JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Shirika la Fedha la Kimataifa (#IMF) limeonya kuwa Mfumuko wa Bei za Chakula na Nishati kutokana na Vita ya Ukraine na Urusi unaathiri zaidi Nchi Masikini na Shirika hilo limesema mbinu zaidi zinahitajika katika kukabiliana na changamoto hizo

Soma: https://jamii.app/MfumukoWaBei
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi duniani

> Awali #IMF ilitabiri Utashuka hadi 2.7% kutoka 3.2% inayotarajiwa

Soma https://jamii.app/IMFNew

#WorldEconomy
👍1
#UCHUMI: Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP)

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na Makundi ya Waasi, Taifa hilo limetajwa na #IMF kuwa na deni la 11% kulingana na #GDP

Soma https://jamii.app/MadeniIMF

#JamiiForums #Governance #Accountability #AfricanEconomy #JFDATA
👍5❤2👎1
Kwa mujibu wa Ripoti mpya kutoka Shirika la Fedha Duniani (#IMF), Akili Mnemba (Artificial Intelligence) inatarajiwa kuathiri 40% ya Ajira Duniani kote na kuongeza pengo la Usawa

Karibu 60% ya Ajira zitaathiriwa katika Nchi za Uchumi wa juu. Katika nusu ya hali hii, Wafanyakazi wanaweza kunufaika na Matumizi ya #AI na kuimarisha ufanisi wao

Katika hali nyingine, AI itakuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu ambayo yanafanywa na Binadamu. Hii inaweza kupunguza mahitaji ya Ajira, kuathiri Mishahara, na hata kufukuzwa Kazi

Soma https://jamii.app/AIEffectsJobsIMF

#Employments #Equality #Technology #ArtificialIntelligence #DigitalWorld #JamiiForums
👍3❤1