Benki ya Dunia (WB) inadaiwa kusimamisha Haki ya #Gabon kupewa Mikopo na Ruzuku kuanzia Julai 2024 kutokana na kushindwa kulipa madeni ya zamani ambapo malipo ya Madeni yaliyopitiliza yalikuwa takriban Dola Milioni 17 (Tsh. Bilioni 44.7) kufikia Juni 30
Kwa mujibu wa #Reuters, Nchi hiyo ya Afrika ya Kati kwa sasa inalipa mikopo angalau 11 ya Benki ya Dunia ambapo #WB ilikubali kukopesha au kutoa ruzuku kwa Gabon zaidi ya Dola Bilioni 1 (Tsh. Trilioni 2.6) tangu Mwaka 2012 na imeshatoa zaidi ya Dola Milioni 700 (Tsh. Trilioni 1.8)
Msemaji wa Benki ya Dunia amesema Kusimamishwa kwa utoaji wa Fedha ni utaratibu ulioainishwa katika makubaliano ya ufadhili na wana imani Mamlaka zitachukua hatua za kurekebisha hali hiyo haraka iwezekanavyo
Soma https://jamii.app/GabonLoansWB
#Accountabilty #JamiiForums #Uchumi #Governance

👍3
Takwimu za Benki ya Dunia (#WB) na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (#REPOA) zinakadiria takriban Watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo wanaopata kazi ni kati ya 60,000 hadi 200,000 tu
Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zinafanye nini ili kupunguza au kuondoa kabisa changamoto ya Ukosefu wa Ajira nchini?
Ungana nasi katika Mjadala utakaofanyika Alhamisi Julai 25, 2024, kupitia XSpaces ya JamiiForums, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku
Link ya Mjadala https://jamii.app/AjiraSpaces
#JamiiForums #Governance #SocialJustice #UkosefuWaAjira #AjiraSpaces #Accountability

👍6❤2