GHASIA MJINI #JERUSALEM: WATU 200 WAJERUHIWA
Kuna urushaji Maputo ya Moto kutoka #Gaza kuelekea Israel na kushambuliwa kwa Mashamba ya Wapalestina
Polisi wa #Israel wanafyatua Maji ya kuwasha na Risasi za mipira kuwatawanya Wapalestina
Soma - https://jamii.app/JerusalemCrisis

ISRAEL YAFANYA MASHAMBULIZI YA ANGA GAZA
#Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika Ukanda wa #Gaza
Ni baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake. Mamlaka zimesema milipuko kadhaa imetokea
Soma > https://jamii.app/IsraelGaza

Wakiongozwa na Misri, #Israel na #Palestina wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa #Gaza yaliyofanyika kwa Siku tatu mfululizo
Watu 44 wameuawa ambapo kati yao Watoto ni 15, huku Wapalestina 350 wakijeruhiwa
Soma > https://jamii.app/IsraelGazaChaos
#JFLeo #GazaUnderAttack

๐6
Umoja wa Mataifa (UN) umesema umejulishwa na Jeshi la #Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuondoka eneo hilo ndani ya Saa 24 zijazo wakati huu ambapo kuna mashambulizi yanaendelea kati ya Jeshi la Israel dhidi ya Wanamgambo wa #Hamas
#UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kutokana na mazingira yaliyopo kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote wanaoishi #Gaza
Soma https://jamii.app/24HoursGaza
#Diplomacy #IsraelPalestineWar #Governance #JamiiForums

๐4
Serikali ya #Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu na vifaa vya matibabu kwa Watu wa #Gaza Nchini #Palestine kutokana na vita inayoendelea baina ya #Israel na Kundi la #Hamas
Msaada huo umefikishwa kwa wahusika kupitia Taasisi ya Jordan Hashemite Charity Organisation (JHCO)
Licha ya kutoa msaada kwa Watu wa Palestina, Rwanda ni miongoni mwa Nchi zenye uhusiano wa karibu na Israel ambapo Waziri Mkuu wa Israel, #BenjaminNetanyahu alitembelea Rwanda Mwaka 2016
Soma https://jamii.app/RwandaGaza
#Governance #Diplomacy #IsraelHamasWar #JamiiForums

โค5๐2
AFRIKA KUSINI: Serikali imetangaza kuwa itawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake waliopo #Israel ikiwa ni sehemu ya kupinga mashambulizi ya Israel kuelekea eneo la #Gaza
Hatua hiyo imefikiwa baada ya shambulio la bomu lililotokea Novemba 5, 2023, ambapo kwa mujibu wa taarifa ya Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza inadaiwa takriban Watu 200 wameuawa
Pia, Serikali inataka Balozi wa Israel Nchini Afrika Kusini, Eliav Belotsercovsky aondolewe ikimtuhumu kutoa maoni ya kuidharau Nchi hiyo
Soma https://jamii.app/SouthAfricaIsrael
#Diplomacy #Governance #IsraelHamasWar #JamiiForums

โค3๐1๐1
UMOJA WA MATAIFA: ZAIDI YA WATU 10,000 WAMEUAWA GAZA
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa
Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati wakiwa katika zoezi la kutoa misaada kwa waathirika wa mapigano kati ya #Israel na #Hamas
Soma https://jamii.app/GazaFatality
#JamiiForums #Governance #HumanRights #IsraelHamasWar #ChildRights

๐5โค1
UFARANSA: Mshambuliaji wa Al-Ittihad ya Saudi Arabia, #KarimBenzema amefungua mashtaka akidai Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin amemchafulia jina lake kwa kusema Benzema ana uhusiano na Kundi la Muslim Brotherhood lililopigwa marufuku katika Nchi kadhaa zikiwemo Misri, Urusi na Saudi Arabia
Oktoba 2023, Darmanin alitoa madai hayo baada ya Benzema kuandika kupitia #X akieleza kuwa anaunga mkono watu wa #Gaza kutokana na kuathiriwa na vita inayoendelea baina ya #Israel na #Hamas, ambapo alieleza Watoto na Wanawake ni waathirika Wakubwa
Hii si mara ya kwanza kwa Darmanin kumshambulia Benzema, aliwahi kufanya hivyo akidai nyota huyo aligoma kuimba Wimbo wa Taifa wa Ufaransa alipokuwa akiichezea timu hiyo
Soma https://jamii.app/BenzemaFile
#JFSports #Governance #HamasIsraelWar #JamiiForums

