RASMI: NEYMAR ASAINI MKATABA MPYA NA KLABU YA PSG
- Neymar amesaini mkataba huo utakaomfanya adumu #PSG hadi Juni 2026.
- Mshahara wake unakadiriwa kuwa Bilioni 83.9 za Kitanzania kwa msimu baada ya makato ya kodi.
#JFSports #JamiiForums

TETESI: PSG YAANZA MAZUNGUMZO YA KUMTAKA RASHFORD
Paris Saint-Germain imeanza mazungumzo na #ManchesterUnited kwa nia ya kumsajili Marcus Rashford
Nia ya #PSG ni kukamilisha usajili huo kabla dirisha kubwa la usajili 2022/23 kufungwa
Soma > https://jamii.app/PSGRashford
#JFSports

π8
TETESI: PSG INAMTAKA FRED KWA TSH. BILIONI 84
Inadaiwa Paris Saint-Germain (#PSG) ipo tayari kutoa Paundi Milioni 30 kwaajili ya kiungo huyo wa #ManchesterUnited licha ya kuwa amesaini nyongeza ya Mkataba wa Mwaka mmoja na Man United
Soma https://jamii.app/FredPSG

π12π©3β€2
Nyota #LionelMessi wa #PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua #iPhone14 35 huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14
Simu hizo za kipekee kabisa zimeandikwa "Mabingwa wa Kombe la Dunia" upande wa mgongoni, Majina na namba za Fulana za Wachezaji wa Timu hiyo
Soma https://jamii.app/MessiGiftsTeammates

π14
ITALIA: ZLATAN IBRAHIMOVIC ASTAAFU KUCHEZA SOKA
Amestaafu akiwa anaichezea #ACMilan, timu aliyoiwezesha kutwaa ubingwa wa #SerieA Mwaka 2011 na 2022
#ZlatanIbrahimovic mwenye Miaka 41, amecheza mechi 988 ngazi ya Klabu na Taifa
Klabu alizocheza kuanzia Mwaka 1999 ni; Malmo, Ajax, #Juventus, InterMilan, #FCBarcelona, AC Milan, #PSG, #ManchesterUnited na LAGalaxy
Soma https://jamii.app/ZlatanRetire

π11β€1π₯1
TETESI ZA USAJILI: #Neymar anatarajiwa kuwa Mchezaji wa Al-Hilal ya #SaudiArabia siku chache zijazo, kwani Mshambuliaji huyo wa #PSG yupo katika mazungumzo na timu yake kuhusu uhamisho utakaokuwa na thamani ya Euro Milioni 160 (Tsh. Bilioni 436) na mkataba wa Miaka miwili
Takwimu za Neymar (31) akiwa PSG tangu alipotua Mwaka 2017 kwa Ada ya Euro Milioni 222 (Tsh. Bilioni 605) kutoka #FCBarcelona ni kuwa amecheza mechi 173, akifunga magoli 118 na kutoa pasi 77 za magoli pia amekosa mechi 119 kutokana na kuwa majeruhi
Soma https://jamii.app/NeymarTransfer

π3β€1π1
TETESI ZA USAJILI: Taarifa kuhusu usajili wa mshambuliaji #KylianMbappe ni kuwa nyota huyo wa Klabu ya Paris Saint-Germain (#PSG) ambaye yupo katika miezi sita ya mwisho kumalizia mkataba wake anatarajiwa kujiunga na #RealMadrid akiwa mchezaji huru kuanzia msimu ujao wa 2024/25
Inadaiwa Mbappe ambaye anaruhusiwa kuzungumza na klabu yoyote kwa sasa kuhusu usajili wake, amekubaliana na Madrid upande wa maslahi yake na mambo mengine kadhaa licha ya kuwa #Liverpool nayo ni moja ya Klabu inayoonesha nia ya kutaka kumsajili
Soma https://jamii.app/MbappeTransfer

π7β€1
PSG YAIVUNJAVUNJA BARCELONA, YAIPIGA MAGOLI 4-1
Kweli mchezo wa soka hautabiriki! Licha ya #FCBarcelona kupewa nafasi kubwa ya kushinda lakini imeambulia kipigo cha magoli 4-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa #PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza FC Barcelona ilishinda magoli 3-2
Robo Fainali nyingine, Borrusia Dortmund imefanya kile ambacho hakikutegemewa na wengi, imeshinda magoli 4-2 dhidi ya Atletico de Madrid, hivyo kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 5-4
Soma https://jamii.app/BarcaLose
#JFSports #JamiiForums #UEFAChampionsLeague

