo, Wananchi wa #Iran watapata nafasi ya kurudisha Serikali iwe chini ya udhibiti wao.
Zaidi https://jamii.app/MarekaniNaIran
#JamiiForums #Diplomasia #Governance #JFDiplomacy

Iran imethibitisha kuuawa kwa Waziri wa Ulinzi, Aziz Nasirzadeh, na Mkuu wa Majeshi, Abdolrahim Mousavi, katika mashambulizi ya Marekani na Israel yaliyofanyika Februari 28, 2026, kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA.
Zaidi https://jamii.app/IranWaziriUlinzi
#JamiiForums #Diplomasia
Zaidi https://jamii.app/IranWaziriUlinzi
#JamiiForums #Diplomasia
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais Samia alitoa wito huo Machi 3, 2026 alipokuwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta Bandarini
Zaidi https://jamii.app/SamiaMafuta
#JamiiForums #Diplomasia #Utawala
Zaidi https://jamii.app/SamiaMafuta
#JamiiForums #Diplomasia #Utawala
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais Samia Suluhu ametoa kauli hiyo Machi 3, 2026, wakati wa kuweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Matanki ya Kupokea Mafuta, akizungumzia mgogoro kati ya #Israel na Marekani dhidi ya #Iran ambao umezua hofu Duniani.
Soma zaidi https://jamii.app/VitaMarekaniNaIran
#JamiiForums #Diplomasia #IranIsraelUSWar
Soma zaidi https://jamii.app/VitaMarekaniNaIran
#JamiiForums #Diplomasia #IranIsraelUSWar
🤣2🔥1🤬1
Serikali ya Uganda imeondoa ulazima wa Visa kwa raia wa nchi 40, huku Marekani, Uingereza na nchi za Umoja wa Ulaya ikiwa siyo sehemu ya wanufaika. Ikumbukwe, hivi karibuni Marekani iliweka masharti ya Visa kwa raia wa Uganda, ikiwemo kuweka dhamana ya Dola 15,000 (Tsh. Milioni 39) inayorejeshwa mtu akirejea pamoja na kupunguza muda wa uhalali wa Visa.
Zaidi https://jamii.app/VisaUganda
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Zaidi https://jamii.app/VisaUganda
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inafikiria kusitisha misaada muhimu ya afya, kwa mujibu wa Mtandao wa The New York Times wa Marekani, kama mbinu ya mazungumzo ili kuilazimisha Serikali ya Zambia kusaini makubaliano yatakayoipa Marekani ufikiaji mkubwa zaidi wa madini yake muhimu.
Bofya kusoma zaidi https://jamii.app/DawaZaVVUZambia
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Bofya kusoma zaidi https://jamii.app/DawaZaVVUZambia
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
DODOMA: Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (#NSUK) cha Nigeria umemtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari Rais Samia Suluhu, tukio hilo limefanyika kwa njia ya Mtandao, leo Aprili 11, 2026.
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/SamiaTuzoNigeria
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/SamiaTuzoNigeria
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
❤2
Tanzania na Ubalozi wa Uswidi ukiwakilishwa na Balozi Charlotta Ozaki Macias wamesaini mkataba wa ushirikiano kwa ajili ya ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) vipande (Slot) vya 3 na 4, uliofanyika Jijini Dodoma, Aprili 28, 2026.
Ufadhili huo wa takriban Dola za Marekani Tsh. Trilioni 3.43 (Dola Bilioni 1.32) utatumika katika kujenga na kuboresha reli hiyo nchini.
Zaidi https://jamii.app/TanzaniaSwedenSGRDeal
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Ufadhili huo wa takriban Dola za Marekani Tsh. Trilioni 3.43 (Dola Bilioni 1.32) utatumika katika kujenga na kuboresha reli hiyo nchini.
Zaidi https://jamii.app/TanzaniaSwedenSGRDeal
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Balozi wa China nchini Nigeria, Yu Dunhai ameeleza kuwa jengo hilo ni mradi wa kielelezo unaolenga kuimarisha uwezo wa ECOWAS na kusisitiza kuwa ushirikiano wa China na Afrika unazingatia sera ya "kutojiingiza katika mambo ya ndani" na kwamba msaada huo hauna masharti yoyote ya Kisiasa.
Zaidi: https://jamii.app/ChinaECOWAS
#JamiiForums #Diplomasia
Zaidi: https://jamii.app/ChinaECOWAS
#JamiiForums #Diplomasia
Mei 02, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com
Kuufikia mjadala huu bofya https://jamii.app/RaisKagameTanzania
#JamiiForums #Diplomasia
Kuufikia mjadala huu bofya https://jamii.app/RaisKagameTanzania
#JamiiForums #Diplomasia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Rais wa Kenya, William Ruto amesema hayo Mei 5, 2026, wakati akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zaidi https://jamii.app/RutoMaadui
#JamiiForums #Diplomasia
Zaidi https://jamii.app/RutoMaadui
#JamiiForums #Diplomasia
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Askofu Israel Maasa, ameyasema hayo Jumanne, Mei 26, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano ulioandaliwa na JMAT jijini Dodoma.
Kauli hii inakuja siku chache baada ya Maseneta wawili wa Marekani, Jeanne Shaheen na Ted Cruz, kuwasilisha muswada katika Seneti ya Marekani uliotaka Serikali ya Marekani kufanya tathmini ya mahusiano yake na Tanzania
Zaidi tembelea https://jamii.app/MarekaniDiplomasia
#JamiiForums #Diplomasia #Uwajibikaji