๐7๐ค2โค1
#JuliaSebutinde ambaye amechaguliwa kwa kipindi cha Miaka 3 amekuwa Jaji wa ICJ kwa zaidi ya Miaka 10. Hapo awali aliendesha kesi kadhaa za uhalifu wa kivita, ikiwa ni pamoja na kufunguliwa mashtaka kwa Rais wa zamani wa #Liberia Charles Taylor
Sebutinde mzaliwa wa #Uganda alikuwa Jaji pekee katika jopo la Wanachama 17 wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kupiga kura dhidi ya hatua zote 6 zilizopitishwa na Mahakama ya ICJ katika kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini, ambapo Israel iliamriwa ichukue hatua za haraka kuzuia Mauaji ya halaiki inapopambana na Wanamgambo wa #Hamas huko #Gaza
Serikali ya Uganda ilijitenga na maoni pinzani ya Jaji Sebutinde ikisema hawakilishi msimamo wa nchi hiyo katika mzozo huo
Soma https://jamii.app/JajiSebutinde
#JamiiForums #Democracy #Diplomacy #Governance

๐1
MAREKANI: Rais #JoeBiden ameionya #Israel na kuitaka kusitisha mpango wake wa kushambulia eneo la Rafah lililopo Kusini mwa Mji wa #Gaza huku akieleza kuwa Serikali yake haitatoa Silaha endapo Israel itatekeleza uvamizi huo
Biden amesema "Niliweka wazi kwamba ikiwa wataingia #Rafah (bado hawajaingia Rafah), sitatoa Silaha ambazo zimekuwa zikitumika kihistoria katika kukabiliana na Vita hiyo. Israel inapaswa kushughulikia hilo."
Kauli ya #Biden inakuja wakati ambao tayari Uongozi wa Hamas umeridhia kufanya mazungumzo na Israel ili kumaliza Vita hiyo iliyogharimu maisha ya takriban watu 35,000, ingawa Israel imekataa kushiriki mazungumzo hayo
Soma https://jamii.app/USWarnsIsrael
#JamiiForums #HumanRights #Governance #IsraelVsHamasWar

๐3๐1๐คฎ1
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antรณnio Guterres, amesema #Gaza imeshuhudia idadi kubwa zaidi ya mauaji ya Waandishi wa Habari na Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari kutokana na vita
Aidha, katika Siku 380 zilizopita, zaidi ya Waandishi wa Habari 130 wa Palestina wameuawa na vikosi vya Israeli huko Gaza
Soma https://jamii.app/JournalistsMurdersUNESCO
#JamiiForums #PressFreedom #FreedomOfSpeech #FreeSpeech #HumanRightsViolations #JFData

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema njaa inaendelea kuongezeka, ambapo Watu Milioni 343 katika Nchi 74 wanakabiliwa na uhaba mkubwa Chakula, kiwango ambacho ni ongezeko la 10% ikilinganishwa na Mwaka 2023
Idadi hiyo inajumuisha Watu Milioni 1.9 walio katika hatihati ya kutumbukia kwenye baa la njaa, huku kiwango kikubwa cha njaa kikiripotiwa #Gaza, Sudan, Sudan Kusini, #Haiti na #Mali
Katika nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara, zaidi ya Watu Milioni 170 wanakabiliwa na njaa. Mizozo Nchini Sudan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na ukanda wa Sahel, ikichanganywa na majanga ya tabianchi yanayochochewa na El Niรฑo, vimefanya janga la njaa kuwa kubwa zaidi.
Soma https://jamii.app/WFPNjaa2024
#PublicHealth #JamiiForums #HakiZaBinadamu #ClimateChange #FoodCrisis

โค1
#Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano kwa lengo la kumaliza Miezi takriban 15 (tangu Oktoba 7, 2023) ya mzozo katika ukanda wa #Gaza
Makubaliano ya usitishaji mapigano ya kwanza yalifanyika Novemba 2023 na kudumu kwa takriban Wiki moja. Katika kipindi hicho, mateka 105 waliokuwa wakishikiliwa na #Hamas hasa Wanawake, Watoto, na Wazee waliachiliwa, huku Israeli ikiwaachia huru wafungwa takriban 240 wa Kipalestina
Aidha, Hamas na washirika wake wanashikilia Watu 94 (Hai na Wafu) waliotekwa kutoka Israeli ingawa idadi halisi inafikiriwa kuwa kubwa zaidi. Katika ya hao 84 ni raia wa Israeli, 8 ni raia wa Thailand, 1 kutoka Nepal na 1 kutoka Tanzania
Soma https://jamii.app/GazaCeasefireDeal
#JamiiForums #HumanRights

MAREKANI: Rais #DonaldTrump ametoa "onyo la mwisho" kwa Hamas kuwaachia mateka walioko Gaza pamoja na miili ya Watu waliofariki na kusisitiza kuwa Marekani itampa msaada Israel wa kuwamaliza kama hawatafuata agizo hilo
Ameyasema hayo kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram leo Machi 6, 2025 muda mfupi baada ya Serikali ya Marekani kuthibitisha kuwa wanafanya mazungumzo
Taarifa hiyo imetoa onyo kuwa Viongozi wa #Hamas wasipofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuondoka #Gaza kutakuwa na madhara makubwa. Marekani iliitaja Hamas kama Shirika la Kigaidi mnamo 1997
Soma https://jamii.app/TrumpAionyaHamas
#JamiiForums #JFDiplomacy #HumanRights

โค2