Kuongezeka kwa gharama za #Intaneti kunaathiri Uwezo wa Watu kupata #Elimu, kufanya #Biashara, kuwasiliana na Kupata taarifa Muhimu kupitia Mtandao hivyo kukwamisha Ukuaji wa Sekta ya Digitali
Vipi Mdau? Unaathiriwaje na Gharama za Intaneti Nchini?
Kwa Maoni zaidi, shiriki pamoja nasi katika Mjadala wa namna Sera, Gharama, Bajeti na Matamko ya Viongozi vinachochea ukuaji wa Sekta ya Digitali Nchini, utakaofanyika Juni 13, 2024, kuanzia Saa 12 Jioni - Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Mjadala https://jamii.app/DigitalSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #Digitalization #MjadalaSektaDigitali

π3β€1
Bajeti ya Serikali inatenga kiasi gani cha Fedha kila Mwaka kwa ajili ya kuboresha Miundombinu ya Kidijitali Nchini? Je, zinatumika ipasavyo?
Kufahamu haya na mengine kuhusu Sekta ya Dijitali Nchini ungana nasi katika Mjadala wa Sera, Gharama, Bajeti, Matamko na Hatma ya Tanzania ya Kidijitali, Juni 13, 2024, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Link ya Mjadala https://jamii.app/DigitalSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma

π1
#BUNGENI: Akisoma #BajetiKuu2024, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amependekeza Kutoza Kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye Huduma ya Data zinazotolewa Mtandaoni (Online Data service)
Amesema mabadiliko haya yanaenda sambamba na kuweka tafsiri ya maneno "Online Data Services" na kujumuisha Huduma hiyo kwenye wigo wa utozaji wa Huduma za Kidijitali
Aidha, ameongeza Lengo la hatua hii ni kuongeza wigo wa kodi na kuendana na mabadiliko ya Kiteknolojia, ambapo hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Bilioni 16.397
#JamiiForums #DigitalRights #DigitalSpace

π3
Je, Sera za sasa zina mchango gani katika kukuza Sekta ya Dijitali, ikiwemo kupunguza gharama za Intaneti?
Kujua hili na mengine mengi jiunge nasi katika Mjadala wa namna Sera, Gharama, Bajeti na Matamko ya Viongozi vinavyochochea ukuaji wa Sekta ya Digitali Nchini
Mjadala huu utafanyika Alhamisi ya Juni 20, 2024, kuanzia Saa 12 Jioni - Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Ungana nasi kupitia https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Kujua hili na mengine mengi jiunge nasi katika Mjadala wa namna Sera, Gharama, Bajeti na Matamko ya Viongozi vinavyochochea ukuaji wa Sekta ya Digitali Nchini
Mjadala huu utafanyika Alhamisi ya Juni 20, 2024, kuanzia Saa 12 Jioni - Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Ungana nasi kupitia https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π2β€1
Gharama za Intaneti zimekuwa zikikwamisha na kuathiri shughuli za Watumiaji wa Mitandao, Wabunifu wa Teknolojia na Wazalishaji wa Maudhui
Je, unaridhishwa na mikakati ya Serikali katika udhibiti wa Bei za Intaneti ?
Ungana nasi katika Mjadala kuhusu Hatma ya Tanzania ya Kidigitali kwa kutazama Sera, Sheria, Matamko ya Viongozi na Kodi zinavyoathiri Ukuaji wa Sekta ya Digitali nchini
Ni leo Alhamisi Juni 20, 2024 kuanzia Saa 12 Jioni hadi saa 2 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums
Link ya Mjadala https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Je, unaridhishwa na mikakati ya Serikali katika udhibiti wa Bei za Intaneti ?
Ungana nasi katika Mjadala kuhusu Hatma ya Tanzania ya Kidigitali kwa kutazama Sera, Sheria, Matamko ya Viongozi na Kodi zinavyoathiri Ukuaji wa Sekta ya Digitali nchini
Ni leo Alhamisi Juni 20, 2024 kuanzia Saa 12 Jioni hadi saa 2 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums
Link ya Mjadala https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π7
Kuongezeka kwa gharama za #Intaneti kunaathiri uwezo wa Watu kupata #Elimu, kufanya #Biashara, kuwasiliana na Kupata taarifa Muhimu kupitia Mtandao hivyo kukwamisha Ukuaji wa Sekta ya Digitali
Vipi mdau, unaathiriwaje na Gharama za Intaneti Nchini?