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum ameyasema hayo Jumanne, Mei 26, 2026, alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari katika mkutano ulioandaliwa na JMAT jijini Dodoma.
Kauli hii inakuja siku chache baada ya Maseneta wawili wa Marekani, Jeanne Shaheen na Ted Cruz, kuwasilisha muswada katika Seneti ya Marekani uliotaka Serikali ya Marekani kufanya tathmini ya mahusiano yake na Tanzania.
Zaidi tembelea https://jamii.app/AlhadOnyoUS
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Kauli hii inakuja siku chache baada ya Maseneta wawili wa Marekani, Jeanne Shaheen na Ted Cruz, kuwasilisha muswada katika Seneti ya Marekani uliotaka Serikali ya Marekani kufanya tathmini ya mahusiano yake na Tanzania.
Zaidi tembelea https://jamii.app/AlhadOnyoUS
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
😁1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo aliyasema hayo Mei 26, 2026 alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Wizara yake jijini Dodoma.
Fuatilia mjadala https://jamii.app/MlikuwaWapiKombo
#JamiiForums #Diplomasia
Fuatilia mjadala https://jamii.app/MlikuwaWapiKombo
#JamiiForums #Diplomasia
❤1
Rais wa Ghana, John Mahama, ametangaza kuwa Waafrika wote wenye pasipoti watakaosafiri kwenda Ghana kwa shughuli za kibiashara au utalii wataomba viza kupitia mfumo mpya wa mtandaoni bila kulipa ada yoyote.
Hatua hii inaifanya Ghana kuwa nchi ya 6 barani Afrika kuondoa ada za viza kwa Waafrika. Nchi nyingine ni pamoja na Benin, Gambia, Rwanda, Togo na SheliSheli.
Je, unadhani uamuzi huo wa Ghana utashawishi nchi nyingine kama Tanzania kufuata nyayo hizo?
Shiriki mjadala https://jamii.app/EVisaAfricansInGhana
#JamiiForums #Diplomasia #Governance

Mdau, unadhani anastahili?
Shiriki maoni yako https://jamii.app/ChifuMchinaGhana
#JamiiForums #Diplomasia
Shiriki maoni yako https://jamii.app/ChifuMchinaGhana
#JamiiForums #Diplomasia
Taarifa ya EPP imeeleza kuwa pendekezo hilo limechagizwa na ujasiri wa Lissu katika kusimamia misingi ya Kidemokrasia, Mfumo wa Vyama Vingi na Utawala wa Sheria
Tuzo ya Sakharov ni heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya ili kutambua juhudi za kutetea haki za binadamu
Zaidi https://jamii.app/LissuTuzoSakharov
#JamiiForums #Diplomasia
Tuzo ya Sakharov ni heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya ili kutambua juhudi za kutetea haki za binadamu
Zaidi https://jamii.app/LissuTuzoSakharov
#JamiiForums #Diplomasia
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Mambo ya Ndani kusaidia kwa kuzungumza na mamlaka zinazohusika ili kuwawezesha Mabaharia walipoteza kazi kupata Visa za C1/D za miaka miwili kwenye meli za Marekani.
Soma https://jamii.app/VisaMabaharia
#JamiiForums #JFMdau2026 #Diplomasia
Soma https://jamii.app/VisaMabaharia
#JamiiForums #JFMdau2026 #Diplomasia
UFARANSA: Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola amesema tuzo hiyo inatambua mchango wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (#ICC) katika kusimamia Haki za Kimataifa. Tuzo ya Sakharov ilianzishwa Mwaka 1988, huku hafla ya mwaka huu ikipangwa kufanyika Desemba 16, 2026, mjini Strasbourg.
Zaidi tembelea https://jamii.app/IccYatwaaSakharov
#JamiiForums #Diplomasia #TuzoYaSakharov2026 #Governance #Accountability
Zaidi tembelea https://jamii.app/IccYatwaaSakharov
#JamiiForums #Diplomasia #TuzoYaSakharov2026 #Governance #Accountability