JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau wa JamiiForums.com anasema utaratibu wa Mbunge kupiga kelele "Taarifa, Taarifa, Taarifa" wakati Mbunge mwingine anachangia hoja fulani katika Vikao vya Bunge unamvuruga Mchangiaji na hata usikivu wa Wasikilizaji

Ameshauri utaratibu huo ufanyike Kidijitali kiasi kuwa Spika anatumiwa ujumbe wa kuwepo kwa Taarifa hiyo kupitia 'screen' aliyonayo pale mbele ambapo Mbunge ataruhusiwa kuiwasilisha baada ya hoja kumalizika

Soma https://jamii.app/TaarifaBungeniKidigitali

#JamiiForums #Governance #DigitalWorld #Digitalization
👍7❤2
#BIASHARA: Mara nyingi Matapeli hawasemi #Biashara zao zinapatikana wapi, ukimfata inbox ataanza kukuuliza unapatikana wapi ili ataje eneo tofauti na ulilopo, mwisho wa siku ulazimike kutuma Pesa kabla ya kupata Mzigo

Pia, ukichunguza kwa makini utagundua picha za bidhaa ni za Mtandaoni au za Wafanyabiashara wengine. Ni vema kama una Ndugu/Rafiki kwenye Mkoa husika ampelekee bidhaa kisha akutumie wewe

Hutangaza Bidhaa kwa bei rahisi sana. Mfano bidhaa inayouzwa Tsh. 100,000 unakuta Mtu ameweka bei nusu ya ile. Pia, hufunga comments ili kuepusha kujulikana Utapeli wao

Umewahi kulizwa na Matapeli wa Mtandaoni?

Fahamu zaidi https://jamii.app/BiasharaZaMtandaoni

#JamiiForums #Digitalization #DigitalWorld
👍5🙏2❤1🤔1
Kuongezeka kwa gharama za #Intaneti kunaathiri Uwezo wa Watu kupata #Elimu, kufanya #Biashara, kuwasiliana na Kupata taarifa Muhimu kupitia Mtandao hivyo kukwamisha Ukuaji wa Sekta ya Digitali

Vipi Mdau? Unaathiriwaje na Gharama za Intaneti Nchini?

Kwa Maoni zaidi, shiriki pamoja nasi katika Mjadala wa namna Sera, Gharama, Bajeti na Matamko ya Viongozi vinachochea ukuaji wa Sekta ya Digitali Nchini, utakaofanyika Juni 13, 2024, kuanzia Saa 12 Jioni - Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums

Mjadala https://jamii.app/DigitalSpaces

#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #Digitalization #MjadalaSektaDigitali
👍3❤1
Kuongezeka kwa gharama za #Intaneti kunaathiri uwezo wa Watu kupata #Elimu, kufanya #Biashara, kuwasiliana na Kupata taarifa Muhimu kupitia Mtandao hivyo kukwamisha Ukuaji wa Sekta ya Digitali

Vipi mdau, unaathiriwaje na Gharama za Intaneti Nchini?

Kutoa maoni yako, shiriki Mjadala wa namna Sera, Gharama, Bajeti na Matamko ya Viongozi vinachochea ukuaji wa Sekta ya Digitali Nchini, leo Alhamisi ya Juni 20, 2024, kuanzia Saa 12:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums

Link ya Mjadala https://jamii.app/DigitaliSpaces

#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #Digitalization #MjadalaSektaDigitali
👍4❤1