Kutoa maoni yako, shiriki Mjadala wa namna Sera, Gharama, Bajeti na Matamko ya Viongozi vinachochea ukuaji wa Sekta ya Digitali Nchini, leo Alhamisi ya Juni 20, 2024, kuanzia Saa 12:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Link ya Mjadala https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #Digitalization #MjadalaSektaDigitali
Vipi mdau, unaathiriwaje na Gharama za Intaneti Nchini?
Kutoa maoni yako, shiriki Mjadala wa namna Sera, Gharama, Bajeti na Matamko ya Viongozi vinachochea ukuaji wa Sekta ya Digitali Nchini, leo Alhamisi ya Juni 20, 2024, kuanzia Saa 12:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Link ya Mjadala https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #Digitalization #MjadalaSektaDigitali
π4β€1
Kumekuwa na mijadala ya muda mrefu kuhusu Bajeti na Sera za Nchi zinazogusa Uwekezaji katika Sekta ya Digitali, ikijumuisha michakato ya upatikanaji wa Vibali kwa Kampuni zinazotaka kuwekeza Nchini
Je, unadhani nini kifanyike kwa Mamlaka kurahisisha na kuongeza Uwekezaji katika Sekta hiyo?
Karibu katika Mjadala muda huu kupitia X Spaces ya JamiiForums
Shiriki kwa kubonyeza hapa https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Je, unadhani nini kifanyike kwa Mamlaka kurahisisha na kuongeza Uwekezaji katika Sekta hiyo?
Karibu katika Mjadala muda huu kupitia X Spaces ya JamiiForums
Shiriki kwa kubonyeza hapa https://jamii.app/DigitaliSpaces
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Mzungumzaji kutoka Pollicy, Rachel Magege amesema amekuwa akifuatilia sana Sera na Sheria za masuala ya Digitali
Ameongeza kwa kusema kuwa kuna Sera kama tano muhimu zimetungwa hivi karibuni na Wizara inaendelea kutoa muda kwa Wadau kutoa maoni yao
Amesisitiza kuwa mara nyingi Sera na Matamko huwa yanawasilishwa kwa Lugha ngumu lakini mjadala unalenga kuelewesha Umma kwa lugha rahisi
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Ameongeza kwa kusema kuwa kuna Sera kama tano muhimu zimetungwa hivi karibuni na Wizara inaendelea kutoa muda kwa Wadau kutoa maoni yao
Amesisitiza kuwa mara nyingi Sera na Matamko huwa yanawasilishwa kwa Lugha ngumu lakini mjadala unalenga kuelewesha Umma kwa lugha rahisi
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π3
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Bytes, Kennedy Mmari amesema kuna vitu kadhaa vya kuangalia katika Mazingira ya Kidijitali ya Tanzania
Ameongeza kuwa Tanzania kama Nchi nyingine ina Sheria, Sera na Matamko yanayowezesha Uchumi wa Kidigitali
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Ameongeza kuwa Tanzania kama Nchi nyingine ina Sheria, Sera na Matamko yanayowezesha Uchumi wa Kidigitali
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya viongozi, Mzungumzaji kutokea Pollicy, Rachel Magege amesema kuwa Sera ya Kidijitali ya Uchumi 'Framework' ni ya Miaka 10
Amesema sera hii imegusia mambo kama kutengeneza 'system' itakayoruhusu mwingiliano wa Mifumo ya Kidijitali akitolea mfano Elimu na Utalii. Pia, kwenye Sera hii kuna Jamii Namba ambayo ni namba moja itakayomtambulisha Mtanzania
Ameongeza Sera imegusia Akili Mnemba (AI), tayari Tanzania imeanza kutunga Sheria ya Akili Mnemba na muda si mrefu itakuwa kwa matumizi ya Jamii
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Amesema sera hii imegusia mambo kama kutengeneza 'system' itakayoruhusu mwingiliano wa Mifumo ya Kidijitali akitolea mfano Elimu na Utalii. Pia, kwenye Sera hii kuna Jamii Namba ambayo ni namba moja itakayomtambulisha Mtanzania
Ameongeza Sera imegusia Akili Mnemba (AI), tayari Tanzania imeanza kutunga Sheria ya Akili Mnemba na muda si mrefu itakuwa kwa matumizi ya Jamii
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Mzungumzaji kutokea Pollicy, Rachel Magege amesema Changamoto ya Sera ya Kidijitali hii ni kukosa ujumuishwaji