π9
UEFA: REAL MADRID YAINGIA NUSU FAINALI KWA KUIPIGA MAN. CITY KWA PENATI
Mbabe wa soka la Ulaya, Timu ya #RealMadrid imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuifunga #ManchesterCity kwa penati 4-3 baada ya sare ya goli 1-1 katika dakika 120, hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa magoli 4-4
Real Madrid ambayo imetwaa taji la michuano hiyo mara 14, ilipata goli kupitia kwa Rodrygo (12) kisha Kevin De Bruyne akasawazisha (76), ikumbukwe kuwa mechi ya kwanza ya timu hizo ilimalizika kwa magoli 3-3 Jijini Madrid Nchini Uhispania
Baada ya matokeo hayo, Hatua ya Nusu Fainali itazikutanisha #PSG dhidi ya #BorrusiaDortmund, #BayernMunich dhidi ya Real Madrid

π2
ENGLAND: Wachezaji wa #Liverpool, Mohamed Salah na Trent Alexander-Arnold wamerushiana maneno wakati wakiwa mazoezini, hali iliyofanya wenzao kuingilia na kuwatenganisha kwa kuwa walionekana wakisogeleana huku kila mmoja akimrushia maneno mwenzake
Tukio hilo limetokea muda mfupi kuelekea mchezo wa 16 Bora wa UEFA Champions League dhidi ya #PSG, ambapo baada ya muda walitenganishwa. Liverpool haijatoa tamko lolote kuhusu tukio hilo
Mechi dhidi ya PSG ni ya marudio baada ya awali Liverpool kushinda 1-0, michezo mingine ya leo Machi 11, 2025: Barcelona vs Benfica, Bayer Leverkusen vs Bayen Munich, Inter Milan vs Feyernoord
Soma https://jamii.app/SalahArnold

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa βLigue 1β, Paris Saint-Germain (#PSG) wameonesha huu ni mwaka wao, kwa kubeba taji la #UEFAChampionsLeague (Ligi ya Mabingwa Ulaya), pia kushusha kipigo Kizito kwa #InterMilan ya Italia, Magoli 5-0
PSG inayonolewa na Kocha Luis Enrique, imebeba taji hilo kwa magoli ya Achraf Hakimi (12), DΓ©sirΓ© DouΓ© (20, 63), Khvicha Kvaratskhelia (73) na Senny Mayulu (86)
Huo unakuwa ubingwa wa kwanza kwa timu ya Ufaransa katika michuano hiyo
Soma https://jamii.app/UEFAFinal25

π₯1
MAREKANI: Paris Saint-Germain (#PSG) itakuwa uwanjani kumenyana dhidi ya #Chelsea katika Fainali ya Klabu Bingwa Dunia (#FIFAClubWorldCup) kwenye Uwanja wa MetLife, New Jersey, leo Saa 4:00 Usiku (muda wa Afrika Mashariki)
Timu hizo zimekutana mara 10, kila upande ukiwa umeshinda michezo mitatu, sare zikiwa nne
Ikumbukwe, Mashindano hayo yaliongezwa kutoka timu 7 hadi 32, yakihusisha klabu bora kutoka Kanda 6 Duniani ambazo ni UEFA, CONMEBOL, AFC, CAF, CONCACAF na OFC
Unadhani, Timu ipi yenye silaha kali itaondoka kifua mbele?
Kushiriki mjadala soma https://jamii.app/ChelseaVsPSG
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFSports

β€3
UEFA: Timu ya #FCBarcelona imetupwa nje ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025/2026 licha ya kushinda magoli 2-1 dhidi ya #AtleticoMadrid ambayo imefuzu Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 3-2.
Mchezo mwingine Paris Saint-Germain (#PSG) imeingia Nusu Fainali pia kwa kuifunga #Liverpool goli 2-0, ushindi wa jumla ukiwa ni magoli 4-0.
Zaidi https://jamii.app/LiverBarcaUefa
#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026

HUNGARY: Kwa mara nyingine #Arsenal imepoteza taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UEFAChampionsLeague) kwa kukubali kichapo cha penati 4-3 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika dakika 120 kutoka kwa Paris Saint-Germain (#PSG) katika Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Puskas Arena, Mei 30, 2026.
Arsenal haijawahi kushinda taji hilo, hivyo inakuwa imepoteza fainali yake ya pili baada ya ile ya Mwaka 2006 dhidi ya Barcelona, pia imekwama kuweka rekodi ya kutwaa kwa pamoja UEFA pamoja na Premier League ambalo wamebeba Msimu wa huu 2025/26.
Upande wa PSG inabeba taji hilo mara ya pili na inafanya hivyo mara mbili mfululizo, kabla ya hapo ilifika Fainali Mwaka 2020 ikapoteza dhidi ya Bayern Munich.
Zaidi https://jamii.app/PSGBingwaUefa
#JamiiForums #JFSports #JFUCL2026 #UCL2026