SUDAN: Mtandao wa #NetBlocks umesema Vita ya pande mbili za Majeshi zinazopigana imesababisha upatikanaji wa Huduma ya Mawasiliano ya Intaneti kushuka hadi kufikia 2%
Mapigano hayo yaliyoanza Aprili 15 kati ya vikosi vinavyomtii Mkuu wa Jeshi na vya Makamu wake aliyegeuka mpinzani, Mohamed Hamdan Daglo yamesababisha Vifo zaidi ya 400 na Majeruhi zaidi ya 3500
Soma https://jamii.app/NetDownSudan
#JamiiForums #HumanRights #DigitalRights #AccessNow #Governance

👍5
Mitandao ya #Netblocks na #CloudflareRadar inayohusika na ufuatiliaji wa Huduma za Intaneti na Usalama Mtandaoni imesema baadhi ya Nchi Barani Afrika zimepatwa na tatizo la kukatika kwa Huduma za Intaneti, sababu ikidaiwa ni kukatika kwa nyaya katika Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini
Baadhi ya Nchi zilizoripoti kupata shida kwenye mawasiliano ni Tanzania, #IvoryCoast ambayo imeripoti kushuka kwa ubora kwa Intaneti hadi 4%, #Benin 14% na #Ghana kwa 25% huku nchi nyingine zilizopata shida zikiwa ni Afrika Kusini, #Nigeria, #Liberia, na #BurkinaFaso
Nchini #Tanzania, Mtandao wa #Vodacom umekiri kutokea kwa tatizo kwenye huduma za intaneti huku wakisema huduma za M-PESA, Kupiga na Kupokea Simu zinapatikana. Pia, Serikali za Nigeria na Liberia zimesema zimebaini uwepo wa tatizo la Intaneti
Vipi Mdau, umepata changamoto za Mawasiliano ya Simu au Intaneti wiki hii?
Soma https://jamii.app/ComsDisrupt
#JamiiForums #DigitalRights #AccessNow #InternetDisruption #ServiceDelivery

👍8👎1
KENYA: Shirika la Ufuatiliaji Hali ya Upatikanaji wa Mtandao la #NetBlocks limethibitisha kuwepo kwa usumbufu mkubwa wa uunganishwaji wa Intaneti Nchini humo, ikiwa ni siku moja baada ya Mamlaka kudai hakutakuwa na kuzimwa kwa Mtandao licha ya Maandamano yanayoendelea kushika kasi
Watumiaji mbalimbali wa Mitandao ya Kijamii hasa wa X (zamani Twitter) wameandika kuwa wanalazimika kutumia #VPN ili kuendelea kutumia Intaneti
NetBlocks imeeleza changamoto hiyo ya Mtandao inayoendelea inadaiwa pia kuathiri Nchi Jirani zikiwemo #Uganda na #Burundi, hali hiyo inadaiwa inaweza kupunguza utangazaji wa matukio ya maandamano yanayoendelea
Soma https://jamii.app/KEInternet
#SocialJustice #Governance #CivilRights #FreedomOfExpression #FreeSpeech #JamiiForums #DigitalRights