Watanzania wengi wa Vijijini watashindwa kunufaika kwasababu wengi hawana hata NIDA na hawatumii Simu Janja
Pia, amesema Sera zimeandikwa kwa lugha ya kingereza ambayo haieleweki na wengi
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Watanzania wengi wa Vijijini watashindwa kunufaika kwasababu wengi hawana hata NIDA na hawatumii Simu Janja
Pia, amesema Sera zimeandikwa kwa lugha ya kingereza ambayo haieleweki na wengi
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi Mtetezi wa Haki za Kijamii, Godlisten Malisa amesema kuna changamoto ambazo watumiaji wa Mitandao Nchini Tanzania wanakabiliana nazo kutokana na Sera na Matamko ya Serikali
Ameongeza kwa kusema mojawapo ya changamoto ni kwamba Sheria, Sera na Matamko ya kwenye makaratasi yana matumaini lakini changamoto ni kwenye utekelezaji hasa pale Viongozi wanaopaswa kutekeleza wakikosa utashi βPolitical willβ
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Ameongeza kwa kusema mojawapo ya changamoto ni kwamba Sheria, Sera na Matamko ya kwenye makaratasi yana matumaini lakini changamoto ni kwenye utekelezaji hasa pale Viongozi wanaopaswa kutekeleza wakikosa utashi βPolitical willβ
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya viongozi Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Bytes, Kennedy Mmari amezungumzia kuhusu matokeo ya Sheria kwenye Uchumi wa Kidigitali
Ametolea mfano wa Sera ya βTEHAMAβ ya Mwaka 2016 inaweza kupongezwa kwa kusaidia kuchagiza maendeleo ya Miundombinu ya kidigitali kwani Sera hii iliweka msingi ambao ulisababisha uwekezaji mkubwa
Pia, amesema Mfumo wa Serikali wa E-Government una matokeo makubwa sana kwasababu umerahisisha mambo mengi na kuokoa muda ambao ungetumika kwenye Shughuli nyingine za uzalishaji
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Ametolea mfano wa Sera ya βTEHAMAβ ya Mwaka 2016 inaweza kupongezwa kwa kusaidia kuchagiza maendeleo ya Miundombinu ya kidigitali kwani Sera hii iliweka msingi ambao ulisababisha uwekezaji mkubwa
Pia, amesema Mfumo wa Serikali wa E-Government una matokeo makubwa sana kwasababu umerahisisha mambo mengi na kuokoa muda ambao ungetumika kwenye Shughuli nyingine za uzalishaji
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Bytes, Kennedy Mmmari amasema kuwa Sheria ya Fedha ya mwaka 2022 βinaregulateβ masuala ya kodi katika mambo ya kidigitali kama 'Online Content Creation'
Amesema kuwa utozaji kodi unapofanyika ni vizuri kuangalia hali halisi ya mazingira ya Uchumi wa Kidigitali Nchini
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Amesema kuwa utozaji kodi unapofanyika ni vizuri kuangalia hali halisi ya mazingira ya Uchumi wa Kidigitali Nchini
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Mtayarishaji Maudhui Mtandaoni, Warda Mansour amesema kuwa Jamii ya Watanzania inashindwa kuwatambua 'Digital Creators'
Akitolea mfano wa mtandao wa TikTok amesema kuwa Waandaaji wa Maudhui kutokea nchi nyingine wanalipwa vizuri kuliko wanaotokea Tanzania. Ni kwasababu Waandaaji Maudhui wa TikTok Nchini hawajawekwa kwenye plan ya malipo kwasababu watu wetu hawalipii matangazo huko Tiktok
Pia, ameongeza kwa kusema kuwa hivi karibuni BASATA ilisema haiwatambui hawa 'Creators' lakini ikija kwenye Kodi wanatutambua. Sasa kama hawatutambui tukiwa na changamoto tunasema wapi?
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Akitolea mfano wa mtandao wa TikTok amesema kuwa Waandaaji wa Maudhui kutokea nchi nyingine wanalipwa vizuri kuliko wanaotokea Tanzania. Ni kwasababu Waandaaji Maudhui wa TikTok Nchini hawajawekwa kwenye plan ya malipo kwasababu watu wetu hawalipii matangazo huko Tiktok
Pia, ameongeza kwa kusema kuwa hivi karibuni BASATA ilisema haiwatambui hawa 'Creators' lakini ikija kwenye Kodi wanatutambua. Sasa kama hawatutambui tukiwa na changamoto tunasema wapi?
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π2
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya viongozi, Naumanga Jr amesema anaelewa Sheria ya Mwaka 2020 ndio inayowaongoza Watengeneza Maudhui na wanasimamiwa na TCRA, pia Sheria inaeleza kuwa Watengeneza Maudhui wanatakiwa kuwa na leseni
Ameongeza kwa kusema kuwa Sheria ya Kuzuia Maudhui ya Ngono Mitandaoni ipo, hivyo haina haja ya kufungia Mtandao wakati Sheria ipo na wote wanaweza kuhusika wanaoweka maudhui hayo
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Ameongeza kwa kusema kuwa Sheria ya Kuzuia Maudhui ya Ngono Mitandaoni ipo, hivyo haina haja ya kufungia Mtandao wakati Sheria ipo na wote wanaweza kuhusika wanaoweka maudhui hayo
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Andro amesema Serikali inaendesha masuala ya Mitandao kama kitu cha ziada na siyo cha lazima, hiyo inachangia kuwa na uzito katika kurasimisha shughuli za Mtandao
Amesisitiza kuwa fikra ya Serikali kuwa Mtandao ni kitu ambacho si cha lazima iondoke, tuliona hivi karibuni Mtandao ulivyosumbua, Watu wengi walipata wakati mgumu na ilikuwa changamoto pia hata kwa Serikali
Ameongeza kuwa kwa sasa Dunia ipo kwenye Digitali sisi pia hatutakiwi kuwa nyuma ya kile kinachoendelea kwa wenzetu
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Amesisitiza kuwa fikra ya Serikali kuwa Mtandao ni kitu ambacho si cha lazima iondoke, tuliona hivi karibuni Mtandao ulivyosumbua, Watu wengi walipata wakati mgumu na ilikuwa changamoto pia hata kwa Serikali
Ameongeza kuwa kwa sasa Dunia ipo kwenye Digitali sisi pia hatutakiwi kuwa nyuma ya kile kinachoendelea kwa wenzetu
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Kamala Dickson amesema kuwa hana uhakika kama Tanzania kuna Mamlaka ambayo inaweza kusimamia Watengeneza Maudhui wa Mitandaoni
Ameongeza kwa kusema kuna haja ya kuipa muda Serikali kufuatilia na kuja na majibu hayo kabla ya kupitisha masuala mengine ya Kodi ili tupate majibu kuhusu Watengeneza Maudhui Mitandaoni ni kina nani na wanasimamiwa na Sera ipi
Ametolea mfano ambapo Mtengeneza Maudhui anapopata nafasi ya kufanya kazi na Kampuni fulani, je malipo yake yanatakiwa kukata Kodi pia au tunaweza kuwa tunakata Kodi mara mbili
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Ameongeza kwa kusema kuna haja ya kuipa muda Serikali kufuatilia na kuja na majibu hayo kabla ya kupitisha masuala mengine ya Kodi ili tupate majibu kuhusu Watengeneza Maudhui Mitandaoni ni kina nani na wanasimamiwa na Sera ipi
Ametolea mfano ambapo Mtengeneza Maudhui anapopata nafasi ya kufanya kazi na Kampuni fulani, je malipo yake yanatakiwa kukata Kodi pia au tunaweza kuwa tunakata Kodi mara mbili
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π1
Akizungumza katika mjadala wa Hatma ya Tanzania ya Kidijitali katika Sera, Sheria, Changamoto na Matamko ya Viongozi, Mtetezi wa Haki za Kijamii, Godlisten Malisa amesema kuwa akiwa kama mtumiaji wa Mtandao wa X yeye huwa haoni maudhui ya ngono
Ameongeza kwa kusema βKwa kawaida unapoingia Mtandaoni yale mambo ambayo unapendelea kuyaangalia ndiyo ambayo ukifungua yanakuja kwako pia mara kwa maraβ
Ameongeza kwa kusema kuwa inakuwaje mambo ambayo wewe ni kipaumbele chako unayopenda kuyafuatilia yanakutokea unataka usababishe Watu wote wafungiwe?
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Ameongeza kwa kusema βKwa kawaida unapoingia Mtandaoni yale mambo ambayo unapendelea kuyaangalia ndiyo ambayo ukifungua yanakuja kwako pia mara kwa maraβ
Ameongeza kwa kusema kuwa inakuwaje mambo ambayo wewe ni kipaumbele chako unayopenda kuyafuatilia yanakutokea unataka usababishe Watu wote wafungiwe?
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
π7π1
Mwanachama wa JamiiForums.com amelalamikia changamoto ya Mtandao kwenye kutuma maombi ya nafasi za Ajira zilizotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (#TRA) na kutoa wito kwa Mamlaka hiyo kutatua tatizo hilo ili waombaji wapate Huduma kwa urahisi
Soma https://jamii.app/AjiraMtandaoTRA
#JamiiForums #TEHAMA #ICT #SerikaliMtandao #DigitalSpace #DigitalRights #JFMdau2025